Staff Desk
WAWAKILISHI WA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA, SIMBA, YANGA, AZAM, SINGIDA FG,...
WAWAKILISHI wa Tanzania, Yanga na Simba kwenye Ligi ya Mabingwa na Singida Fountain
Gate na Azam kwenye Kombe la Shirikisho Afrika wapo kwenye hekaheka za...
RASMI YANGA WAMUUZA BANGALA AFUATA NYAYO ZA FEI TOTO….. ATUA HAPA...
KLABU ya Yanga imetangaza kumuuza mchezaji wake Yannick Bangala katika timu ya Azam.
Bangala hakuwemo kwenye utambulisho wa wachezaji katika kilelele cha Wiki ya Mwananchi...
SIMBA YAWEKA WAZI ISHU YA KUACHANA NA BANDA……. ISHU IKO HIVI
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Imani Kajula amesema kuwa klabu hiyo ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha mazungumzo na makubaliano baina...
ROBERTINHO ASHTUKIA KITU MWISHONI, MTIHANI UKO HAPA SASA HUKO SIMBA
Zikiwa zimebaki siku nne kwa Simba kumaliza kambi maalumu nchini Uturuki, kocha wa timu hiyo, Roberto Oliveira 'Robertinho' ameshtukia kitu baada ya kiwango bora...
SIRI IMEVUJA YANGA WAMUAGA RASMI MAYELE, MAMBO YAPO HIVI
Baada ya kukaa Yanga kwa misimu miwili, sasa ni rasmi, Fiston Mayele anaondoka nchini kwenda kujiunga na timu yake mpya, Uarabuni, wikiendi hii, huku...
LUIS MIQQUISSONE ATOA AHADI NZITO KWA SIMBA, HUKU AKIWAPA MKWARA HUU...
MARA baada ya kuripoti kambini na kushuhudia nyota wenzake wapya waliosajiliwa, kiungo wa Simba Luis Miqquissone ameibuka na kutamka kuwa msimu ujao kwa kuanza...
MIPANGO MIPYA YA GAMONDI HADHARANI, NABI ATAJWA
WAKATI watu wakiwa wanawaza Yanga ya msimu ujao itakuwaje basi fahamu kuwa kila kitu kimekamilika kwenye mipango mipya chini ya Kocha, Miguel Gamondi raia...
HUYO MRITHI WA MAYELE HATARI ZAIDI YA MIL 400, MSHAHARA WAKE...
IMEELEZWA kuwa, Klabu ya Yaoundé kutoka nchini Cameroon, imeweka ofa ya dola 165,000 (Sawa na Sh 402,375,600 za Kitanzania) ili wamuachie mshambuliaji wao, Emmanuel...
WALE WANAOBEZA KUREJEA KWA LUIS MIQUISSONE WATULIE KWANZA, VIGOGO SIMBA WAFUNGUKA
UONGOZI Simba, umeweka wazi kuwa, wale watu wanaobeza wao kumrejesha Luis Miquissone, watulie kwani watamshangilia huko mbeleni baada ya kushangazwa na uwezo atakaouonesha.
Winga huyo...
ALLY KAMWE ATOBOA SIRI INAYOMPA JEURI GAMONDI, MAXI, NZEGELI WATAJWA, ISHU...
HUKO ndani ya Yanga, unaambiwa mambo yameanza kuiva, hiyo ni kutokana na Kocha Miguel Angel Gamondi kutamba na timu yake hiyo haswa katika eneo...