MO ATOA UJUMBE MZITO

0

MWENYEKITI wa Bodi ya Udhamini Simba, Mohammed Dewji 'Mo' leo ameandika ujumbe mzito kwenye ukurasa wake wa twitter ambao umekuwa gumzo kwenye mitandao ya kijamii.Mo ameandika kwamba : "Watu wenye nia mbaya. kazi yao ni kuvunja tu. Kaa nao mbali, narudia kaa nao mbali sana.

NINJA ALIPWA MSHAHARA WA BILIONI 2 MAREKANI, ATACHEZA NA ZLATAN LA GALAXY

0

IMEFAHAMIKA kuwa beki wa zamani wa Yanga, Abdallah Shaibu ‘Ninja’ ambaye kwa sasa anakwenda LA Galaxy ya Marekani kwa mkopo, atakuwa akilipwa mshahara wa euro 18,000 (Sh milioni 46.7) kwa wiki, ambazo ni sawa na shilingi za Kitanzania bilioni 2.2 kwa mwaka.Ninja ambaye amesaini mkataba wa miaka minne katika Klabu ya MFK Vyškov ya Jamhuri ya Czech, anapelekwa Marekani...

EXCLUSIVE: KAHATA RASMI ASAINI SIMBA, AKOMBA SH MIL. 80

0

RASMI kiungo mchezeshaji wa Timu ya Taifa ya Kenya, Harambee Stars na Klabu ya Gor Mahia, Francis Kahata ni mali ya Simba baada ya kufikia makubaliano ya kusaini mkataba kwa dau la shilingi milioni 80 akiwa nchini Misri.Kahata aliyepo nchini Misri kwenye michuano ya Afcon, anajiunga na Simba akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake kumalizika ndani ya Gor...

EXCLUSIVE: RASMI YANGA YAMUACHIA GADIEL SIMBA, WALIRUDISHA JEMBE

0

Uongozi wa Yanga umekubali yaishe na kumuachia beki wao wa pembeni, Gadiel Michael kutua Simba kwenye usajili wa msimu ujao baada ya kutofikia muafaka mzuri huku ikifanikisha mipango ya kumuongezea mkataba mpya beki wake, Haji Mwinyi.Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu zianze kuzagaa tetesi za Gadiel kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuichezea Simba baada ya mkataba wake na...

OKWI NA SIMBA WATUNISHIANA MISULI, TIMU ILIYO KARIBU KUMALIZANA NAYE YATAJWA

0

Mitandao na Magazeti ya kuaminika ya Afrika Kusini yamesema uwezekano wa Emmanuel Okwi kusaini Kaizer Chiefs ni asilimia 85, lakini Simba wamedai haendi kokote.Okwi mwenyewe ameiambia televisheni ya Afrika Kusini ya SABC kwamba anaweza kucheza Sauzi au nje ya hapo lakini ataamua baada ya Afcon kumalizika.Habari zinasema kwamba Kaizer ambayo tayari imemsainisha kiungo wa Simba, James Kotei imepania kumshusha...

KIUNGO SIMBA AMWAGIA SIFA USAJILI WA SHIKALO YANGA

0

Kiungo wa zamani wa Simba Mkenya, Jerry Santo ameonyesha hisia zake kwa Yanga juu ya usajili wa kipa, Farouk Shikalo.Kwa mujibu wa gazeti la Spoti Xtra, Santo alisema kuwa Yanga imepata bonge la kipa ambaye kamwe wapenzi na mashabiki wa timu hiyo hawatajutia mamilioni yao ya fedha waliyoyatoa kumsajili kipa huyo.Alisema mapungufu yote ambayo msimu uliopita yalijitokeza katika eneo...

MAJEMBE MAPYA YANGA KUTUA LEO DAR

0

Uongozi wa Yanga chini Mwenyekiti wake DK Mshindo Msolla unaanza kuwapokea nyota wake wapya wa kigeni leo tayari kwa maandalizi ya msimu ujao wa Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika.Yanga chini ya kocha Mkongoman, Mwinyi Zahera amefanya mabadiliko katika kikosi chake kwa upande wa nyota wa kimataifa kwa lengo la kuongeza ushindani.Wachezaji hao wataanza kupokelewa kesho na...

INSTAGRAM, FACEBOOK NA WHATSAPP ZAKUMBWA NA TATIZO DUNIA NZIMA

0

MITANDAO maarufu duniani ya Instagram na Facebook na WhatsApp imekumbwa na tatizo la kuwa chini dunia nzima ambapo baadhi ya watumiaji wameeleza kushindwa kupakia picha, hukuwa wengine wakisema hawawezi kuperuzi picha.Wamiliki wa mitandao hiyo bado hawajatoa taarifa rasmi juu kuhusu chanzo cha Matatizo hayo, huku watumiaji wengi duniani wakilalamika Kutokana na matatizo hayo.