Staff Desk
PHIRI: CHAMA ? PIGENI CHINI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KUMBE AZIZI KI HANA HAJA NA KIATU LIGI KUU…… MWENYEWE AFUNGUKA...
KIUNGO Mshambulijai wa Yanga, Stephane Azizi Ki amesema kuwa licha ya kuwa kinara katika mbio za ufungaji bora wa Ligi Kuu Bara lakini hafikirii...
KOMBE LA DUNIA YA VILABU SIMBA NDANI…. FIFA YATOA TAMKO HILI
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) leo limetaja timu ambazo zipo katika nafasi ya kuweza kuwania kucheza Fainali za Kombe la Dunia kwa Vilabu 2025.
Tanzania...
SIMBA, YANGA WATULIZA VICHWA KIMATAIFA…… ISHU HII NDIO UMIZA KICHWA
Mabosi wa klabu kongwe nchini, Simba na Yanga wanaendelea kukuna vichwa juu ya kuchagua viwanja gani vya kutumika kwenye mechi zao za mwisho za...
SERIKALI YAPIGA KWENYE MSHONO UWANJA WA UHURU
Serikali imevifunga viwanja vya Benjamin Mkapa na Uhuru, Dar es salaam mpaka hapo ukarabati utakapokamilika Oktoba 2024.
Taarifa ya serikali imekuja baada ya Shirikisho la...
AHMED ALLY AMJIBU KIBABE ALLY KAMWE
Kutoka kwa semaji la CAF, Ahmed Ally….
Kwenye sanaa ya Mawasiliano hakuna katika nyie anaweza kunifikia hata robo ndo maana nyie mkaajiriwa 10 kwenye idara...
AZIZI KI SASA ANATAKA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KWANI MNASEMAJE… GAMONDI,BENCHIKHA NJIA TOFAUTI
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
ALLY KAMWE, AHMED ALLY WAVAANA KISA HIKI HAPA
Ally kamwe ameijia juu Interview ya Ahmedy Ally aliyoifanya jana baada ya Simba kupata Sare dhidi ya Kmc akisema wachezaji wao hawajitumi. Kupitia Instagram...
UKWELI WOTE UKO HIVI SAKATA LA CHAMA….. PHIRI NAE AJA NA...
Benchi jipya la ufundi la Simba chini ya Kocha Mkuu, Abdelhak Benchikha limedhamiria kufanya mambo makubwa mawili ili kuendeleza heshima iliyoijenga timu hiyo pamoja...