NYOTA AZAM FC ATIMKIA ISRAEL
KIUNGO Novatus Dismas ameuzwa kwenda Klabu ya Macabi Tel Aviv ya Israel kutoka Klabu ya Azam FC.Nyota huyo mwenye tuzo ya mchezaji bora chipukizi kwa msimu wa 2019/20 dili lake limejibu baada ya kufanya vizuri majaribio yake.Kwa mujibu wa Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema kuwa majaribio yake timu ya wakubwa alifaulu jambo ambalo limewafanya mabosi wa...
DAVID KISSU WA AZAM FC AWEKA REKODI YAKE BONGO
DAVID Kissu Mapingano kipa namba moja wa Azam FC ameweka rekodi ya kuwa kinara wa clean sheet ndani ya Ligi Kuu Bara Bara msimu wa 2020/21 akitumia dakika 540 bila kuruhusu kufungwa na kumpoteza Daniel Mgore kipa wa Biashara United.Kissu ambaye ni ingizo jipya kutoka Klabu ya Gormahia ya Kenya ameweza kukaa langoni kwenye mechi saba na ametunguliwa mechi...
MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII
MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya dakika 180 ya mechi mbili za jana Oktoba 22
BAADA YA BIRIANI LA SIMBA KULIWA,NENO LAO HILI HAPA
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Simba baada ya kupotezwa na faslafa yao ya mpira biriani kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Tanzania Prisons Uwanja wa Nelson Mandela, nahodha msaidizi, Mohamed Hussein amesema kuwa ni sehemu ya matokeo.Mchezo huo ulikuwa ni wa sita kwa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck huku ukiwa ni wa kwanza kwake kupoteza...
ARSENAL YAPINDUA MEZA
ARSENAL imeanza kwa ushindi wa mabao 2-1 ndani ya kundi B kwenye Kwenye mashindano ya Europa League baada ya kupindua meza kibabe wakitokea nyuma na kushinda mabao 2-1 dhidi ya Rapid Wien.Mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Allianz Stadion Taxiarchis Fountas alianza kupachika bao la Kwanza kwa Rapid Wien lililopinduliwa na David Luis dakika ya 70.Bao la pili na la...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa nyuma Gazeti la Championi Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Ijumaa
VIDEO: BAO LA TANZANIA PRISONS WAKIWATUNGUA SIMBA UWANJA WA NELSON MANDELA
HILI ndilo bao pekee la Tanzania Prisons lililosepa na pointi tatu mazima mbele ya Simba Uwanja wa Nelson Mandela, Oktoba 22
VPL: YANGA 0-0 POLISI TANZANIA
Uwanja wa Uhuru:- Yanga 0-0 Polisi TanzaniaKipindi cha kwanzaOktoba 22Ligi Kuu Bara Dakika ya 40 Uwanja wa Uhuru, Moro anachezewa faulo na mpira unapigwa kuelekea kwa Polisi TzDakika ya 36 Lamine Moro anaokoa hatari iliyopigwa na Marcel KahezaKipindi cha kwanza kinaendelea kwa sasa baada ya dakika moja ya kupoza koo kukamilika.Dakika moja kwa ajili ya kupoza koo na joto la...
VPL: TANZANIA PRISONS 0-0 SIMBA
Tanzania Prisons 0-0 SimbaUwanja wa Nelson Mandela, MbeyaDakika ya 35 milango bado migumu kwa timu zote mbili.Dakika ya 31 Erasto Nyoni anaokoa hatariDakika ya 22 Tanzania Prisons wanafanya shambulio la hatari lango la Simba, mwamuzi anasema kuwa wameotea.Dakika ya 18: Simba wanapiga kona ya pili zote hazizai matunda ndani ya uwanja kupitia kwa Bernard MorrisonDakika 15 zinakamilika na hakuna...