YANGA YAWATAKA MASHABIKI KUCHUKUA TAHADHARI YA CORONA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa mashabiki wanapaswa waendelee kuipa sapoti timu yao na kuendelea kujikinga na Virusi vya Corona.Ligi Kuu Bara imesimama kwa muda kutokana na kusambaa kwa Virusi vya Corona ambavyo vinatikisa dunia kwa sasa.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Mhamasishaji wa Yanga, Antonio Nugaz amesema kuwa kwa sasa ni muhimu kwa mashabiki kuendelea kuchuka tahadhari dhidi ya Virusi...
KIUNGO BORUSSIA DORTMUND ATAJA MABOSI WAKE WANACHOKITAKA
KIUNGO wa Borussia Dortmund, Emre Can amesema kuwa kitendo cha yeye kutua ndani ya klabu hiyo klabu inatarajia kitu kikubwa toka kwake. Dortmund ilinasa saini yake kutoka kwa Juventus katika usajili wa dirisha dogo la Januari msimu huu, baada ya kukosa nafasi ndani ya timu hiyo. Can amesema: “Kilichonileta hapa ni ubora wanataka kuangalia ubora wangu ndiyo maana nipo hapa kwa...
BAYERN MUNICH SASA KUANZA KUPIGA MATIZI
KLABU ya Bayern Munich ya Ujerumani wiki hii imetoa taarifa kuwa wachezaji wa klabu hiyo wataanza mazoezi yao rasmi kwa mafungu ili kujikinga na Virusi vya Corona. Awali Bundesliga ilitarajiwa kurejea Aprili 2, mwaka huu, lakini sasa imesogezwa mpaka Aprili 30 na hii ni kutokana na ugonjwa wa COVID19 unaosababishwa na Virusi vya Corona kusambaa kwa kasi . Bayern inaongoza katika...
GSM NA YANGA WAMEFIKIA HAPA KWA SASA, UONGOZI WAFUNGUKA
UONGOZI wa Yanga umesema kuwa Kampuni ya GSM itaendelea kufanya nao kazi kwa kufuata masharti yale yaliyopo kwenye mkataba.Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Dr.Mshindo Msolla amesema kuwa wamekubaliana na kuzungumza kwa kina kuhusu namna ya kuendelea kushirikiana katika kazi.Msolla amesema:"GSM ipo tayari kuendelea kufanya kazi nasi na wapo tayari kuendelea nasi katika shughuli zote kwa mambo ambayo yapo kwenye...
HIKI NDICHO KITAKACHOMRUDISHA OKWI NDANI YA SIMBA TENA
EMMANUEL Okwi nyota wa zamani wa Simba anayekipiga ndani ya Klabu ya Al Ittihad anatajwa kurudi Bongo baada ya mambo kuwa magumu nchini Misri.Nyota huyo raia wa Uganda ambaye anakipiga ndani ya timu ya Taifa lake ni kipenzi cha wana Simba kutokana na mchango wake ndani ya Simba.Nyota huyo alijiunga na timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Misri kwa dau...
ROMA YANOGEWA NA HUDUMA YA SMALLIG YAITAKA SAINI YAKE
CHRIS Smalling anayekipiga ndani ya Roma kwa mkopo akitokea katika Manchester United inasemekana Man U inampango wa kumrejesha msimu ujao.Mabosi wa Roma tayari nao wamenogewa na huduma ya nyota huyo wanahitaji kuipata pia saini yake. Msimu uliopita Smalling alishindwa kutamba ndani ya Man United katika mechi 24 za Premier League nambayo ilimaliza msimu ikiwa nafasi ya sita. Roma imekuwa na maombi...
DAU LA BEKI ANAYEWINDWA NA SIMBA NI PASUA KICHWA
INAELEZWA kuwa dau la nyota wa Coastal Union, Bakari Nondo ni zaidi ya milion 90 kutokana na uwezo wake alionao ndani ya Ligi Kuu Bara kwa sasa.Nondo amekuwa akihusishwa kutua ndani ya Simba ambao inaelezwa kuwa dau lao ni milioni 85 zilizowekwa mezani.Nyota huyo ambaye pia ni nahodha wa Coastal Union amekiongoza kikosi chake kwenye mechi 28 na kimefungwa...
METACHA AMPONGEZA KAGERE, ASEMA ALIMZIDI UJANJA LAKINI IKAWA BAHATI
JUZI Jumatatu nilielezea namna ambavyo nilishindwa kuendelea kucheza na kidole kilichovunjika na kulazimika kusema na matibabu yakaanza kupitia yule mama ambaye hakuwa akitumia tiba kama za hospitali.Kama unakumbuka nilieleza nilivyoamua pia kuondoka Prisons na kurudi tena Mbao FC kwa kuwa sikuona kama kungekuwa na maisha ya mbele yenye mwendelezo pake Mbeya. Ilikuwa shida na ilionekana kama hawataki kuniachia. Baada ya...
NAMNA METACHA MNATA ALIVYOTIBIWA KIDOLE CHAKE NA YULE MAMA MWENYE MIUJIZA
Nilielezea namna ambavyo nilicheza kwa wikimbili mfululizo huku kidole changu kikiwakimevunjika.Sikuwa nimejua kama kidole kimevunjika lakinimuda wote wa wiki mbili nilicheza nikiwa namaumivu makali kabisa. Niliendelea kuvumiliakwa kuwa nilikuwa nina hamu ya kucheza marazote na kipindi hicho ndio nilikuwa nimeanzakupata namba katika kikosi cha kwanza MbaoFC chini ya kocha Ndayiragije.Hisia zikawa kwamba kama nitakuwanimeumia, likija suala la kukaa nje,...
MCHONGO WA NDINGA MPYA UMEFIKIA PATAMU, NI RAHISI SANA NUNUA CHAMPIONI AMA SPOTIXTRA GAZETI
Wasomaji mbalimbali wa magazeti ya Championi na Spoti Xtra wa maeneo ya Kinyrezi, Tabata migombani na maeneo mengine wameendelea kujaza kuponi kwa ajili ya kushiriki droo ya Bahati nasibu ya Shinda gari.Shindano hilo limepewa jina la ‘Chomoka na Gari Mpya’ ambapo mshiriki anaponunua magazeti yanayochapishwa na Kampuni ya Global Publishers tayari anakutana na kuponi kwa ajili ya kujaza na kushiriki. Mwisho wa...