Staff Desk
BOSI YANGA: NINI MAXI, HAMJAMUONA PACOME MTATAFUTANA….. BOSI: KWA SIMBA HII...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MAYWEATHER MBABE WA BOXING SIO POA
Floyd Joy MayWeather ama ukipenda muite May Money wengine wanamuita Sinclair “Mtu na Nusu Tajiri Mtoto” historia ya mchezo wa ngumi za kulipwa inampa...
KUSANYA MAOKOTO UKIWA KIVULINI NA SLOTI YA ENDORPHINA
Msimu huu wa kiangazi ni mwezi wa maokoto kila ufanyalo Meridianbet linakupa pesa, ukiongeza salio unapewa bonasi, ukijisajili unapewa bonasi, na ukicheza sloti na...
ONANA, MIQUISSONE WAPEWA MTIHANI HUU
Baada ya kurejea kambini nchini Uturuki, Kocha Mkuu wa Simba SC, Roberto Oliveira Robertinho ameanza na mastaa wapya akiwemo Luis Miquissone na Willy Onana.
Robertinho...
MWENYEKITI WA SIMBA AUAWA NA WATU WASIO JULIKANA
Morogoro. MWENYEKITI wa tawi la Simba SC katika mji mdogo wa Mchombe kata ya Mngeta Halmashauri ya Mlimba, Benson Mwakasanga (48) amefariki dunia baada...
HAYA HAPA MAAJABU MATANO YA KIPA MBRAZIL WA SIMBA
Klabu ya Simba SC imesajili Mlinda Lango kutoka Brazil Jefferson Luis kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Resende ya nchini kwao akitarajiwa kuwa namba...
GAMONDI ATAMBA KUHUSU KIKOSI CHAKE AAHIDI MAKUBWA
Kocha Mkuu wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans, Miguel Gamondi amewataka mashabiki wa klabu hiyo kutarajia mabadiliko zaidi ya uchezaji kwa timu...
SAKHO ASEMA HAYA KWA MARA YA KWANZA TANGUA AONDOKE SIMBA
Siku moja baada ya kuthibitika ameondoka Simba SC na kujiunga na Klabu ya Quevilly Rouen Metropole (QRM) ya nchini Ufaransa, Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini...
ROBERTINHO ATAMBA KUHUSU KIKOSI CHA SIMBA
Kocha Mkuu wa Simba SC Robertinho Oliveira Gonçalves do Carmo amekiri kuridhishwa na uwezo wa kikosi chake baada ya kucheza mchezo wa kwanza wa...
LUIS MIQUISSONE AZUA GUMZO KIKOSINI SIMBA
Kikosi cha Simba SC kinaendelea kujifua kambini Ankara, Uturuki huku kikipokea nyota wapya waliosajiliwa hivi karibuni wakiwamo wazawa, Shaaban Idd Chilunda, Hussein Kazi na...