KOCHA SIMBA AANZA NA STRAIKA HUYU
MSEMAJI mwenye kauli ya mwisho kwenye Benchi la Ufundi la Simba, Sven Vandenbroeck ameweka wazi kwamba usajili wa kwanza ambao ataufanya kwenye kikosi chake kwa msimu ujao ni kumuweka sawa straika Miraji Athuman ‘Sheva’.Kocha huyo ameweka bayana kwamba huo ndiyo usajili wake wa kwanza ambao ameufikiria kuufanya kwa kumpa muda zaidi wa kucheza Sheva kutokana na mambo makubwa aliyoyafanya...
MTAMBO WA MABAO KUTUA YANGA..MAMBO YOTE YAPO HIVI..!!!
RELIANTS Lusajo, mtambo wa mabao ndani ya Yanga iwapo dili lake la kutua ndani ya kikosi cha Yanga litajibu, basi atashuka na nyota pacha wake mzawa, Lucas Kikoti.Habari zinaeleza kuwa, Yanga ipo kwenye mchakato wa kuinasa saini ya Lusajo ambaye ni kinara wa kutupia ndani ya Namungo aliyetupia mabao 11 sambamba na pacha wake, Kikoti ambaye ametupia mabao manne...
YANGA YA GSM YAZIDI KUNOGA…KUINGIA MKATABA NA KLABU KIGOGO YA HISPANIA
KAMPUNI ya GSM ipo katika hatua za mwisho za kuingia makubaliano na moja ya klabu za Hispania iliyopo kwenye viwango vya nne bora katika uendeshaji wa klabu ikiwemo kufanya ‘scouting’ ya wachezaji kabla ya kuwasajili.Wakati ikiahidi hayo yote, tayari GSM imeweka kitita cha Sh Bil 1.5 Yanga kwa ajili ya kufanikisha usajili wa wachezaji wapya kwenye msimu ujao.Kampuni hiyo...
SAKATA LA CHAMA KUTUA JANGWANI..MWAKALEBELA ATAKIWA KUJIUZULU YANGA
MCHEKESHAJI mkongwe Bongo, Steven Mangele (Steve Nyerere), amemtaka Makamu Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Frederick Mwakalebela kuachia ngazi katika nafasi hiyo ili kulinda heshima yake kufuatia sakata la usajili wa kiungo wa Simba, Clatous Chama kufika kwa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).Mwakalebela aliutibua uongozi wa Klabu ya Simba mara baada ya kudai kuwa amefanya mazungumzo na Chama wakitaka kumsajili,...
KUNA STRAIKA WA BURUNDI ANAITAKA YANGA, KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMATATU
KESHO ndani ya Gazeti la CHAMPIONI Jumatatu usipange kukosa nakala yako
CORONA YASABABISHA KUYUMBA KIDOGO KWA YANGA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa kwa kipindi hiki kigumu cha Virusi vya Corona uendeshaji umekuwa na changamoto kubwa kutokana na mambo kuyumba kutokana na janga hili.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamisha na Serikali kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona.Ofisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema kuwa kuna mambo ambayo yameyumba kidogo kutokana na kubadilika kwa ratiba tofauti...
MLINDA MLANGO WA SIMBA AMEMISI MAMBO MAKUBWA MATATU NDANI YA LIGI KUU BARA
MLINDA mlango namba moja wa Klabu ya Simba, Aishi Manula amesema kuwa amemisi mambo makubwa matatu na kutoa ombi lake kwa Mungu kunusuru hali ilivyo kwa sasa.Ligi Kuu Bara imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vinaitikisa dunia hivyo kurejea kwake inattegemea na hali itakavyokuwa shwari.Manula amesema;- Nimemisi kurudi uwanjani,nimemisi kusikia kelele za mashabiki, nimemisi kusimamia kamati...
NAHODHA WA YANGA AKUBALI KIUNGO HUYU MBADALA WAKE ATUE YANGA MAZIMA
TETESI mbalimbali ambazo zimeendelea kuripotiwa kila kukicha ndani ya Yanga, ni juu ya kocha wao, Luc Eymael kuhitaji kiungo mbadala wa Papy Kabamba Tshishimbi, hali ambayo inaonekana kutomtisha na kuibariki ifanikiwe kadri iwezekanavyo.Takribani wiki mbili sasa Yanga imekuwa ikihusishwa na kuendelea kuzama kwenye mchakato wa usajili wa kiungo wa Polisi Tanzania, Baraka Majogoro, hii ni kutokana na mapendekezo ya...
HUYU NDIYE MCHEZAJI WA KWANZA KUFUTA MACHOZI YA KIPA WA LIVERPOOL
LICHA ya kuwa na sifa ya kuwa na spidi ndani ya Uwanja huku mabosi wake Real Madrid wakiwa hawana mpango naye mkubwa ila ni shujaa aliyefuta machozi ya Loris Karius.Msimu wa 2018/19 kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kipa wa Liverpool Karius alitoa maboko mawili ya maana yaliyosababisha timu yake ikapoteza kwa kuchapwa mabao 3-1.Achana na kuumia kwa...
KOCHA STARS ATAJA SABABU YA MAKIPA KUWA NA VIWANGO VYA KUPWA NA KUJAA
ETTIENE Ndayiragije, Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania amesema kuwa kinachowakwamisha makipa wengi kushindwa kuwa kwenye ubora wao ni kutokana na makocha ambao wanawafundisha.Ndayiragije amesema kuwa kwa sasa kumekuwa na makocha ambao wanaamua kuwafundisha makipa ilihalli hawana uwezo mkubwa wa kuwafundisha makipa."Unajua kwa sasa mambo mengi yamebadilika, kuna wale ambao wanaamua kuwafundisha makipa ilihali hawana uwezo wa...