HUMUD ACHEKELEA DILI LA KUJIUMGA NA YANGA, AZUNGUMIZA MAISHA YAKE NDANI YA MTIBWA SUGAR
ABDULHAMAN Humud nyota anayekipiga ndani ya Mtibwa Sugar amesema kuwa maisha anayoishi ndani ya kikosi hicho anayapenda na yanampa furaha kwa sasa.Humud amekuwa akihusishwa kujiunga na Yanga msimu ujao jambo ambalo mwenyewe amekuwa akisema likikamilika itakuwa ni furaha nyingine kwake.Akizungumza na Saleh Jembe, Humud amesema :"Maisha yangu kwa sasa yapo ndani ya Mtibwa Sugar na ninaishi kwa amani na...
MWAMBA WA LUSAKA CHAMA ATAJA MASHARTI YA KUTUA YANGA
CLATOUS Chama, nyota anayekipiga ndani ya Klabu ya Simba amesema kuwa Yanga haiwezi kuipata saini yake msimu ujao wa mwaka 2020/21 kutokana na kuwa mali ya Simba labda msimu unaofuata wa mwaka 2021/22.Chama amekuwa kwenye sarakasi za usajili msimu huu ambapo Yanga ilielezwa kuwa inaitaka saini yake jambo lililowafanya Simba kupelekea malalamiko Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kwa kile...
SENZO – TULIENI..MAMBO MAZURI YANAKUJA MSIMBAZI
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Simba wamekuwa wakihusishwa kuwafuatilia wachezaji mbalimbali ndani na nje ya nchi hasa Bara la Afrika.Simba inapanga kufanya usajili wa maana ili kuwa na kikosi bora kwa ajili ya mashindano ya ndani na nje.Ofisa Mtendaji Mkuu wa Simba, Senzo Mazingisa amesema hawana wasi wasi wowote kwani wana timu kubwa ya watu wenye uweledi katika...
KISA CORONA.. WACHEZAJI WA AZAM FC WATENGWA..!!
AZAM FC mabosi wao bado wanakuna kichwa juu ya maisha yatakuaje mara baada ya wachezaji wao kurejea kama hali ya ugonjwa wa corona itatulia.Mtendaji Mkuu wa Azam Abdulkarim Amin 'Popat' amesema bado wanasikiliza maelekezo ya Serikali juu ya kutulia kwa maambukizi ya corona ambayo yatatoa picha ya lini kikosi chao kitarejea kazini.Popat amesema endapo hali itatulia kisha wachezaji wao...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasawa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili lipo mtaani Jipatie nakala yako
JEURI YA PESA..!! SIMBA YAZUIA NYOTA WAKE 10 KUSEPA
JEURI ya fedha iliyoonyeshwa na Simba katika kipindi cha misimu mitatu mfululizo imewatia pingu kwa muda wa misimu mitatu mfululizo nyota 10 wazawa tofauti wa klabu hiyo tofauti na awali.Nyota hao ni wale waliokuwemo katika kikosi cha Simba tangu bilionea Mohamed Dewji aanze kutoa sapoti ya moja kwa moja ya kifedha na kisha baadaye kuwa mwekezaji wa asilimia 49....
ANDRES PALOP KIPA WA ZAMANI WA VALENCIA APONA VIRUSI VYA CORONA
KIPA wa zamani wa klabu ya Valencia na Sevilla, Andres Palop hatimaye ameruhusiwa kutoka hospitali baada ya kuugua ugonjwa wa COVID19 unaosababishwa na Virusi vya Corona.Palop alilazwa hospitali kwa siku 12 akipambana na Virusi vya Corona kwa kuhakikisha anarejea katika afya yake ya kawaida. Hispania ni moja kati ya nchi ambazo zimeathirika kwa kiasi kikubwa na virusi vya corona ingawa...
MBELGIJI WA YANGA KUSHUSHA KIUNGO ATAKAYEMPA CHANGAMOTO TSHISHIMBI
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbelgiji, Luc Eymael amepanga kushusha kiungo mmoja mkabaji wa kimataifa atakayecheza namba sita baada ya kugundua upungufu katika safu hiyo.Safu hiyo ya kiungo hivi sasa inachezwa na Mkongomani, Papy Tshishimbi na Feisal Salum ‘Fei Toto’ ambao kocha ameonekana akiwatumia katika michezo mbalimbali ya Ligi Kuu Bara na Kombe la FA msimu huu.Kati ya viungo wanaotajwa...
MNATA:MUDA MWINGINE UNAPIGA KELELE HUJUI UNAZUGUMZA NINI, PRESHA TUPU
METACHA Mnata mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa ni presha kubwa kuwa ndani ya uwanja kwenye mechi kubwa hasa kwa mlinda mlango mwenye uchungu wa kupata clean sheet.Mnata amesema kuwa wakati mwingine mlinda mlango anapiga makelele bila kujua anazungumza nini ila sababu kubwa ni presha tu."Wakati mwingine ukiwa langoni unazungumza kwa nguvu bila kujua unazungumza nini kutokana...
BALOTELI BADO ANA URAFIKI NA NYAVU
MARIO Balotelli ni raia wa Italia anayekipiga ndani ya Klabu ya Brescia pamoja na timu ya Taifa ya Italia.Amezaliwa Agosti 12,1990 ana umri wa miaka 29 jezi yake ni namba 45.Nafasi yake ni mshambuliaji ambapo ametupia mabao matano kwenye mechi 19 alizocheza.Miongoni mwa timu alizocheza ni pamoja na Nice msimu wa 2016/19 alicheza mechi 61 na kutupia mabao 33,...