Staff Desk
ISHU YA KOCHA WA SIMBA KUONDOKA KAMBINI IKO HIVI…. ROBERTINHO AFUNGUKA...
Baada ya kuripoti juu ya kutoweka kambini kwa Kocha Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira 'Robertinho', kocha huyo amevunja ukimya na kufafanua juu ya ukweli...
SASA NI KIPA MCAMEROON , MASTAA WANNE WAONGEZEKA KAMBINI UTURUKI, CHAMA,...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA ILIVYOMNASA MIQUISSONE KIMAFIA, SINEMA ILICHEZWA KWA SIRI, ASUBURIWA KWA HAMU...
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
SIMBA, YANGA KABLA YA LIGI KUANZA KIMESHAUMANA MAPEMAAA
LIGI imeanza mapema. Ndio, huko mtaani na kwenye mitandao ya kijamii ile ligi ya mashabiki na wapenzi wa klabu za Simba na Yanga imeanza....
HIYO YANGA U17 SIO POA SIMBA KIMYAA
Mabao mawili ya Mosses Samweli na Mohamed Salum dhidi ya JKU Academy juzi katika Uwanja wa Azam Complex, yamezidi kuifanya timu ya vijana ya...
KOCHA WA YANGA AIPONGEZA SIMBA KWA USAJILI HUU
KOCHA wa zamani wa Yanga na AS Vita, Roul Shungu, amefunguka kuwa, kitendo cha Simba kufanikiwa kumpata aliyekuwa kiungo wa Al Hilal ya Sudan,...
BAADA YA YANGA KUWATEMA, SINGIDA FOUNTAIN GATE WAFANYA KWELI
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kuwa wanatamani kuwa na kiungo Mkongomani Yannick Bangala na Mghana Bernard Morrison kwa ajili ya msimu ujao huku...
HUO MSHAHARA WA MIQUSSONE SIO POA, UNAAMBIWA AMETUA NCHINI KIMYAKIMYA
INAELEZWA kiungo mshambuliaji wa Al Ahly ya Misri, Luis Miquissone raia wa Msumbuji ameletwa nchini kimyakimya na mabosi wa Simba na kufichwa katika mmoja...
LUIS, CHAMA WAZUA BALAA KWA MASHABIKI WA MSIMBAZI NA JAGWANI
WAKATI dirisha la usajili ukizidi kushika kasi kwa klabu mbalimbali kufukuzia na kuwasainisha majembe mapya, taarifa za viungo washambuliaji Clatous Chama na Luis Miquissone...
ROBERTINHO AKIACHA KIKOSI CHA SIMBA KAMBINI ATIMKIA BRAZIL
KAMBI ya Simba iliyopo hoteli ya Latapya, jijini Ankara Uturuki inazidi kunoga kwa wachezaji kuanza kuchangamshwa kwa mazoezi ya aina mbalimbali ikiwamo ya kuogelea...