KIUNGO MPYA WA AZAM FC APEWA PROGRAMU YAKE ILI KUFANYA MAKUBWA

0

KLABU ya soka ya Azam imempatia programu maalumu ya mazoezi mchezaji wake aliyesajiliwa katika dirisha dogo la mwezi Januari, Khleffin Hamdoun ili kuzoea utamaduni wa Azam FC na kuongeza ujuzi wake baada ya kuonekana kukosa nafasi ndani ya kikosi hicho tangu asajiliwe.Hamdoun alikamilisha usajili wake kutokea Klabu ya Mlandege Januari 8, mwaka huu na kusaini mkataba wa miaka minne...

DITRAM NCHIMBI: NINACHUKUA TAHADHARI YA CORONA NA KULINDA KIPAJI

0

DITRAM Nchimbi, mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa kwa sasa anaendelea na programu aliyopewa na Kocha Mkuu Luc Eymael ili kulinda kipaji chake.Ligi Kuu Bara imesimama kwa muda ili kupisha maambukizi ya Virusi vya Corona ambavyo vimekuwa janga la dunia kwa sasa.Mshambuliaji huyo anayeaminika kutumia nguvu nyingi uwanjani kuwasumbua mabeki yupo zake mkoani Songea baada ya ligi kusimama.Nchimbi mwenye mabao...

HAWA HAPA WANAHUSIKA KWENYE MABAO YA MUUAJI WA SIMBA

0

BERNARD Morrison, kiungo mshambuliaji wa Yanga amesema kuwa mabao yake yanachangiwa kwa kiasi kikubwa na dua maalum ambazo zinafanywa na mke wake pamoja na binti yake.Morrison amesema mkewe anahusika kwenye mabao anayoyafunga kutokana na dua maalum ambazo anazozifanya.Machi 8 wakati akiifunga Simba, Morrison alikuwepo uwanjani na kushuhudia bao hilo likifungwa.“Mke wangu na binti yangu wamekuwa wakifnya dua ambazo zinapa...

MKHITARYAN HUENDA AKASEPA NDANI YA ARSENAL

0

HENRIKH Mkhitaryan nyota wa timu ya Arsenal anayekipiga ndani ya Klabu ya Roma kwa mkopo huenda akabaki jumla kikosini humo iwapo watamhitaji.Nyota huyo mwenye miaka 31 alizaliwa Januari 21,1989 inaonyesha kuwa Kocha Mkuu wa sasa wa Arsenal, Mikel Arteta hana mpango naye.Mkhitaryan mwenye urefu wa m 1.78 anacheza nafasi ya kiungo mshambuliaji ni nahodha wa timu ya Taifa ya...

MKALI WA PASI ZA MWISHO YANGA AFICHUA KILICHO NYUMA YA KUPETA KWAKE

0

JUMA Abdul, nahodha msaidizi wa Yanga amehusika kwenye mabao matano kati ya 31 yaliyofungwa na Yanga kwenye Ligi Kuu Bara.Abdul ametoa pasi tano ndani ya Yanga na anaongoza kwa kutoa pasi za mwisho.Beki huyo amesema kuwa sababu kubwa ya kurejea kwenye kiwango chake ni mazoezi na juhudi isiyo ya kawaida. "Kikubwa ni mazoezi na juhudi katika kile ambacho ninakifanya kwa...

HIVI NDIVYO NYOTA WA KAGERA SUGAR ANAVYOLINDA KIPAJI CHAKE NA KUCHUKUA TAHADHARI

0

YUSUPH Mhilu, nyota wa timu ya Kagera Sugar amesema kuwa kwa sasa anaendelea na mazoezi ya kulinda kipaji chake ili kuwa bora endapo Ligi Kuu Bara itarejea.Kwa sasa ligi imesimamishwa kutokana na maambukizi ya Virusi vya Corona ambapo tamko hilo lilitolewa Machi 17 kupitia kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa.Akizungumza na Saleh Jembe, Mhilu amesema kuwa anaendelea kufanya mazoezi na...

HAALAD: LAZIMA TUUNGANE KUPAMBANA NA CORONA, USIJIHISI UPO PEKE YAKO

0

NYOTA Erling Braut Haalad anayekipiga Dortmund kuhusu Virusi vya Corona ni lazima tuungane wote katika mapambano.Virusi vya Corona vimekuwa janga la dunia ambapo kwa sasa shughuli nyingi zimesimama kupisha maambukizi zaidi ya Virusi hivi."Hili janga ni letu sote iwapo utajihisi upo peke yako katika kupambana nalo usifikirie hivyo, ni lazima tuungane katika mapambano."Tunahitaji utulivu wa akili na fikra kwenye...

KUHUSU GADIEL MICHAEL NA ZIMBWE NDANI YA SIMBA SOMO LIPO HIVI

0

GADIEL Michael Mbaga alitua Simba kama sahihisho la Mohammed Hussein Zimbwe kwa maana ya kuwa akionekana ni bora kwa mambo kadhaa.Wakati anatua Simba, Zimbwe amekuwa bora zaidi, kwa sasa ni namba tatu kwa kiwango bora na anafanya vizuri.Maana yake, Gadiel analazimika kuanza kupigania namba upya licha ya kwamba alikuwa tegemeo Azam FC na Yanga.Mpira ndio uko hivi, unataka mapambano...

AINSELY CORY HANA UHAKIKA NDANI YA ARSENAL

0

AINSLEY Cory Maitland-Niles, raia wa Uingereza hana uhakika wa kubaki ndani ya kikosi cha Arsenal kwa sasa.Mikel Arteta, Kocha Mkuu wa Arsenal amekuwa hana mpango wa kumtumia nyota huyo kwenye mechi zake za hivi karibuni kabla Ligi Kuu England haijasimamishwa kutokana na kupisha janga la Virusi vya Corona.Kiungo huyo mwaka 2015-16 alikipiga ndani ya Ipswich Town kwa mkopo ana...