Staff Desk
KUMBE YANGA NAO HAWAJAMALIZA…. CHUMA HIKI HAPA JAGWANI
Uongozi wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, umedhamiria kuiboresha safu ya ushambuliaji, baada ya kuona mapungufu katika michezo ya Ngao ya Jamii,...
ISHU YA KRAMO AUBIN KUSUGUA BENCHI IKO HIVI…… SIRI YAFICHUKA
Baada ya kuwepo kwa sintofahamu kwa mashabiki wa Simba kuona winga wao fundi Kramo Aubin anasugua benchi pasipo kupata nafasi katika mechi yoyote.
Taarifa za...
ROBERTINHO AFUNGUKA BAADA YA MECHI YA SIMBA VS MTIBWA……
Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliviera 'Robertinho' amesema bado anaitengeneza timu yake ili kuhakikisha anakuwa na kikosi imara.
Aakizungumza mara ya mechi ya Ligi...
KUNA KITU…. MUHIMU POINTI TATU….MAXI AJA NA HESABU MPYA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
GAMONDI AZIPELEKA SILAHA MAFICHONI,… SIMBA WAPIGA HESABU ZA BILIONI 29
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA ATAMBA UGENINI, AWANYOOSHA WALIMA MIWA MANUNGU
IKIWA Uwanja wa Manungu, Morogoro katika safu za milima ya Uluguru, Mtibwa Sugar imeyeyusha pointi tatu.
Ubao umesoma Mtibwa Sugar 2-4 Simba ukiwa ni mchezo...
HILI SASA BALAA SIMBA BADO WAPO SOKONI KWAAJILI YA CHUMA HIKI...
Simba bado iko sokoni na sasa imepanga kumshusha kiungo mkabaji, Efoe Novon raia wa Togo huku wakipanga kumtoa kwa mkopo straika wao raia wa...
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOSHUKA DIMBANI DHIDI YA MTIBWA SUGAR
Hiki hapa Kikosi cha Simba Sports Club kitakachoanza leo katika mchezo wao wa kwanza wa ligi Kuu ya NBC msimu huu dhidi ya Mtibwa...
WACHEZAJI WA YANGA WAMVURUGA GAMONDI AFANYA MAAMUZI MAGUMU
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Angel Gamondi amebadilisha program ya wachezaji wake kwa kuwapa mazoezo ya viungo baada ya jana kufanya Gym ili kujiweka...
EDO KUMWEMBE AWATOLEA UVIVU SIMBA SC KUHUSU KUWEKA KAMBI UTURUKI…. ISHU...
Mchambuzi nguli wa masuala ya Soka nchini, Edo Kumwembe amedai kuwa kikosi cha Klabu ya Simba kilikwenda nchini Uturuki kuzurura tu badala ya kujiandaa...