Staff Desk
HUKU SIMBA NI KUSHUSHA VIFAA TU…CHUMA KIPYA HIKI HAPA…NI MRITHI WA...
Baada ya kuachana na kiungo, Jonas Mkude aliyeitumikia Simba SC kwa miaka 13, Wanamsimbazi wamemalizana na kiungo Mtanzania, Hamis Abdallah anayekipiga nchini Kenya.
Simba SC...
NAMBA 6 WA YANGA, BEKI AFUNGUKA BALAA LAKE
Mara baada Yanga kumtambulisha nyota wa Marumo Gallants, Mahlatse Makudubela, beki aliyekuwa akicheza naye, Mpho Mvelase ameeleza jinsi Yanga watakuwa wamelamba dume kutokana na...
CAF WANASUBIRI USAJILI WA YANGA KIMATAIFA, TFF YATOA NENO
Shirikisho la Soka Tanzania ‘TFF’ limethibitisha kuwa Klabu ya Young Africans hadi sasa haijafanya usajili wa Michuano ya Kimataifa (Ligi ya Mabingwa Barani Afrika)...
MWAMBA HUYU HAPA, YANGA YATAMBA KULETA KIFAA KINGINE, MTACHAGUA TUWAFUNGE NGAPI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA WAMBEBA MSHAMBULIAJI HUYU WA AZAM FC
Wakati wakiwa wamebaki wachezaji wawili tu kujiunga kambini nchini Uturuki, uongozi wa Klabu ya Simba SC umeendelea kukiboresha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa...
CHAMA AIVURUGA SIMBA, MO AIBUKA
WAKATI nyota wanne wa Simba wakisafiri jana alfajiri kwenda kambini nchini Uturuki, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Mzambia, Clatous Chama amebaki Dar, huku sakata...
MNA BEKI! PACOME ATUA KWA KISHINDO, GAMONDI APANGUA KIKOSI YANGA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
BAADA YA SIMBA KUELEKEA KILIMANJARO KUZINDUA JEZI, NAMUNGO NAO WAFANYA HILI
WAKATI vilabu mbalimbali vikiwa katika harakati za usajili na maandalizi kwa ajili ya msimu ujao, timu ya Namungo imeweka kambi mkoani Arusha.
Taarifa ya Namungo...
KOCHA WA YANGA GAMONDI ANENA NA MASHABIKI, ASEMA HAYA
KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema hana shinikizo lolote kuelekea msimu ujao na anaimani yakufanya vizuri akiwa na mabingwa hao wa...
YANGA WATAMBA KUSHUSHA NYOTA MWINGINE HATARI TUPU
RAIS wa Klabu ya Yanga Hersi Said amesema timu hiyo inatarajia kumtangaza mchezaji mwingine mpya kwenye kikosi hicho ili kuongeza nguvu kuelekea msimu ujao.
Mhandisi...