Staff Desk
SIMBA KUSHUSHA WAMBA HAWA WANNE KUZIBA MAPENGO
Uongozi wa Simba SC umesema umetenga fungu la kutosha kwa ajili ya kufanya usajili wa nguvu kwenye dirisha dogo ambalo linmefunguliwa wiki iliyopita.
Katika dirisha...
YANGA FUNGA MWAKA INAFANYIKA HIVI
Bingwa mtetezi Yanga bado anaendelea na safari yake akitaka kutetea taji lake la tatu mfululizo la Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mchezo wake...
DOH GUARDIOLA NDIO BASI TENA MAN CITY
Meneja wa Manchester City, Pep Guardiola amesema “amefunga ukurasa” katika klabu hiyo ya Ligi ya Premia baada ya kushinda Kombe la Dunia la Vilabu.
City...
MWAMNYETO ALIANZISHA YANGA… ATAKA KUTUMKIA HUKU
Taarifa kutoka kwa watu wa Nahodha wa kikosi cha Yanga Sc, Bakari Mwamnyeto zinaeleza kuwa huenda akatimka ndani ya kikosi hicho cha wananchi mwishoni...
HUU HAPA MUONEKANO MPYA WA UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR
MASHABIKI wa soka visiwani Zanzibar kwa sasa akili na hamu yao kuu ni kushuhudia michuano ya Kombe la Mapinduzi 2024 inayotarajiwa kuanza rasmi Alhamisi...
SIMBA INAZIDI KUJICHIMBIA KABURI LIGI KUU
SIMBA inazidi kujiweka kwenye mazingira magumu ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Bara baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 na KMC kwenye mchezo...
YANGA SIO KINYONGE….. WAFUNGA MWAKA KWA MTINDO HUU
BINGWA mtetezi Yanga bado anaendelea na safari yake akitaka kutetea taji lake la tatu mfululizo la Ligi Kuu Bara baada ya kushinda mchezo wake...
TUKUTANE MWAKANI….AZIZI KI WAMOTO…..WAZIRI JR AMTIBULIA BENCHIKHA
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
KLABU BINGWA ZA DUNIA MPINZANI WA YANGA AIBUKIA NAFASI YA TATU
Wapinzani wa Yanga kundi D kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Al Ahly ya Misri, imemaliza nafasi ya tatu kwenye mashindano ya Kombe...
HIKI KIKOSI CHA SASA TAIFA STARS SIO POA
Muda wowote kuanzia sasa magari ya maofisa wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) yatakuwa yanapishana kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...