AFCON KULETA NEEMA HUU HAPA UWANJA MPYA UTAKAOJENGWA ARUSHA
Mwonekano wa uwanja mpya wa Arusha utakaojengwa na serikali jijini Arusha ikiwa sehemu ya maandalizi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)…
Mwonekano wa uwanja mpya wa Arusha utakaojengwa na serikali jijini Arusha ikiwa sehemu ya maandalizi ya kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon)…
Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB. Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu…
Afisa Habari wa JKT Tanzania Masau Bwire, amesema sio sahihi kwa wadau wa soka la Bongo kuamini Simba SC na Young Africans ndizo zina haki…
Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi katika kuhakikisha anapata ushindi kwenye mchezo wao dhidi ya Al Merrikh, kesho Jumamosi ameonekana kuwaongezea dozi ya mazoezi wachezaji wake…
Unajua kwa nini Simba SC walipewa jina na Lunyasi na Yanga walipewa jina la Kudere. Iko hivi Simba walipewa Lunyasi kwa sababu walikuwa wanaweka mpira…
Kikosi cha Timu ya Power Dynamos tayari wamekwisha wasili nchini kutokea Zambia kwaajili ya mchezo wao wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya…
Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo
Kampuni ya Meridianbet imefanikiwa kuwafikia wakazi wa Tandika Majaribio ambapo wamezindua duka jipya mitaa hiyo katika harakati za kuhakikisha huduma inapatikana katika maeneo mbalimbali kwa…
Mashabiki wa Klabu Bingwa nchini Zambia Power Dynamos wapo safarini kuelekea jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuishangilia timu yao, itakayokabiliwa na mchezo wa…
Tanzania imebarikiwa kuwa na wachezaji wengi bora katika eneo la kiungo sio bara tu hadi visiwani Zanzibar ambako kwa hakika kumekuwa kukitoa wakali wengi wa…