HERITIER MAKAMBO AINGIA ANGA ZA YANGA TENA
HERITIER Makambo, nyota wa zamani wa Yanga inaelezwa kuwa yupo kwenye hesabu za kurejea ndani ya kikosi hicho kuongeza nguvu kwenye safu ya ushambuliaji.Makambo msimu wa 2018/19 alikuwa akiwajaza mashabiki wa Yanga kila anapofunga jambo lililompa umaarufu na alicheza msimu mmoja na kutimkia zake Horoya FC.Akiwa Yanga Makambo alitupia mabao 17 ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ni mfungaji...
METACHA: KOCHA SIMBA ALIVYONIAMBIA NITOKE GONGO LA MBOTO SAA 10 USIKU
NAJUA nimekuwa gumzo kubwa kutokana na maendeleo ambayo nimekuwa nikianza kuyapata taratibu katika mchezo wa soka, ndio maana hata ukiwauliza wapenda mpira majina matatu au manne ya makipa wazuri, leo wanaweza kusema mmoja wao ni Metacha Mnata.Hadi kufikia hapa, nimepita sehemu nyingi sana ambazo inawezekana kuna ugumu kidogo watu kujua na inawezekana wakaona ilitokea tu nikawa Yanga kibahati, la...
WAKATI WA YANGA, SIMBA KUJIFUNZA KUPITIA JANGA LA CORONA
NA SALEH ALLYITAKUWA si vibaya kukumbusha mambo ambayo tunaamini yatakuwa na msaada katika maendeleo ya mpira wetu nchini.Bila ubishi, kuna mengi tumejadili na huenda hatukuyafanyia kazi lakini leo kuna kitu kinaweza kuwa kinaonekana na kinaonyesha kile tulichokijadili hatukukifanyia kazi bure na tungekifanyia, kingeuokoa mpira wetu.Mimi ni kati ya watu wanaounga mkono klabu hasa hizi kongwe kwenda katika mabadiliko kwa...
TUJIFUNZE NAMNA MADINI YA AJIBU YALIVYOMALIZIKIA BENCHI…
Na Saleh AllyHAKUNA anayelalamika kuhusiana na kiwango cha mshambuliaji Ibrahim Ajibu Migomba kupitia kipaji, badala yake ni neno moja na tunapaswa kujifunza kupitia kwake.Inawezekana watakaotakiwa kujifunza zaidi ni wale wanaochipukia, wale wanaomuamini na ikiwezekana wale wanaotamani kuwa kama yeye.Kwa wale ambao wanapenda kuendelea na kufikia matamanio yao kisoka, pia wanaweza kumtumia Ajibu kama somo kuu la kubadili maisha yao...
ATLETICO MADRID, MANCHESTER UNITED ZAINGIA ANGA ZA BARCELONA
KLABU ya Barcelona ipo kwenye mpango wa kumuuza kiungo wao Ivan Rakitic kwa dau la pauni milioni 17 msimu huu huku Atletio Madrid ikiwa mstari wa mbele kuinasa saini ya nyota huyo.Kiungo huyo mwenye miaka 32 anapigiwa pia hesabu na Manchester United iliyo chini ya Ole Gunnar Solksjaer ambaye anahitaji kuboresha kikosi chake.Mkataba wa Rakitic ambaye ni nahodha msaidizi...
CHOMOKA NA GARI YAZIDI KUNOGA
MAMBO ni yente kila kona ya nchi kwa lugha ya vijana wa kisasa kufuatia kushika kasi kwa promosheni namba moja kwa sasa Tanzania, nazungumzia bahati nasibu ya chomoka na gari mpya aina ya Toyota FunCargo inayoendeshwa na Magazeti Bora ya michezo, Championi na Spoti Xtra.Mbali na zawadi hizo, kila wiki washindi 10 wataondoka na simu janja mpya za mkononi...
KAGERE: WANANIITA MZEE ILA NINAWAFUNGA
MEDDIE Kagere, mshambuliaji wa Simba amesema kuwa wanaomuita mzee hawashangai kwani wanampa nguvu ya kupambana kufunga akiwa uwanjani.Kagere kabla ya Ligi Kuu Bara kusimamishwa Machi 17 kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona alikuwa na mabao 19 akiwa ni kinara kwa watupiaji na msimu uliopita alifunga mabao 23.Kagere amesema:”Wananiita mzee sawa lakini nikiwa uwanjani ninawafunga wapinzani mabao jambo ambalo linamaanisha...
RONALDINHO AMTAJA ANAYEMKUBALI KATI YA MESSI NA CR 7
RONALDINHO de Assis Moreira nyota wa zamani wa timu ya Brazil anaamini kuwa kati ya Cr 7 na Messi bora Messi.Nyota huyo alikuwa na mchango mkubwa kwa Lionel Messi kuingia kikosi cha kwanza ndani ya Barcelona.Messi alibeba majukumu ya Ronaldinho aliposepa ndani ya Klabu ya Barcelona ikiwa ni pamoja na jezi namba 10."Messi ningependa kucheza karibu yake sikupata muda mrefu...
SABABU YA MNATA KUTUA YANGA HII HAPA
METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya ajiunge ndani ya Yanga ni ushindani wa namba uliokuwa ndani ya kikosi cha Azam FC.Mnata alisajiliwa na Yanga ambapo alikuwa anakipiga Mbao FC kwa mkopo akitokea Azam FC ambao ndio walikuwa mabosi zake. "Nilijiunga na Yanga baada ya Azam FC kukubali kwa kuwa wao walikuwa wananimiliki na...
BEKI TANZANIA PRISONS: TUNAKOSA UHURU KWA SASA
NYOTA wa timu ya Tanzania Prisons, Salum Kimenya amesema kuwa kwa sasa wanapitia kipindi kigumu kutokana na kutopata uhuru wa kufanya mazoezi kama ilivyokuwa awali lakini wanapaswa wafanye hivyo kwa kuwa hakuna nnamna nyingine.Kwa sasa Ligi Kuu Bara imesimama kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimesababisha ligi nyingi duniani kusimama.Akizungumza na Saleh Jembe, Kimenya amesema kuwa wanaomba hali...