NDAYIRAGIJE ATAKA MASHINE KALI NNE, ASHIKILIA JINA LA MZAWA MMOJA
SELEMAN Ndikumana raia wa Burundi anaungana na nyota wengine wapya ndani ya Azam FC ambao ni pamoja na Idd Seleman ‘Nado’ Emmanuel Mvuyekure ambaye naye ni raia wa Burundi kujiaanda kutetea kombe la Kagae litakalofanyika nchini Rwanda mwezi Julai.Kwa sasa Azam FC wameanza kujiwinda kutetea kombe la Kagame ambalo linatarajiwa kuanza kutimua vumbi mwezi Julai.Kwa mujibu wa Kocha Mkuu,...
VIKOSI VINNE VILIVYO KUNDI LA TAIFA STARS, ANGALIA UTUAMBIE UNAAMINI KIPI NI KIKOSI BORA KWA NAMBA, YAANI 1, 2, 3, NA 4
Na Saleh Ally, CairoHivi ndio vikosi vitatu vya Senegal, Algeria na Kenya vilivyo katika kundi moja katika michuano ya Afcon na timu yetu ya Tanzania.Unaweza kuangalia na kuona kikosi kipi kina wachezaji bora zaidi na kwa nini?Katika maoni, kuwa huru kupanga kikosi cha kwanza hadi cha nne kwa maana ya kile ulichoona ni bora zaidi.Kikosi cha Senegal vs AlgeriaEdouard...
TAIFA STARS AFCON, TUNAKICHEKA TUSICHOKIJUA LICHA YA KUWA CHA KWETU
Na Saleh Ally, CairoNILIPITA karibu na vyumba vya wachezaji wa Taifa Stars na kuwaona wengi wao wakiwa wamejiinamia na baadhi yao wakibubujikwa na machozi.Hili lilinishangaza kidogo, nafikiri kwa kuwa sikuwa nimetegemea kwamba baada ya wao kupoteza mechi dhidi ya Kenya wangejisikia vibaya hadi kububujikwa na machozi.Wachezaji wanalia lakini kuna mashabiki wanafurahia timu yao kupoteza mitandaoni, jambo linaloonyesha cheko zetu...
TUNDAMAN KUACHIA NGOMA SOON! “SIWEZI KUWATUNGIA WIMBO YANGA” – VIDEO
Msanii wa Bongo Fleva, Tundaman ambaye alikua golikipa wa Timu ya Bongo Fleva ambayo ilishuka dimbani kuminyana na Global FC nje kidogo ya Jijini la Dar es Salaam, Kibaha na Bongo Fleva kuibuka na ushindi wa matuta kwa mabao 5-3 amefunguka siri ya ushindi huo.Tundaman amesema kwanza kudaka penalti ni kawaida yake na walipofikia kwenye hatua hiyo alijiweka kudaka...
TP MAZEMBE YAKUMBUSHIA DILI LA AJIBU
BAADA ya mawakala wa TP Mazembe kutua nchini Tanzania wiki hii kwa ajili ya kunasa baadhi ya saini za wachezaji mbalimbali, imebainika kuwa wameamua kumuungia mchezaji Ibrahim Ajibu Migomba ambaye walikuwa wakimtaka awali bila mafanikio.Awali, TP Mazembe ya DR Congo ilikuwa ikimuhitaji mchezaji huyo ambaye walikuwa wakifanya mazungumzo kupitia simu lakini mwisho dili hilo halikufanikiwa kwani aliendelea kuitumikia timu...
HATMA YA OKWI, JUUKO YATOLEWA SIMBA
WAKATI kukiwa na taarifa za nyota wengi wa Simba akiwemo Juuko Murshid na Emmanuel Okwi kutokuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwa msimu ujao, Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba, Crescentius Magori, amefungukia juu ya hatima ya nyota hao na wengineo.Juuko na Okwi ambao mikataba yao imemalizika, kuna uwezekano wasiwepo tena kikosini hapo kutokana na Kocha Patrick Aussems...
MWAMBUSI ARUDI MBEYA CITY, ASAINI MWAKA
KOCHA Juma Mwambusi amerejea nyumbani pale Mbeya City na kusaini mkataba wa mwaka mmoja kwa ajili ya kuinoa timu hiyo msimu ujao.Mwambusi ndiye aliyeipandisha daraja Mbeya City na msimu wa 2013/14 wakashiriki ligi kuu na kutoa upinzani wa hali ya juu na kumaliza ligi wakiwa nafasi ya tatu kisha akatimka kikosini humo msimu wa 2015/16 na kujiunga Yanga.Katika msimu...
KOTEI AMUIBUA JULIO SIMBA
Baada ya iliyopita Jumatano kusambaa taarifa zinazomuhusu kiungo wa Simba, James Kotei kutimkia katika Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini, aliyewahi kuwa kocha wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema Simba wamefanya makosa kumuachia mchezaji huyo.Kotei aliyejiunga na Simba Disemba 2016 ametwaa mataji mawili ya Ligi Kuu Bara na Kombe la FA mara moja huku akiisaidia Simba kutinga...
PIERRE AUBAMEYANG AIVURUGA ARSENAL
PIERRE Aubameyang mshambuliaji wa Arsenal amezua taharuki baada ya kusema kwamba yupo tayari kutua Manchester United msimu ujao.Aubameyang amekuwa akihusishwa kujiunga na United ili akazibe pengo la mshambuliaji Romelo Lukaku ambaye inadaiwa anataka kujiunga na Inter Milan.Arsenal inamtegemea kwa kiasi kikubwa nyota huyo ukizingatia kwamba ni mfungaji bora kwa msimu wa 2018/19 akiungana na Sadio Mane na Mohamed Salah...
NYOTA NANE YANGA MGUU NJE MGUU NDANI, PANGA LA ZAHERA LINAWAHUSU
IMEELEZWA kuwa Yanga kwa sasa hawataki utani kwani wamedhamiria kujenga kikosi imara kitakachorejesha furaha Jangwani hali iliyofanya wasajili nyota wakali.Miongoni mwa nyota ambao wamesajiliwa ndani ya Yanga ni pamoja na Juma Balinya, Aly Ally, Maybin Kalengo,Issa Sibomana na Patrick Bigirimana inawafanya waachan na nyota wengine ndani ya kikosi hicho.Usajili wa Yanga ambao umetikisa unampa kiburi Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera...