ORODHA YA WACHEZAJI 22 WA AZAM FC WALIOANZA SAFARI KUIBUKIA MOROGORO
KIKOSI cha wachezaji 22 cha Azam FC kimeondoka Dar mchana wa leo kuelekea Morogoro ajili ya mchezo wa raundi ya 8 dhidi ya Mtibwa Sugar.Kikosi kamili ni kama ifuatavyo 1. Bennedict Haule2. David Mapigano3. Nicholas Wadada4. Abdul Hamahama5. Bruce Kangwa6. Agrey Moris7. Mudathir Yahya8. Richard Djodi9. Andrew Simchimba10. Never Tigere11. Frank Domayo12. Abdallah Sebo13. Ally Niyonzima14. Iddy Nado15. Daniel Amoah 16....
MTIBWA SUGAR: TUTAVUNJA MWIKO WA AZAM FC KUTOFUNGWA
UONGOZI wa Mtibwa Sugar umesema kuwa utatibua rekodi ya Azam FC ya kucheza mechi saba bila kufungwa kwa kuwa wamejipanga kupata ushindi kwenye mchezo wao wa ligi utakaochewa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Kwa sasa Azam FC ni vinara wa ligi wakiwa na pointi 21 baada ya kucheza mechi saba msimu wa 2020/21 na kimefunga jumla ya mabao 14.Kinara wa mabao...
BINGWA WA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA KUPATIKANA KESHO
LIGI ya Taifa ya Kikapu ya Tanzania (National Basketball League - NBL) iliyoanza Februari ngazi ya mikoa RBA na sasa iko ngazi ya Taifa (NBL).Ligi hiyo inafikia tamati kesho Jumapili 25 Octoba, leo Jumamosi kuna nusu fainali na kesho ni fainali.Fainali hiyo itachezwa Uwanja wa Don Bosco Upanga, Dar es Salaam na bingwa atapatikana. Bingwa wa Kikapu Tanzania ana jukumu...
MAPOKEZI YANGA MWANZA LEO OKTOBA 24 SI MCHEZO
KIKOSI cha Yanga leo Oktoba 24 kimewasili Mwanza ambapo kitakuwa na mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC, kesho Oktoba 25.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Kirumba saa 10:00 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na kati.Wakati Yanga ikitia timu Mwanza, mashabiki wengi walijitokeza kuipokea timu ya Yanga wakiwa kwenye misafara ya bodaboda na magari.Yanga inavaana na KMC...
KOCHA KATWILA AIPIGA BONGE MOJA YA MKWARA NAMUNGO
BAADA ya kupoteza mchezo dhidi ya Azam FC kwa kufungwa mabao 2-0, Ihefu leo Jumamosi watakuwa wenyeji wa Namungo FC, Uwanja wa Sokoine. Huu unakuwa mchezo wa pili kwa kocha Zubeir Katwila kuiongoza timu hiyo ambayo imekuwa na matokeo mabaya kwenye ligi. Akizungumza na Championi Jumamosi, kocha huyo amesema wameyafanyia kazi makosa yaliyojitokeza kwenye mchezo dhidi ya Azam FC na anaamini...
AL AHLY YATINGA FAINALI LIGI YA MABINGWA AFRIKA
KIGOGO wa soka kutoka Morocco, Wydad Casablanca, amekubali kapigika nje-ndani kwenye mtanange wa nusu fainali ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya bingwa wa kihistoria wa michuano hiyo National Al Ahly ya Misri. Akiwa nyumbani Wydad alifungwa mabao 2-0, juma lililopita na usiku wa jana Ahly akaonyesha umwamba akiwa kwenye uwanja wa nyumbani baada ya kushinda mabao 3-1.Mabao ya Al...
ASTON VILLA WAPATWA NA BAMFORD, WACHAPWA
ASTON Villa wakiwa nyumbani hawatamsahau mshambuliaji wa Klabu ya Leeds United, Patrick Bamford kwa kuwatungua hat-trick kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wakati wakipoteza kwa kufungwa mabao 3-0.Kujiamini na uwezo wa Bamford uliiponza timu ya Aston Villa ambayo Mtanzania Mbwana Samatta aliweka rekodi ya kucheza hapo msimu uliopita kabla ya kutolewa kwa mkopo kuelekea nchini Uturuki.Mabao ya mshambuliaji huyo...
RUVU SHOOTING: WAO WANA PIRA BIRIANI SISI TUNA PIRA KAVUKAVU
MASAU Bwire, Ofisa Habari wa Klabu ya Ruvu Shooting amesema kuwa kikosi chao kipo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya Simba utakaochezwa Oktoba 26, Uwanja wa Uhuru saa 10:00 jioni.Bwire amesema kuwa kwa kuwa Simba wanatamba na sera yao ya pira biriani wao wanakuja na pira kavukavu ndani ya uwanja na wana imani ya kupata pointi tatu jumlajumla.Akizungumza...
OKTOBA 26 SIMBA KAZINI TENA
KIKOSI cha Simba kina kibarua kingine tena Oktoba 26 kumenyana na timu ya Ruvu Shooting ambayo nayo ni mwendo wa kijeshi ndani ya uwanja kama ilivyo Tanzania Prisons.Simba wakiwa wametoka kuchezeshwa ligwaride na Tanzania Prisons Oktoba 22 Uwanja wa Nelson Mandela kwa kufungwa bao 1-0 wana kazi nyingine ya kufanya Uwanja wa Uhuru.Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek amesema...
YANGA YAWASILI MWANZA, MMOJA KUWAKOSA KMC KESHO
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Cedric Kaze raia wa Burundi leo Oktoba 23 kimewasili salama Mwanza, tayari kwa maandalizi ya mchezo wa wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC FC.Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kesho, Oktoba 25 Uwanja wa CCM Kirumba saa 10:00 jioni.Tayari wenyeji wa mchezo huo ambao ni KMC walishatia timu Mwanza wakitokea Dar, Oktoba 22.Meneja...