NAHODHA WA LIPULI APATA SHAVU MALAYSIA,

0

PAUL Nonga, nahodha wa Lipuli amesema kuwa amepata dili la kujiunga na moja ya timu inayoshiriki Ligi Kuu nchini Malaysia mambo yakiwa sawa atasepa Bongo.Nonga anayekipiga Lipuli amekuwa kwenye ubora wake msimu huu ambapo ni miongoni mwa wazawa wanaocheka na nyavu akiwa na mabao 11 na pasi nne za mabao.Akizungumza na Saleh Jembe, Nonga amesema kuwa kutokana na uwezo...

GALLAS: NITASEPA BONGO WAKATI UKIFIKA

0

WILLIAM Lucian, ‘Gallas’ beki wa kulia wa Polisi Tanzania amesema kuwa anaamini kuwa anaweza kuondoka Bongo iwapo atapata nafasi ya kucheza nje ya nchi.Polisi Tanzania imecheza mechi 29 ina pointi 45 imefunga mabao 29 na safu ya ulinzi imeruhusu mabao 26,ipo nafasi ya sita kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimamishwa ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona.Akizungumza na Saleh...

UONGOZI SIMBA WAWAPIGA STOP WACHEZAJI KULA VYAKULA HIVI

0

UONGOZI wa Simba umesema kuwa kwa wakati huu wamewazuia wachezaji wa Simba kula vyakula vyenye mafuta na vinywaji vyenye sukari nyingi ili kulinda afya zao.Ligi Kuu Tanzania Bara imesimama kwa sasa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wakati inasimamishwa Simba ilikuwa nafasi ya kwanza ikiwa na pointi 71.Seleman Matola, Kocha Msaizidi wa Simba amesema:"Wachezaji hawapaswi kula Chips na...

MFUMANIA NYAVU BONGO ATAJA KINACHOMBEBA

0

MEDDIE Kagere mshambuliaji wa Simba amesema kuwa sababu kubwa inayomfnya afunge akiwa ndani ya uwanja ni umakini wa kutumia nafasi anazozipata pamoja na ushirikiano wa wachezaji wenzake.Wakati Ligi Kuu Bara inasimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona, Kagere alikuwa ametupia mabao 19 na pasi tano huku Simba ikiwa imefunga mabao 63.Kagere amesema,:-" Ni ngumu kufikia mafanikio bila kuwa na...

USAJILI WA MWAMNYETO SIMBA ITAPENDEZA ZAIDI

0

WAKATI Simba ikitajwa kumalizana na beki wa kati wa Coastal Union, Bakari Mwamnyeto, kiungo wa zamani wa Polisi Mara, Musa Keita amesema Wekundu hao wa Msimbazi watakuwa wamelamba dume kumsajili nyota huyo kwani wataboresha safu yao ya ulinzi ambayo kwa sasa haiko sawa.Akizungumza na Mwanaspoti, Keita alisema amekuwa akimfuatilia beki huyo katika mechi mbalimbali za Ligi Kuu alizocheza msimu...

KLABU TUNISIA YAMTUMIA MWALIKO MOLINGA ..YEYE AMEJIBU HAYA!!

0

HUKU ikielezwa kwamba Kocha Luc Eymael amewaambia viongozi hatamuongezea mkataba, David Ndama Molinga ‘Falcao’ yeye ana ishu yake ambayo akiwaambia viongozi itakuwa sapraizi kubwa kwao.Mchezaji huyo ambaye ametulia zake ghetto Jijini Dar es Salaam, ameliambia gazeti la Mwanaspoti kwamba mkataba wake na Yanga unamalizika mwezi Agosti ila atawapa kipaumbele kabla ya kusaini dili nyingine kwavile ameishi nao muda mrefu...

NGASSA AJICHIMBIA MWANZA KWA SASA

0

MRISHO Ngassa, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa amejichimbia Mwanza huku akichukua tahadhari ya kujilinda na Virusi vya Corona.Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa imesimamishwa kutokana na kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wakati ligi inasimamishwa Yanga ilikuwa nafasi ya tatu kwenye msimamo na pointi 51 kibindoni.Akizungumza na Saleh Jembe, Ngassa amesema kuwa yupo Mwanza akiendelea...

CHESEA, NAPOLI ZAITAKA SAIN YA CAVAN

0

EDINSON Cavani anamatumaini ya kucheza La Liga katika msimu ujao wa ligi, hii baada ya  dirisha lililopita la Januari kukwama. Atletico ilikuwa mbioni kukamilisha usajili wa staa huyo kipindi cha Januari, lakini inaoneka PSG kuweka ngumu japo alikuwa amesalia na miezi sita. Cavani  mkataba wake unamalizika  Juni 30, mwaka huu na sasa ataondoka  kama mchezaji huru ndani ya klabu yake hiyo...

KOCHA STARS: WACHEZAJI NI MUHIMU KUFANYA MAZOEZI KULINDA VIPAJI

0

KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars, Etienne Ndayiragije amesema kuwa wachezaji wanapaswa wasikae bila kufanya mazoezi wakati huu wakiwa hawachezi.Ligi nyingi zimesimama kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo wachezaji wamerejea nyumbani kuchukua tahadhari.Ndayiragije amesema:"Wakati huu kwa kila mchezaji ni muhimu kufanya mazoezi ambayo yatamfanya awe bora , iwapo atapuuzia ni rahisi kiwango chake kushuka."Aina...

KOCHA SIMBA: NGUMU KUWAFUATILIA WACHEZAJI KWA SASA

0

SELEMAN Matola, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa ni ngumu kuwafuatilia wachezaji kwa wakati huu kama wanafanya mazoezi au la.Kwa sasa Ligi Kuu Tanzania Bara imesimamishwa kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona. Matola amesema:" Kwa sasa ni ngumu kujua kwamba wachezaji wanafanya mazoezi ama la kutokana na mfumo wa maisha kuwa tofauti na kila mmoja kuwa na mtindo wake mwenyewe."Kinachotakiwa...