WACHEZAJI SIMBA MTEGONI, ATAKAYEKIUKA ADHABU JUU YAKE INAMUHUSU

0

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wachezaji wa Simba kabla ya kuvunja kambi walifanyiwa vipimo vya uzito hivyo atakayeongezeka kilo ghafla hatua itachukuliwa.Hatua hiyo imefikiwa kutokana na kambi za timu kuvunjwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo Serikali ilizuia mikusanyiko isiyo ya lazima.Matola amesema:"Tunatambua kwamba kwa mazingira ambayo tupo itakuwa ngumu kuwadhibiti wachezaji kwa upande wa...

NYOTA WATATU WA FIORENTINA SASA WAPO GADO BAADA YA KUPEWA MATIBABU YA CORONA

0

KLABU ya Fiorentina imetangaza kuwa mastaa wake watatu ambao walikutwa na Virusi vya Corona kwa sasa wamepona na wanaendelea vizuri. Mastaa hao ni pamoja na Patrick Cutrone, German Pezzella na Dusan Vlahovic awali walibaini kupata virusi vya Corona ndani ya kikosi cha timu hiyo. Fiorentina  ilisema: “ Tunachukua nafasi hii kuwashukuru  madaktari, manesi na hospitali zote ambazo walihusika kutibu wachezaji na...

MABOSI COASTAL UNION WAMRUHUSU NONDO KUTIMKIA SIMBA

0

UONGOZI wa Coastal Union umesema kuwa wapo tayari kumuuza beki wao chipukizi Bakari Nondo ambaye pia ni nahodha wa kikosi hicho chenye maskani yake Tanga kwa Simba iwapo watafikia makubaliano.Nondo amekuwa moto msimu huu ndani ya Coastal Union jambo ambalo limewafanya mabosi wa Simba kuiwinda saini yake ili avae jezi yenye rangi nyekundu. Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Coastal...

PSG YAITAKA HUDUMA YA ICARD MAZIMA

0

KLABU ya PSG ipo kwenye mpango wa kumalizana na nyota wao Mauro Icard anayekipiga kwa mkopo akitokea Klabu ya Inter Milan.Raia huyo wa Argentina amekuwa kwenye kiwango chake msimu huu ambapo amecheza mechi 20 na kutupia mabao 12.Inaelezwa kuwa Juventus nao pia wapo kwenye hesabu za kuipata saini ya nyota huyo ambaye pia mabosi wake AC Milan wameonyesha mpango...

SIMBA YAWAPIGA ‘STOP’ WACHEZAJI KUZUNGUMZA ISHU YA SIMBA

0

OFISA Habari wa Klabu ya Simba Haji Manara, amesema kuwa wachezaji wa Simba kwa sasa wakihojiwa na vyombo vya habari wanapaswa wazungumzie maisha yao binafsi na sio masuala ya Simba.Akizungumza leo alipotembelea Ofisi za Global Group zilizopo Sinza Mori Manara amesema huo ni utaratibu mpya ambao umewekwa baada ya kufanyika mabadiliko.Manara amesema wachezaji wa timu ya Simba kwa sasa...

KUNA KISHINDO YANGA,KESHO NDANI YA SPOTIXTRA ALHAMISI

0

Kesho ndani ya SPOTIXTRA Alhamisi

RONALDINHO NA KAKA YAKE WAPATA DHAMANA

0

HATIMAYE Ronaldinho nyota wa zamani wa Klabu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Brazil na kaka yake Assis wamepata dhamana na kutoka gerezani nchini Paraguay baada ya kukaa huko kwa siku 32.Ronaldinho na Kaka yake wamepata dhamana kwa dola milioni 1.6 (Tsh Bilioni 3.7) baada ya awali kukataliwa dhamana nyepesi kwa hofu wangeweza kutoroka.Pamoja na kupata dhamana hiyo...

MANCHESTER UNITED BANA ETI ISHU YA CORONA WAIGEUZA DILI

0

OLE Gunnar Solskajer, Kocha Mkuu wa Manchester United,amesema kuwa kuibuka kwa Virusi vya Corona kunaweza kuwa na faida kwao kuelekea kwenye dirisha la usajili.Kwa sasa dunia nzima ipo kwenye janga la kupambana na Virusi vya Corona ambapo klabu nyingi zinapambana kupunguza matumizi ili kuweza kujiepusha na anguko la kiuchumi.Solskjaer, amedai kuwa, baadhi ya klabu zitalazimika kuuza wachezaji kutokana na...

SIMBA YATOA TAMKO KUHUSU KUFUTWA KWA LIGI KUU BARA

0

OFISA Mtendaji Mkuu wa Simba (C.E.O), Senzo Mazingisa, amesema kuwa ni mapema sana kufanya mgawanyiko juu ya ligi ifutwe ama iendelee kwani bado wanasubiri maamuzi ya Serikali na Bodi ya Ligi.Ligi Kuu Bara imesimama kwa sasa kupisha agizo la Serikali la kusimamisha shughuli zote za michezo nchini ili kuepusha maambukizi ya Virusi vya Corona.Senzo amesema kuwa itakuwa mapema kwao...