NEYMAR PASUA KICHWA NDANI YA PSG
NEYMAR Jr, amewaambia mabosi zake wa Paris Saint-Germain (PSG) kuwa hawezi kucheza ndani ya kikosi hicho kwa sasa.Ripoti zinaeleza kuwa huo ni mpango wa Neymar kutoa shinikizo Kwa PSG wampe ruhusa ya kutimkia Barcelona.Nyota huyo mwenye umri wa miaka 27 ambaye ni nyota pia ndani ya kikosi cha timu ya Taifa ya Brazil hesabu zake Kwa sasa ni kurejea...
MATOLA: MASHABIKI WAIPE SAPOTI STARS, NAFASI BADO IPO
KAIMU Kocha Msaidizi wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Suleman Matola amesema ni wajibu wa watanzania kuenedelea kuipa sapoti timu ya Taifa kuelekea mchezo wa Kenya kwani nafasi ya kupenya ipo.Kwenye mchezo wa kwanza wa kutafuta tiketi ya kushiriki michuano ya Chan inayotarajiwa kufanyika nchini Cameroon, 2020 uliopigwa uwanja wa Taifa, Stars ilikubali kupata sare ya bila...
SIMBA: TUTAWAFURAHISHA MASHABIKI KWENYE KILA MCHEZO
FRANCIS Kahata, kiungo mshambuliaji wa Simba amesema kuwa ubora wa kikosi cha Simba utawapa furaha mashabiki msimu ujao kwenye kila mchezo.Kahata amejiuga na Simba kwa kandarasi ya miaka miwili akitokea Gor Mahia kwa sasa anaungana na mchezaji mwenzake wa zamani Meddie Kagere."Tumefanya kambi nzuri nchini Afrika Kusini na maandalizi yalikuwa safi, kurejea kwetu na kuanza kujipanga kwa ajili ya...
LUKAKU NAYE YUPO NJIA PANDA, ATAKA KUTIMKIA ITALIA
ROMELU Lukaku, mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa kwa sasa anafikiria kutua timu moja wapo ambayo inashiriki Serie A kati ya Juventus ama Inter Milan.Kaka yake na Lukaku, Jordan amejiunga na Lazio mwaka 2016 jambo ambalo linatajwa kuwa sababu ya yeye kutaka kujiunga huko na amekuwa akijifunza lugha ya kiitaliano.Lukaku amesema: "Kaka yangu anacheza Italia, nimekuwa nikitazama michezo yake...
KOCHA TIMU YA TAIFA: HAKUNA NAMNA LAZIMA WAPIGWE TU LEO WAPINZANI WETU
KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 20 'Tanzanite' Bakari Shime 'Mchawi Mweusi' amesema leo hakuna namna lazima wawachape wapinzani wao Botswana.Tanzanite ipo nchini Afrika Kusini kwa ajili ya michuano ya COSAFA ambayo imeanza kutimua vumbi jana, leo wanakipiga mchezo wao wa kwanza na Botswana."Watanzania wanapaswa kuwa na imani na sisi, tumekuja kufanya kazi na...
MUONEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA IJUMAA IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti la Ijumaa Ijumaa
MUNEKANO WA UKURASA WA NYUMA GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa nyuma Gazeti a CHAMPIONI Ijumaa
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI IJUMAA
MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Ijumaa
KUMUONA KAHATA, AJIBU, WABRAZILI BUKU TANO TU
KIINGILIO cha kuwaona Simba ikimenyana na Power Dynamo Agosti 6 ambapo nyota wao wapya na wazamani kama Ibrahim Ajib, Kahata na wale wabrazil watatu kipo namna hii siku ya SportPesa Simba wiki uwanja wa Taifa:-
DUH!KUMBE KIPIGO CHA POLISI TANZANIA NI SALAMU KWA WAETHIPOA
JAFFARY Maganga, Ofisa Habari wa Azam FC amesema kuwa ushindi walioupata mbele ya Polisi Tanzania ni mwendelezo wa maandalizi ya mechi za kimataifa.Jana Azam FC iliwanyoosha Polisi Tanzania kwa kuwachapa bao 1-0 ambalo lilipachikwa na Paul Peter dakika ya 3 mchezo uliochezwa uwanja wa Chamazi."Huu ni muuendelezo wa maandaliz ya kikosi chetu kuelekea kwenye mechi ya kimataifa dhidi ya...