DIARRA KAMA KAWA DHIDI YA AL AHLY
Kipa wa Yanga SC, Djigui Diarra, anatarajia kuwepo katika mchezo ujao dhidi ya Al Ahly baada ya jana kukosekana tulipocheza dhidi ya CR Belouizdad. Diarra…
Kipa wa Yanga SC, Djigui Diarra, anatarajia kuwepo katika mchezo ujao dhidi ya Al Ahly baada ya jana kukosekana tulipocheza dhidi ya CR Belouizdad. Diarra…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Nyota wa Zambia anayechezea Simba SC, Clatous Chama amesema anakiri kwamba hawakucheza vizuri kwenye michezo mitatu iliyopita lakini si kwamba kuna ugomvi ndani ya timu.…
Ofisa Habari Yanga, Ally kamwe amesema safari yote ya Zanzibar majibu kamili yatapatikana saa 5 asubuhi hii wananchi watapata Habari zote kwanini Yanga imekuja Zanzibar.…
Aliyewahi kuwa msemaji wakLabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa baada kuteuliwa jwa barbara Gonzalez kuwa Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa klabu hiyo, yeye alimpigia…
Wakati wakijiandaa na mchezo wa pili hatua ya Makundi dhidi ya Bingwa mtetezi Al Ahly katika Uwanja wa Mkapa. Afisa habari wa Yanga Ali Kamwe…
Aliyewahi kuwa msemaji wa Klabu ya Simba, Haji Manara amesema kuwa alianza kuichukia klabu hiyo mara tu baada ya kuondoka na kujiunga na watani zao…
Yanga imefanya usajili mzuri msimu huu. Iko wazi. Wachezaji kama Yao Kouassi, Pacome Zouzoua, Maxi Nzengeli, Nickson Kibabage ni wachezaji mahiri. Lazima tuwapongeze kwa sasa.…
Andiko la @jr_farhanjr kwenda kwa viongozi wa Simba SC; Timu ilipokuwa haifanyi vizuri Mashabiki wakapiga sana kelele, zilipozidi kelele wakaitwa Mashabiki wenye nguvu haswa mtandaoni…
Uongozi wa Simba SC, kupitia kwa Mwenyekiti wa Bodi, Salim Abdallah na Mwenyekiti wa Simba SC pamoja na Bodi ya Wakurugenzi wamekutana na wanachama wa…