Staff Desk
VIGOGO YANGA WAMWAGA PESA KWA MASTAA WAO
Uongozi wa Klabu ya Yanga umeweka wazi kuwa utaendelea kumwaga pesa za maana za bonus kwa wachezaji kwaajili ya kuhakikisha kuwa timu hiyo inafanya...
YANGA WAONYESHWA MWANGAZA WA USHINDI RWANDA
KIUNGO wa kimataifa wa Rwanda ambaye amewahi kukipiga ndani ya timu za Simba na Yanga, Haruna Niyonzima, amesema mbali na mapokezi makubwa ambayo kikosi...
GAMONDI TUTAJUANA HUKO HUKO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KISA CAF… GAMONDI , ROBERTINHO USO KWA USO
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
YANGA YASHUSHA CHUMA KINGINE SIO POA, JOB, MWAMNYETO MATATANI
Wakati Yanga ikionekana kuwa na utajiri wa mabeki wa kati, kocha mkuu wa timu hiyo, Miguel Gamondi ameongeza beki mwingine kwenye eneo hilo anayekwenda...
VIONGOZI WA YANGA WATANGAZA KUFANYA KUFURU HII
Uongozi wa Young Africans umeweka wazi kuwa kwa sasa unataka kufanya kufuru ya kwenda anga za vigogo kama Pyramid na Al Ahly kwa kumwaga...
MASTAA SIMBA WACHIMBWA MIKWARA OLE WAO
Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliviera Robertinho ametoa onyo zito kwa wachezaji wake wakati wakijiandaa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika.
Simba...
KAZE AFUNGUKA BAADA YA KUANZA MSIMU VIBAYA
Baada ya kuanza vibaya kwenye michezo yao miwili ya kwanza ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Kocha Mkuu wa kikosi cha Namungo FC, Cedric Kaze...
GAMONDI ATAMBA, AWEKA WAZI REKODI YAKE HII MPYA LIGI YA MABIGWA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi, amefichua kuwa, anafahamu timu hiyo ina rekodi mbaya kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kushindwa kucheza...