BENO KAKOLANYA KATUZIDI NAMNA YA KUFIKIRI KUHUSU MANULA
NA SALEH ALLYNILIMSIKIA kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya akihojiwa na runinga ya Azam TV kuhusiana na namna alivyofanya vizuri na kuisaidia Simba...
VALVERDE ACHIMBISHWA MAZIMA NDANI YA BARCELONA, SETIEN KUBEBA MIKOBA YAKE
BARCELONA imefika hatua ya makubaliano ya kuachana na Ernesto Valverde aliyekuwa Kocha Mkuu wa tImu hiyo kutokana na kutoridhishwa na mwenendo wake ndani ya...
AZAM FC YAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI FASTA, MMOJA NI MFUMANIA NYAVU KIMATAIFA
NEVER Tigere,kiungo aliyekuwa akikipiga ndan ya FC Platinum ya Zimbabwe amesaini kadnarasi ya mwaka mmoja.Tigere ni pendekezo la benchi la ufundi la Azam FC,...
HAJI MANARA AAMUA KUWACHANA TENA YANGA JUU YA USAJILI WA KOTEI, AJA NA KAULI MPYA
Baada ya kuenea kwa tetesi ambazo awali zilikuwa zinasema kuwa Yanga wanamhitaji kiungo aliyewahi ichezea Simba, James Kotei, Ofisa Habari wa Simba, ameibuka na...
LINGINE LAIBUKA JUU YA YANGA NA JAMES KOTEI
Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa haujaamua kumsajili kiungo aliyekuwa akiichezea Simba, James Kotei sababu hana ubora wa kuichezea timu hiyo.Kwa mujibu wa...
ZAHERA AIBUKA UPYA, AINGILIA USAJILI YANGA, HILI NDILO TAMKO LAKE
Kocha wa zamani wa Yanga, Mwinyi Zahera, ameibuka na kuwapa hongera Yanga kufuatia usajili wa kiungo, Owen Bonyanga Ituku, kutoka TP Mazembe.Zahera ameeleza kuwa mchezaji...
KOCHA MPYA YANGA AANZA NA MADINI HAYA
Habari njema kwa mashabiki wa Yanga ni kwamba kocha wao mpya, Luc Eymael, raia wa Ubelgiji, tayari ameanza kumwaga madini ndani ya kikosi chake...
BREAKING; KICHAPO CHA BAO 1-0 KUTOKA KWA MTIBWA, MO ABWAGA MANYANGA
BAADA ya Simba kushindwa kuchukua taji la Mapinduzi leo Visiwani Zanzibar, Mwenyekiti wa Bodi ya klabu ya Simba, Mo ameamua kujiuzulu kwa kuandika namna...
HILI NDILO JESHI LA MTIBWA LILILOANZA DHIDI YA SIMBA
MTIBWA Sugar jeshi lake lililoanza dhidi ya Simba lipo hivi
LIVE FAINALI KOMBE LA MAPINDUZI: MTIBWA SUGAR 0-0 SIMBA
Dakika ya 27 Kakolanya anaanzisha mashambulizi kwa KadoDakika ya 25 Simba wanapata faulo nje kidogo ya 18 inapigwa na ChamaDakika ya 24 Simba wabapata...












