KMC YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA VIRUSI VYA CORONA
UONGOZI wa KMC umesema kuwa ni muhimu kwa kila mmoja kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ili kuwa salama.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mambo mengi yamesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona hivyo ni busara kila mmoja kuchukua tahadhari"Kwa sasa mambo mengi yamesimama hivyo kwa wale ambao watakuwa hawachukui tahadhari ni...
KOCHA SIMBA ATAJA SABABU YA KUTOELEWANA NA BENCHI LAKE LA UFUNDI
SVEN Vandernbroeck, Kocha Mkuu wa Simba amesema haikuwa rahisi kufanya kazi na benchi la ufundi kutokana na kutozeana.Sven alipoanza kazi ililipotiwa kuwa hakuwa na maelewano mazuri na Kocha Msaidizi, Seleman Matola jambo ambalo liliamuliwa na uongozi ili kumaliza tofauti zao.Kocha huyo amesema kuwa ilikuwa ngumu kufanya kazi na benchi la ufundi mwanzoni ila kwa sasa tayari wamezoeana na maisha...
YANGA YAPIGA HESABU ZA KIMATAIFA KUBORESHA KIKOSI CHAO
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa unahitaji kusuka kikosi upya kitakacholeta ushindani kitaifa na kimataifa kwa kushusha nyota wengi wakali na wenye ujuzi.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Uhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema kuwa mpango mkubwa kwa Yanga ni kuona inakuwa na kikosi cha kipekee msimu ujao."Malengo makubwa ni kuona kikosi cha Yanga msimu ujao kinakuwa ni cha kipekee na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTIXTRA JUMAPILI
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTIXTRA Jumapili
KUNA UMUHIMU WA KUWAPA THAMANI WACHEZAJI WETU ILI KUWA BORA, MWAMNYETO NI WAKATI WAKE
KILA mtu anajukumu la kuongeza thamani ya maisha yake, ukiwa ni mtu wa kwenda kulala kwenye gesti za elfu saba, kila mtu ataona thamani yako ni elfu saba! Ukiwa ni mtu wa kusafiri kwa ndege, hakuna atakayehitaji kukuletea tiketi ya basi! Tanzania kuna malalamiko mengi sana juu ya thamani za wachezaji wa kigeni kuwa juu kuliko wachezaji wazawa, Unadhani imekuja...
SENZO AFUNGUKA ATAKAVYOWARUDISHA BONGO KAGERE, CHAMA NA SHIBOUB
WAKATI mipaka ya nchi zao ikifungwa, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Senzo Mazingisa amepanga kuandaa utaratibu wa tofauti watakaoutumia ili kuhakikisha nyota wao wa kimataifa waliopo nje ya Tanzania wanarejea kwa wakati nchini. Wachezaji wa Simba waliopo nje ya Tanzania ni Francis Kahata, Meddie Kagere, Sharraf Eldin Shiboub, Luis Miquissone na Clatous Chama ambao kati ya hao mipaka ya...
UNAAMBIWA GSM BABA LAOO..WARUDI YANGA KWA SPIDI 360..!!
WADHAMINI wa Yanga, Kampuni ya GSM wamerejea kivingine klabuni hapo na safari hii wamekuja na staili mpya ya usajili kwa wachezaji wa kimataifa ambayo ili usajiliwe ni lazima uichezee timu ya taifa ya nchi yako. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu GSM watangaze kurejea kuendelee na udhamini wa nje ya mkataba ikiwemo posho, mishahara wa wachezaji na benchi la ufundi,...
MANARA – UWEZO WETU NI KUSAJILI MCHEZAJI WA MILIONI 230 TU..!!
MSEMAJI Mkuu wa Simba, Haji Manara amebainisha kwamba ni ngumu kwa klabu hiyo na nyingine za Tanzania kutwaa ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa sababu wanasajili mchezaji mwisho kwa dola laki moja (Tsh 230,409,000) wakati wenzao wanaweza kusajili hadi kwa dola laki nane (Tsh 1,843,270,000).Manara ameweka bayana kwamba kwa klabu za hapa kuna uwekezaji mdogo ikiwa ni tofauti...
NIYONZIMA,TSHISHIMBI NA MARRISON WAWEKWA MTEGONI YANGA..!!
KOCHA Msaidizi wa Yanga, Charles Mkwasa amewawekea mtego mastaa wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa ukweli wa nani alikuwa anafuata kwa usahihi program za mazoezi ambazo wamewaachia katika kipindi cha mapumziko utajulikana mara baada ya kukutana na atakayekutwa anategea, basi adhabu kubwa itampata ikiwemo kukatwaa mshahara. Benchi la ufundi la timu hiyo chini ya kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji,...
PAMOJA NA KIWANGO KIKUBWA..STARS YABAKI PALEPALE FIFA
TIMU ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' imeendelea kubaki nafasi ya 134 kwenye viwango vya ubora vya Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) vya mwezi Machi 2020.Kufutwa kwa ratiba ya mechi za kimataifa ambazo zilipangwa kuchezwa mwezi huo kutokana na kasi ya maambukizi ya virusi vya corona, kunaonekana kuiathiri Stars ambayo imejikuta ikibaki na pointi 1086 ilizokuwanazo mwezi Februari.Hilo halijatokea...