Home Authors Posts by Staff Desk

Staff Desk

1810 POSTS 0 COMMENTS

KOCHA WA SIMBA AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU HALI YA KIKOSI CHA...

0
Kocha Mkuu wa Simba SC, Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amesema ameanza kuridhishwa na kiwango cha mastaa wake, huku wapinzani wao kwenye Simba Day wakiwekwa hadharani. Simba...

MORRISON BAADA YA KUTEMANA NA YANGA, BOSI WA SFG AFUNGUKA HAYA

1
BOSI wa Singida Fountain Gate (SFG), Japhet Makau amesema usajili waBernard Morrison ni suala la muda tu na mashabiki wakae kwa kutulia kwani mambo...

SAKHO BAADA YA KUMTIMKA SIMBA SC, ASEMA HAYA KUHUSU MANE KWENYE...

0
Aliyekuwa Kiungo Mshambuliaji ‘Winga’ wa Simba SC Pape Ousmane Sakho amemshukuru Mshambuliaji wa Mabingwa wa Soka nchini Ujerumani FC Bayern Munich, Sadio Mane kwa...

HUKO SIMBA MAMBO NI MOTO SANA UNAAMBIWA MWENYE NAMBA YAKE KARUDI...

0
HABARI ya mjini kwa sasa ni Simba kufanikiwa kumrejesha kikosini nyota wake wa zamani kutoka Msumbiji, Luis Miquisone ikimsajili kama mchezaji huru baada ya...

ISINGEKUWA BEKI HUYU TSHABALALA ILIKUWA BASI TENA SIMBA

0
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussien 'Tshabalala' amerahisishiwa kazi ya kupata namba kikosini baada ya timu hiyo kuachana na mpango wa kusajili beki mwingine...

KOCHA WA SIMBA AUNGANA NA WACHEZAJI WAKE KAMBINI UTURUKI, AJA NA...

0
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho' tayari amerejea kambini kwa chama hilo nchini Uturuki akitokea kwenye kozi fupi iliyofanyika Brazil huku akitua na...

AHMED ALLY AFUNGUKA KILA KITU KUHUSU VIINGILIO VYA SIMBA DAY MAMBO...

0
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa siku ya Simba Day ni sikukuu hivyo hawapangi viingilio vikubwa kuwakomoa mashabiki wao. Agosti 6 ni Simba Day ikiwa...

YANGA HII YA GAMONDI SIO POA CHEKI BALAA LAKE

0
CHINI ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi Yanga inaendelea na mazoezi kwa ajili ya msimu mpya wa 2023/24. Ni AVIC Kigamboni Yanga imeweka kambi ikiwa na...

GAMONDI AANZISHA VITA HII YANGA, MASTAA WAHAHA

0
KOCHA wa Yanga, Miguel Gamondi ametegeneza vita kubwa kwenye kikosi chake, jambo ambalo litamfanya apasue kichwa kupata kikosi cha kwanza. Yanga juzi ilicheza mchezo wa...

MRITHI WA MAYELE HUYU HAPA YAMSHUSHA YAMFICHA DAR, MZIKI WA GAMONDI...

0
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
329,001FansLike
12,344FollowersFollow
16,900SubscribersSubscribe

EDITOR PICKS