BALAA, KAGERE APEWA MABAO 30 LIGI KUU BARA
MSEMAJI wa klabu ya soka ya APR na mchambuzi nguli wa michezo kutoka nchini Rwanda, Clever Kazungu, amesema kuwa ana uhakika kama hali ya mambo itakuwa nzuri na Ligi Kuu Bara kurejea basi mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere atafunga mabao 30 msimu huu.Kazungu amesema kuwa haoni uwezekano wa Kagere kukosa mabao 11 katika mechi ambazo Simba imebaki nazo.Simba imesaliwa...
SERIKALI YATAKA BINGWA APATIKANE KWA MTINDO HUU
BAADHI ya Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameshauri Shirikisho la Soka la Tanzania (TFF) kuifuta ligi msimu huu na ubingwa kuipa Simba ambayo inaongoza Ligi Kuu Bara kwa pointi nyingi zaidi ya timu zinazofuatia wakidai hali siyo salama kwa ligi kurejea kwa sasa. Hayo yamesemwa na Mbunge wa Chemba, Juma Nkamia na Mbunge wa Sengerema, William...
NGOMA NDO BASI TENA AZAM FC
BAADA ya juzi Alhamisi, Azam FC kumuongezea mkataba mshambuliaji wa klabu hiyo, Obrey Chirwa, inaelezwa kuwa timu hiyo haina mpango wa kumuongezea mkataba nyota wake, Donald Ngoma. Taarifa za uhakika kutoka ndani ya uongozi wa Azam FC zinadai kuwa, Ngoma amekuwa hana mwendelezo mzuri ndani ya klabu hiyo kutokana na kuandamwa na majeraha ya mara kwa mara hali inayofanya ashindwe...
UMTITI AGOMA KUSEPA BARCA
SAMUEL Umtiti beki anayekipiga ndani ya Klabu ya Barcelona amesema kuwa hana mpango wa kutimka ndani ya kikosi hicho.Taarifa zinaeleza kuwa kitasa hicho Chenye umri wa miaka 26 bado kinafurahia maisha ndani ya Klabu hiyo.Mkataba wake unameguka msimu wa 2025 ambapo alikuwa anatajwa huenda akasepa.Miongoni mwa Klabu ambazo zilikuwa zinatajwa kuiwinda saini yake ni Chelsea na Manchester United
WAMEJIPANGA…KWA SIMBA HII MNACHEZA NYIE..!!
HAIELEWEKI Ligi Kuu msimu huu itaendelea lini, lakini straika Mnigeria Raphael Obinna amesema hakuna miujiza yoyote inayoweza kutokea Simba ikakosa ubingwa.Mchezaji huyo tegemeo wa Mwadui FC ya Shinyanga ameenda mbali zaidi na kusema kwamba kwa uzoefu wake na jinsi alivyoona ubora wa timu zote hata msimu ukianza upya leo Simba itabeba tu kombe hilo kwani haina mpinzani.Ligi hiyo imesimama...
LUIZ AWAPA PONGEZI MADAKTARI
DAVID Luiz, beki wa kati wa Arsenal anaamini kuwa Kwenye mapambano ya Virusi vya Corona kuna umuhimu wa kuwakumbuka wataalamu wa masuala ya afya.Luiz amesema kuwa watu wa afya wamekuwa wakijitolea Kwenye mambo mengi bila kujali matokeo kwao."Wamekuwa wakifanya mambo makubwa na wakati mwingine wakiwa Kwenye hatari wanapambana katika kazi yao. "Kitu muhimu ni kuwaombea kwani wanajihatarisha na hawachoki katika...
YANGA WAPEWA STRAIKA MGHANA, MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la Championi Jumamosi
WILLIAN AINGIA ANGA ZA LIVERPOOL
WILLIAN Borges da Silva, kiungo anayekipiga ndani ya Klabu ya Chelsea iliyo chini ya Frank Lampard inaelezwa kuwa yupo kwenye mazungumzo na Klabu ya Liverpool.Nyota huyo mwenye miaka 31 hajaongeza mkataba mpya ndani ya Chelsea ambapo kumekuwa na mvutano kati yake na mabosi wake ambao wanataka kumpa dili la mwaka mmoja huku yeye akihitaji kupewa kandarasi ya miaka miwili.Liverpool...
NYOTA WA YANGA APANIA KUENDELEZA MOTO WAKE WA KUCHEKA NA NYAVU
TARIQ Seif, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa atahakikisha anaendelea kutupia kila anapopopata nafasi ya kucheza kikosi cha kwanza.Seif ni ingizo jipya ndani ya Yanga ambapo alisajiliwa mwezi Januari akitokea nchini Misri na mechi yake ya kwanza ilikuwa mbele ya Biashara United ambapo alitupia bao lake la kwanza.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona...