ISHU YA KATWILA KUBWAGA MANYANGA MTIBWA SUGAR IPO HIVI

0

 IMEELEZWA kuwa, Zuber Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amebwagwa manyanga kutokana na timu hiyo kuwa na matokeo ya kusuasua kwa msimu wa 2020/21.Katwila ambaye alikuwa mchezaji wa zamani wa timu hiyo na alikuwa nahodha kwa sasa hayupo na timu kambini Morogoro ikiwa kwenye maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Namungo FC, unaotarajiwa kuchezwa kesho Oktoba...

HOFU YATANDA DIJK KUKAA NJE MIEZI SABA

0

 BEKI kisiki  ndani ya kikosi cha Liverpool, Virgil Van Dijk, anaweza kukaa nje miezi saba hii ikimaniisha huenda akazikosa mechi zote zilizosalia msimu huu, baada ya jana kuchezewa rafu mbaya na mlinda mlango wa Everton Jordan Pickford.Rafu hiyo alichezwa kwenye mechi ya Ligi Kuu England , Uwanja wa Goodison Park wakati Liverpool ikilazimisha sare ya kufungana mabao 2-2.Aidha Liverpool...

KOCHA YANGA KUANZA KUTESTI MITAMBO NA POLISI TANZANIA

0

 KOCHA Mkuu wa Yanga, Cedric Kaze kibarua chake cha kwanza ndani ya ardhi ya Bongo ni Novemba 22, Uwanja wa Mkapa itakuwa dhidi ya Polisi Tanzania.Kaze ambaye amesaini dili la miaka miwili Oktoba 16 tayari ameshaanza kukinoa kikosi cha Yanga kwa ajili ya mechi za ligi ambazo zipo mbele yake.Yanga ikiwa nafasi ya tatu baada ya kucheza mechi tano...

PRINCE DUBE WA AZAM FC AUTIKISA UFALME WA MK 14

0

 PRINCE Dube, nyota wa Klabu ya Azam FC ameonekana kuutikisa ufalme wa Meddie Kagere wa Simba baada ya kuhusika kwenye mabao nane ndani ya timu yake kati ya 12 huku Kagere akihusika kwenye mabao manne kati ya 14 kwa msimu wa 2020/21.Dube, raia wa Zimbabwe alianza kwa makeke mchezo wake wa kwanza dhidi ya Polisi Tanzania alipotengeneza pasi yake...

BIASHARA UNITED MDOGOMDOGO WANAKUJA, MGORE ANA JAMBO LAKE

0

 MABAO manne pekee kipa namba moja wa Biashara United ameyaokota kwenye nyavu zake anaitwa Daniel Mgore.Ni timu moja kati ya sita ambazo wamekutana nazo uwanjani iliyoweza kumpa tabu kipa huyu mzawa akiwa kwenye majukumu yake ambapo kwa sasa ana jumla ya clean sheet tano.Ilikuwa ni mbele ya Simba, Uwanja wa Mkapa wakati ikipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 na kuyeyusha...

LUIS: JUKUMU LANGU SIO KUTENGENEZA ASISTI PEKEE

0

 BAADA ya kupiga asisti za kutosha, kiungo mshambuliaji wa Simba raia wa Msumbiji, Luis Miquissone amesema kuwa hivi sasa akili na nguvu anazihamishia kwenye kufunga mabao. Kiungo huyo ndiye anayeongoza hivi sasa katika asisti ambaye amepiga tano pekee hadi hivi sasa huku akifunga bao moja pekee kwenye mchezo uliopita wa Ligi Kuu Bara walipocheza na JKT Tanzania. Luis amesema kuwa majukumu...

MBEYA CITY INA REKODI YAKE MATATA VPL

0

 KLABU ya Mbeya City inayonolewa na Kocha Mkuu, Amri Said imeweka rekodi yake ndani ya Ligi Kuu Bara kwa kucheza mechi sita ambazo ni dakika 540 bila safu yake ya ushambuliaji kufunga bao na safu yake ya ulinzi ikiruhusu kufungwa mabao saba.Mbeya City ambayo msimu uliopita ilikuwa kwenye hatihati ya kushuka daraja baada ya kubaki ndani ya ligi kwa...

ARTETA ACHAPWA BAO 1-0 NA MANCHESTER CITY, AHOJI KUHUSU VAR

0

 MIKEL Arteta, Kocha Mkuu wa  Arsenal amesema kuwa licha ya  kupoteza kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa jana mwamuzi alipaswa aangalie VAR kwa kuwa kulikuwa na dalili ya penalti.Kipindi cha kwanza mchezaji wa City, Kyle Walker alionekana amepiga shuti karibu na kichwa cha mchezaji wa Arsenal, Gabriel jambo ambalo halikutazamwa...

MAGUIRE ALIAMSHA WAKATI MANCHESTER UNITED IKIPIGA 4G

0

 HARRY Maguire,  nahodha wa Manchester United dakika ya 23 aliweza kufuta makosa ya mchezaji mwenzake Luke Show aliyejifunga dakika ya 2 kwenye mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Newcastle United.Dakika 90 zilikamilika kwa United kusepa na pointi tatu baada ya kushinda kwa mabao 4-1 kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa St.James Park.Mabao mengine ya Manchester United yalifungwa na Bruno...

KOCHA YANGA ATAJA SABABU ZITAKAZOWAPA UBINGWA

0

 CEDRIC Kaze Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa, ana matumaini makubwa ya kuuchukua ubingwa kutokana na mipango yake makini pamoja na uimara wa kikosi chake.Kaze amesaini dili la miaka miwili kukitumikia kikosi cha Yanga akichukua mikoba ya Zlatko Krmpotic ambaye alifutwa kazi Oktoba 3, tayari amesahaanza kazi rasmi kukinoa kikosi chake kipya. Kwa sasa Yanga ipo nafasi ya tatu ikiwa na...