LIVERPOOL YAAMBIWA KUWA ITAKUWA NGUMU KUTETEA UBINGWA
LEGENDI, Jamie Carragher anaamini kwamba Klabu yake ya zamani ya Liverpool itapata tabu kubwa kutetea taji la ubingwa wa Ligi Kuu England bila uwepo wa beki kisiki Virgil Van Dijk.Beki huyo wa zamani wa Liverpool amesema kuwa kwa sasa Jurgen Klopp anapaswa afaye usajili mkubwa kwa kumvuta Dayot Upamecano beki wa kati anayecheza ndani ya RB Leipzing ili awe mbadala...
NAMUNGO FC: TATIZO LIPO KWENYE MAANDALIZI
HITIMANA Thiery, Kocha Mkuu wa Klabu ya Namungo FC amesema kuwa tatizo linaloisumbua timu hiyo kwa sasa ni kushindwa kupata maandalizi mazuri mwanzoni mwa msimu.Msimu wa 2020/21 timu nyingi zilipata muda mchache wa maandalizi kutokana na uwepo wa janga la Corona ambalo lilivuruga ratiba nyingi duniani.Namungo ikiwa imecheza jumla ya mechi 7, imeshinda mechi tatu, imepoteza mechi nne ikiwa...
NYOTA WATATU WA SIMBA KUIKOSA TANZANIA PRISONS
NYOTA watatu wa kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck raia wa Ubelgiji akiwa na msaidizi mzawa, Seleman Matola wanatarajiwa kuukosa mchezo wa ligi dhidi ya Tanzania Prisons utakaochezwa Oktoba 22.Mchezo huo utapigwa Uwanja wa Nelson Mandela, Rukwa saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki ambapo nyota hao ni pamoja na :- Meddie Kagere ambaye ni mshambuliaji...
NYOTA WAWILI WA YANGA KUUKOSA MCHEZO WA POLISI TANZANIA
NYOTA wawili wa Yanga wanatarajiwa kuukosa jumla mchezo wa kwanza kwa Kocha Mkuu, Cedric Kaze kutokana na kutokuwa fiti kiafya. Ally Makame nyota wa Klabu ya Yanga na Mapinduzi Balama wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 22, Uwanja wa Mkapa dhidi ya Polisi Tanzania.Makame kwa mujibu wa Meneja wa Yanga, Hafidhi Saleh ni kwamba anasumbuliwa na...
RATIBA YA LEO OKTOBA 20 NDANI YA LIGI KUU BARA
LEO Oktoba 20 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo kutakuwa na timu nane ambazo zitashuka kwenye viwanja vinne tofauti kusaka pointi tatu muhimu.Mambo yatakuwa namna hii:-Ihefu FC iliyo nafasi ya 17 na pointi zake tatu baada ya kucheza mechi sita itaikaribisha Azam FC iliyo nafasi ya kwanza na pointi 18 baada ya kucheza mechi sita, Uwanja wa...
TFF YATAJA MAFANIKIO YAKE KWA MUDA WA MIAKA MINNE
RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia, amesema upatikanaji wa viwanja kwa ajili ya kukuza soka vilivyopo Kigamboni jijini Dar na mkoani Tanga, ni miongoni mwa mafanikio makubwa kwao. Karia alitoa kauli hiyo kwenye hafla iliyoandaliwa na Baraza la Michezo la Taifa (BMT) iliyofanyika Oktoba 17, ambapo alisema hayo kwao ni mafanikio ya uongozi wake ndani ya miaka...
KUMBE MESSI ALIGOMEA ISHU YAKE YA KUIBUKIA REAL MADRID
LIONEL Messi amekuwa ni nembo ya Klabu ya Barcelona kwa muda mrefu tangu kuondoka kwa Ronaldinho mwaka 2008, lakini kumbe wapinzani wao wa jadi, Real Madrid, waliwahi kutuma ofa ya kutaka kumsajili. Rais wa Madrid, Florentino Perez alifanya mpango huo mwaka 2013 lakini dili likawa gumu licha ya kuwa alikuwa tayari kumwaga fedha kumsajili Messi. “Maombi ya usajili ya Florentino Perez...
MSIMAMO WA LIGI KUU TANZANIA BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa upo namna hii
SIMBA YAPIGA MATIZI LEO UWANJA WA SOKOINE, MBEYA
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck akisaidina na Kocha Msaidizi Seleman Matola baada ya kuwasili Mbeya leo Oktoba 19 kimefanya mazoezi kwa ajili ya kurejesha miili ya wachezaji kwenye ubora wao.Oktoba 17 kilikuwa na mchezo wa kirafiki dhidi ya Mlandege FC uliochezwa Uwanja wa Azam Complex na kiliibuka na ushindi wa mabao 3-1.Mazoezi hayo ambayo ni...
YANGA YAIVUTIA KASI POLISI TANZANIA
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze leo Oktoba 19 kimeendelea kujiweka sawa kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania kwenye kambi yao iliyopo maeneo ya Kigamboni. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Oktoba 22, Uwanja wa Mkapa saa 1:00 usiku unatarajiwa kuwa na ushindani kwa timu zote mbili kuwania pointi tatu muhimu.Msimu uliopita...