Staff Desk
KWA YANGA HII, TABU IKO PALEPALE
KAMA vipi irudiwe! huwezi kusema neno lingine baada ya Yanga jana kufanikiwa kuonyesha kiwango kizuri ilipoichapa Kaizer Chief bao 1-0 kwenye mchezo wa kileleni...
CV ZA KIPA MPYA WA SIMBA NI HATARI, MBRAZILI ANABALAA HUYU
Simba imemtambulisha kipa kutoka Brazil Luis Jefferson ikimsainisha mkataba wa miaka miwili kuitumikia timu hiyo hadi mwaka 2025.
Kipa huyu mwenye umri wa miaka 29,...
MAXI : YANGA TULIENI BADO SIJACHANGANYA, LUIS APEWA MASHARITI MAZITO SIMBA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
MRITHI WA MAYELE YANGA HUYU HAPA, GAMONDI: ALETWE FASTA, MUSONDA ATOA...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KIPA MBRAZIL ATUA SIMBA, KAIZER YATUA ZANZIBAR DKT MWINYI AIPA BARAKA,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
HAWA HAPA WAPINZANI WA SIMBA,YANGA, MBIVU NA MBICHI KUJULIKANA JULAI 25
Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limetangaza kufanyika kwa droo ya hatua ya awali kwa Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho Afrika, Julai...
YANGA KILA KITU NI FRESH, BADO WENYE NCHI
Dodoma. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki mbio za NBC Marathoni huku akisema kilele cha wiki ya Wananchi kimepita inayosubiriwa ni siku ya wenye Nchi.
Jumamosi...
KIKOSI CHA SIMBA KINAZIDI KUIMARIKA, MWINGINE HUYU HAPA KATUA MSIMBAZI
KLABU ya Simba imemtambulisha mlinda mlango Jefferson Luis Szerban de Oliveira Junior kutoka Resende ya kwao, Brazil kuwa mchezaji wake mpya kuelekea msimu ujao.
Jefferson...
MASHABIKI WA SIMBA MZUKA UMEPANDA, UNAJUA KWANININI? ISHU IKO HIVI
MASHABIKI wa Simba mzuka umepanda. Unajua kwa nini? Wamepata taarifa kwamba katika kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki, ametua kipa kutoka Brazili, Jefferson Luis...