YANGA YAKAMILISHA USAJILI WA KIUNGO HUYU HATARI…ISHU NZIMA HII HAPA
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2. Viongozi wa klabu…
Inaelezwa kuwa, Klabu ya Yanga imekamilisha usajili wa kiungo mkabaji kutokea katika klabu ya Singida Fountain Gate kwa mkataba wa miaka 2. Viongozi wa klabu…
Kuhusu yanga Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia TV3, Boiboi Mkali amesema kuwa wanachokifanya Klabu ya Yanga ni ‘copy and paste’ ya miamba wa…
Mchambuzi wa masuala ya michezo nchini, Juma Ayo amesema bila Yanga kumsajili kiungo mshambuliaji, Stephanie Aziz Ki basi mpaka sasa Watanzania wangeamini kiungo bora ni…
Wakati kocha Hemed Suleiman Morocco anatangaza kikosi cha Zanzibar Heroes mwaka 2017 ambacho kinaenda kushiriki mashindano ya CECAFA Senior Challenge pale nchini kenya kwenye list…
Kipa wa Yanga Djigui Diarra amepata mshindani wa maana kwenye vita ya ‘cleansheet’ kwenye ligi ambaye ni kipa wa Coastal Union, Ley Matampi, ambaye ni…
Kikosi cha timu ya Young Africans SC chenye wachezaji 20 na viongozi 11 wa benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi, kesho Jumamosi…
Klabu ya Yanga imetuma ofa kwa uongozi wa mchezaji Kibu Denis ambaye amebakiza mkataba wa mwezi mmoja Simba SC. Winga huyo mpaka sasa hajaongeza mkataba…
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia Clouds Media, Amri Kiemba amesema kuwa Klabu ya Azam inahofia kuibomoa ngome ya Simba kwa kuchukua wachezaji wao…
Yuko wapi Kibu Denis? Hilo ndilo swali ambalo mashabiki wa Simba wanajiuliza baada ya kuuwekwa wazi kikosi chao ambacho kitacheza mchezo wa Ligi Kuu Bara…
Kiungo mkabaji wa Klabu ya Yanga, Khalid Aucho ‘Daktari wa Mpira’ amesema kuwa iwapo watu wanataka awe mtu mbaya basi atafanya hivyo. Aucho ambaye ametoka…