Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

SABABU ZA JOB KUWA BENCHI, GAMONDI AFUNGUKA KILA KITU

0
Baada ya kumalizika mchezo wa hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa barani Afrika kati ya Yanga SC dhidi ya Asas kutoka Djibouti na...

SIMBA HATA WAONGEZA POINTI KIASI GANI, YANGA ITAWASHUSHA TU. KAMWE

0
Ofisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe amesema kuwa nafasi yao ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu uko palepale...

HATIM AWASHAURI JAMBO HILI YANGA UPANDE WA KOCHA

0
Mchambuzi wa soka, Haatim Abdul amesema Yanga SC wanahitaji mwalimu wa wafungaji kwani wanapata nafasi nyingi lakini wanashindwa kuzitumia. Amesema, Yanga wanatakiwa kumtafuta mwalimu anayeweza...

SIMBA GARI LIMEWAKA, PHIRI AANZA KUTUPIA, BALEKE KAMA KAWA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

HAWA YANGA WANABALAA HAO……PHIRI AVUNJA UKIMYA SIMBA

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

UONGOZI WA SIMBA WAKIANGUKIA KIKOSI CHA TIMU HIYO, KISA MATAJI YA...

0
Mabosi wa Simba wamekiangalia kikosi cha timu hiyo na kusema kikipata muunganiko na kurejesha soka lake, basi wapinzani watapata tabu sana kwani hawataacha kitu...

KWA SIMBA HII, TATIZO NI MZAMIRU, ISHU IKO HIVI

0
Simba imeanza kusaka taji la Ligi Kuu Tanzania Bara kwa ushindi wa mabao 4-2 dhidi ya Mtibwa Sugar. Lakini kwa tathmini ya haraka shida...

DOUMBIA NA YANGA MPAKA KIELEWEKE ISHU IKO HIVI

0
Wakati wadau na mashabiki wa soka wakijiuliza hatima ya beki Mamadou Doumbia ndani ya Yanga kutokana na kutoonekana kikosini pia akiwa hajapewa ‘Thank You’...

GAMONDI AWEKA WAZI MPANGO HUU KIMATAIFA YANGA

0
UPO uwezekano mkubwa wa kiungo mshambuliaji mpya wa Yanga, Muivory Coast Pacome Zouzoua kuanza katika kikosi cha timu hiyo, kitakachovaana dhidi ya ASAS FC...

MASTAA SIMBA WAANZA KWA MAJANGA MSIMU HUU

0
MASTAA watatu wa Simba wameanza kwa majanga msimu wa 2023/24 kutokana na kupata maumivu wakiwa kwenye majukumu yao. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Simba ilishuhudia...
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS