KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA MTIBWA SUGAR

0

Kikosi cha Simba dhidi ya Mtibwa Sugar, mechi ya Kombe la Mapinduzi Zanzibar.

U 17 MNASTAHILI PONGEZI KWA USHINDI WA KWANZA, TIMU ZA VISIWANI ZANZIBAR ZINAPASWA ZIJITATHIMINI ZINAPOKWAMA

0

MICHUANO ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka huu wa 2020 tamati yake itakuwa leo Jumatatu ambapo itacheza mechi ya fainali kwenye Uwanja wa Amaan...

REKODI ZA KIBABE ZA MAPINDUZI ZIPO NAMNA HII, HAPA NDIPO UTAMU ULIPO

0

LEO Jumatatu, Uwanja wa Amaan visiwani Zanzibar kutakuwa na kazi moja tu kwa mashabiki wa mpira kushangilia timu zao za Simba na Mtibwa Sugar,...

MBELGIJI WA YANGA NA MSAUZI WAPEWA MWAKA MMOJA NA MIEZI SITA

0

LUC Eymael Kocha Mkuuwa Yanga, raia wa Ubelgiji na Riedoh Berdien, Kocha Msaidizi na viungo wameingia mkataba wa mwaka mmoja na miezi sita kuitumikia...

KATWILA: WACHEZAJI MTIBWA SUGAR WANA DENI MBELE YA MASHABIKI

0

ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar amesema kuwa wachezaji wake wote wana deni kutokana na kusema kuwa mechi ya Yanga ilikuwa ngumu kuliko...

MBELGIJI WA YANGA AANZA KUIVUTIA KASI KAGERA SUGAR KWA MTINDO HUU

0

MBELGIJI wa Yanga, LUC Eymaela ameanza leo kuwapeleka kwa kasi wachezaji wake wa Yanga kwenye mazoezi yaliyofanyika Uwanja wa Polisi.Eymaela ameanza kukinoa kikosi hicho ambacho...

SIMBA: TUNALITAKA KOMBE LA MAPINDUZI

0

PASCAL Wawa, beki wa Simba amesema kuwa leo watapmabana mbele ya Mtibwa Sugar kulitwaa kombe la Mapinduzi.Simba ilitinga hatua ya fainali kwa ushindi wa...

VITA YA MAPINDUZI LEO NI SIMBA AMA MTIBWA KUJULIKANA

0

MICHUANO ya kombe la mapinduzi inafikia tamati leo huko visiwani Zanzibar ikikutanisha timu mbili kutokea Tanzania bara ambazo ni Simba ya jijini Dar, na...

YANGA: HATUIOGOPI SIMBA SISI

0

NAHODHA Msaidizi wa Yanga, Juma Abdul amesema kuwa kutolewa kwao kwenye hatua ya nusu fainali na Mtibwa Sugar ni matokeo ya uwanjani na wala...

MOND, HARMONIZE WAKOSA TUZO ZA MVP 2020, WASHINDI HAWA HAPA

0

USIKU wa kuamkia jana Jumapili Januari 12, 2020 zimefanyika  tuzo za Soundcity MVP katika  ukumbi wa Eko Convention Centre jijini Lagos nchini Nigeria.Tuzo hizo...