Staff Desk
MASTAA YANGA WAANZA KUMCHANGANYA GAMONDI MAPEMAAAA
Kocha Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi raia Argentina, amefichua kuwa, licha ya kucheza michezo ya ndani ya kirafiki, lakini bado hajapata muunganiko mzuri kwa...
ROBERTINHO AFUNGUKA JINSI SIMBA WALIVYOBADILISHA MBINU KATIKA MCHEZO WA JANA, CHANZO...
Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba, Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo 'Robertinho' raia wa Brazil amesema kuwa aliwabadilishia mbinu wapinzani wake Power Dynamos ya...
RAIS SAMIA ATOA NENO BAADA YA MUALIKO WA SIMBA DAY
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewashukuru Simba SC kwa mwaliko wa kuhudhuria kilele cha Tamasha la "Simba Day" Agosti...
MASHABIKI SIMBA WAPIGWA NA KITU KIZITO SIMBA DAY
Wakati kilele cha tamasha la Simba Day kikihitimishwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa , mashabiki mbalimbali wameonekana kulizwa kutokana na kuuziwa tiketi feki.
Mmoja wa...
ONANA AWAPAGAWISHA MASHABIKI MAPEMA SANA, NGOMA NAE AFUATA NYAYO
MABAO mawili ya Simba yaliyofungwa na Willy Onana na Fabrice Ngoma yametosha kufuta uteja kwa Simba kushindwa kupata matokeo mbele ya marais wa nchi...
SIMBA DAY BAAB KUBWA, YATAPIKA KWA MKAPA, ONANA AWAPA RAHA MASHABIKI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HUYU ONANA NI MTU NA NUSU, NJOONI MUIONE YANGA YA GAMONDI...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
UNYAMA UNYAMA SIMBA, RAIS SAMIA ANOGESHA, MIQUISSONE, CHAMELONE WAFUNIKA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
RAISI SAMIA AWAKOSHA WADAU WA MICHEZO SIMBA DAY, AFUNGUKA KUHUSU GOLI...
MGENI RASMI wa tamasha la Simba Day Rais Dk Samia Suluhu Hassan amesema ahadi yake iko pale pale ya kununua kila bao kwenye timu...
HUO UTAMBULISHO WA SIMBA DAY SIO POA
Utambulisho wa wachezaji ulianza saa 10: 36 kubwa ni zawadi ambayo ikutarajiwa na mashabiki utambulisho wa kipa mpya mzawa kutoka KMC FC, Hussein Abel...