POCHETTINO ATAJWA KUIBUKIA ATHLETIC BILBAO KUBEBA MIKOBA YA GARITANO
MAURICIO Pochettino, aliyekuwa Kocha Mkuu wa Tottenham kwa sasa anahusishwa kujiunga na Klabu ya Athletic Bilbao ili kubeba mikoba ya kocha Gaizko Garitano ambaye anapata tabu ndani ya La Liga kwa sasa akiwa ameongoza timu hiyo kucheza mechi nane na imekusanya pointi nane.Uwezo wa wachezaji pamoja na benchi la ufundi vimekuwa vikiwapa mashaka mabosi wa timu hiyo jambo linalowafanya...
KASHASHA: CHAMA ATAWASAIDIA YANGA KUTOKANA NA UBORA
MTANGAZAJI na mchambuzi maarufu wa masuala ya michezo nchini, Alex Kashasha ‘Mwalimu Kashasha’, amekiri kuwa kama Yanga itafanikiwa kumsajili kiungo nyota wa Klabu ya Simba, Clatous Chama,basi atawasaidia Yanga kutokana na ubora alionao. Hivi karibuni kumekuwa na taarifa zinazomhusisha kiungo huyo wa Simba kuwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Yanga ili kujiunga na timu hiyo. Akizungumza katika mahojiano maluum ya +255...
SIMBA YATOA TAMKO ISHU YA CHAMA KUIBUKIA YANGA
UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa sasa nyota wao Clatous Chama ataendelea kuwa ndani ya kikosi hicho kwa kuwa ni mali yao.Chama mwenye mabao mawili ndani ya Ligi Kuu Bara na pasi tano kwa msimu wa 2020/21 kati ya mabao 22 yaliyofungwa na Simba anatajwa kuingia kwenye rada za watani wa jadi Yanga.Kwenye wakati wa usajili wa dirisha kubwa...
YANGA YATAJA ALIYEWAYEYUSHIA USHINDI DAR DABI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze amesema kuwa kutokuwepo kwa nyota wake mtengeneza mipango namba moja kwa wageni Carlos Carlinhos ni miongoni mwa sabab iliyowafanya washindwe kusepa na ushindi jumlajumla kwenye Dar Dabi.Yanga, Novemba 7 iligawana pointi mojamoja na Simba kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambapo bao la kuongoza lilifungwa dakika ya 31 na...
SIMON MSUVA DARASA TOSHA KWA WANAOPENDA MAFANIKIO
SIMON Msuva nyota mzawa ambaye yupo kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kinachojiandaa na mchezo dhidi ya Tunisia unaotarajiwa kuchezwa Novemba 13 kwa sasa ni mali ya Wydad Casablaca.Mzawa huyo alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Difaa El Jadida hivyo anaanza changamoto mpya ndani ya Klabu ya Casblaca kwa dili la miaka minne zote zikiwa ni za...
VINARA WA LIGI KUU BARA AZAM FC WAINGIA CHIMBO
VINARA wa Ligi Kuu Bara, Azam FC kwa sasa wamerejea chimbo kuivutia kasi Klabu ya KMC kwenye mchezo wao ujao wa Ligi Kuu Bara.Ushindi wao wa mabao 3-0 dhidi Dodoma Jiji unawafanya wawe nafasi ya kwanza na pointi 25 kibindoni wakifuatiwa na Yanga iliyo nafasi ya pili na pointi 24.Ikiwa imecheza mechi 10 kinara wao wa kutengeneza mabao ni...
SIMBA YAFUNGUKIA ISHU YA UNAHODHA
KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, amesema kuwa ndani ya kikosi hicho kuna nyota wengi wanaoweza kuvaa kitambaa cha unahodha na kuwaongoza wenzake na sio lazima mara zote awe mchezaji mmoja au wawili pekee. Hivi karibuni, kulizuka maswali mengi kuhusiana na ishu ya unahodha ndani ya kikosi cha Simba ambapo kwenye mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, aliyevaa kitambaa alikuwa Jonas...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumatano
MWAKINYO NA MUARGENTINA WATAMBIANA KABLA YA KUKUTANA KUZICHAPA
BONDIA Hassan Mwakinyo na Muargentina Jose Carlos Paz wametamba kila mmoja atamchapa mwenzake katika pambano la kuwania ubingwa wa uzito wa Super-Welter wa mabara unaotambuliwa na chama cha WBF.Mwakinyo na Paz watapambana Ijumaa kwenye ukumbi wa Next Door Arena katika pambano lililopangwa kuwa la raundi 12.Akizungumza katika mkutano na waandishi wa Habari Mwakinyo amesema kuwa atahakikisha Paz anaachana na mchezo...
TIMU YA TAIFA YA WANAWAKE U 17 YAIBUKA NA USHINDI WA MABAO 10-1 DHIDI YA ZIMBABWE
SHEHAT Mohame ameibuka kuwa mchezaji bora leo Novemba 10 wakati timu ya Taifa ya Wanawake U 17 ikishinda mabao 10-1 dhidi ya Zimbabwe kwenye mashindano ya Cosafa nchini Afrika Kusini.Mohame alitupia mabao mawili dakika ya 18 na 89 huku mengine yakifungwa na Protasia Kipaga dakika ya 1,Koku Kipanga dakika ya 11, Irene Kisisa dakika 13, Ester Mabaza dakika ya...