UFAFANUZI NAMNA KAGERA ILIVYOSHUKA DARAJA

0

Kwa mujibu wa takwimu kutoka Bodi ya Ligi kabla ya michezo GD ya Stand United ilikuwa -9 na GD ya Kagera Sugar ilikuwa -11 matokeo ya LeoFT' JKT Tanzania 2-0 Stand United FT' Mbao FC 1-1 Kagera SugarMaana yake Stand United imebaki na pointi zake 44 na GD ya -11 na Kagera Sugar imekuwa na Pointi 44 na GD ya...

ZIDANE ANA MAMBO MANNE YA KUWEKA SAWA REAL

0

BAADA ya kufanya vibaya msimu huu wa 2018/19, uongozi wa Real Madrid unakabiliwa na kibarua kigumu cha kuhakikisha mambo yanakuwa mazuri msimu ujao.Real Madrid imekamata nafasi ya tatu kwenye msimamo wa La Liga ikiwa na pointi 19 nyuma ya wapinzani wao wa jadi, Barcelona, ambao wamenyakua ubingwa kwa mara ya pili mfululizo.Kibaya zaidi ilitolewa kwenye hatua ya mtoano wa...

WAZAWA JIPIMENI KWENYE SURA YA JOHN BOCCO

0

Na Saleh AllyMABINGWA wa Ligi Kuu Bara kwa misimu miwili mfululizo sasa, Simba tayari wanakwenda kwenye usajili ambao utawalazimisha kuangalia kilicho sahihi zaidi.Wakati Simba wakiangalia kilicho sahihi lazima watakuwa wanapanda kutoka hatua moja kwenda nyingine kwa maana ya ubora zaidi katika msimu ujao.Kwa nini Simba wanahitaji kawa bora zaidi? Jibu ni kwa kuwa wameona makosa yao mengi sana wakati...

KIMENUKA TENA! MAPACHA WA P-SQUARE KUBURUZANA MAHAKAMANI

0

Wasanii maarufu nchini Nigeria, ambao ni mapacha Peter na Paul Okoye (P-Square) huenda wakaburuzana mahakamani kwa kile kinachodaiwa kuwa Paul ametumia picha ya mwenzake kwenye tangazo la tamasha lake nchini Angola.Peter ambaye ni mlalamikaji, amesema kuwa anatarajia kwenda mahakamani kumshtaki ndugu yake, Paul kwa kutumia picha zake kwa ajili ya kutangaza tamasha hilo la muziki.“Kwahiyo wameamua kutumia picha yangu...

SIMBA FULL SHANGWE LEO WABEBA KOMBE LAO LA 20 TPL

0

MABINGWA watetezi Simba leo wamekabidhiwa kombe la Ligi Kuu Bara na mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola baada ya kumaliza mchezo wao wa mwisho uliochezwa uwanja wa Jamhuri, Morogoro.Kwenye mchezo wa leo, Mtibwa Sugar wamelazimisha suluhu ya kutofungana wakiwa nyumbani wakiwa na kumbukumbu ya kupoteza kwa kufungwa mabao 3-0 mchezo wa kwanza uliochezwa uwanja wa Uhuru.Huu...

Stand United yashuka rasmi daraja!

0

Timu ambayo ilikuwa inasubiriwa kushuka daraja kuungana na African Lyon imepatikana rasmi. Stand United ya Shinyanga rasmi wameshuka daraja baada ya kufungwa na JKT Tanzania kwa goli 2-0 na JKT Tanzania.Timu mbili ambazo zitacheza playoff (Michezo ya mitoano ) ni Kagera Sugar aliyeshika nafasi ya 18 na Mwadui FC aliyeshika nafasi ya 17.Mwadui na Kagera watacheza na...

RUVU YAKOMAA KUBAKI TP, MATOKEO NA TIMU ZILIZOSHUKA DARAJA HAYA HAPA

0

LEO Ligi Kuu Bara Tanzania ilikuwa inafika tamati ambapo mbivu na mbichi zimejulikana kuanzia bongwa na zile zitakazoshuka daraja.Bingwa ni Simba ambaye amemaliza ligi akiwa na jumla ya pointi 93.African Lyon na Stand United zimeshuka daraja moja kwa moja.Kagera Sugar ipo nafasi ya 18 ikiwa na pointi 44 ikiwa na tofauti ya mabao ya kufungwa ambapo Stand United wamefungwa...

NABY KEITA WA LIVERPOOL KUIKOSA FAINALI YA LIGI YA MABINGWA ULAYA DHIDI YA SPURS

0

Naby Keita wa Liverpool ataukosa mchezo wa fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Tottenham kutokana na majeruhi.Keita alipata majeruhi hayo kwenye mchezo wa  nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Barcelona.Kiungo huyo huyo amesafiri na timu kwenye kambi ya Marbella na wachezaji wenzake kwenye maandalizi ya awali ya mchezo wa fainali.Meneja wa Liverpool, Jurgen Klopp amethibitiha kwamba...