MAGORI AACHIA NGAZI RASMI SIMBA, CEO MPYA KUTOKA AFRIKA KUSINI ATANGAZWA

1

Ifisa Mtendaji mpya Simba, Senzo Mazingisa, ametambulishwa leo jijini Dar es Salaam na Crescentius Magori anayemaliza muda wake.Baada ya utambulisho huo, Magori amesema Mazingisa...

SAMATTA AITAKA BARCELONA

0
Habari za Michezo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta amefichua kuwa alitamani kuona timu yake inapangwa na klabu ya Barcelona au Real Madrid katika michuano ya...

NGUVU YA SALEH JEMBE YAONEKANA, USHINDI WA MABAO 2-1 WAACHA HISTORIA

0

PAMBANO la kukata na shoka kati ya timu ya Waliooa FC dhidi ya Wasiooa FC zote za Makampuni ya Global Group,  jana Ijumaa, lilimaliza...

YANGA KUMENOGA, MAMIMLIONI KAMA YOTE SASA MEZANI

0

Klabu ya Yanga imeendelea na harambee ya ukusanyaji fedha kwa ajili ya kuendesha shughuli mbalimbali klabuni hapo.Harambee hiyo imepewa jina la Kubwa Kuliko,Jana ilifanyika...

NYOTA STARS : ITAKUWA BAHATI KWA BURUNDI KUPONA TAIFA

0

SIMON Msuva, mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania amesema kuwa itakuwa ngumu kwa Burundi kupenya Uwanja wa Taifa.Mchezo wa kwanza wa kufuzu Fainali za Kombe...

YANGA WAVUNJA UKIMYA, WATOA TAMKO LINGINE KUHUSIANA NA DANTE

0

UONGOZI wa Yanga umemtaka beki wa kati, Andrew Vicent ‘Dante’ kuripoti kambini kuendelea na mazoezi ya maandalizi ya mchezo wao dhidi ya Zesco ya...

MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAMOSI

0

MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMAMOSI

OLPER AKILI KUDANGA

0

WAKATI mastaa mbalimbali wa kike wakidaiwa kudanga kwa wanaume tofauti, mwigizaji Jacqueline Wolper amefunguka kuwa hata yeye amewahi kufanya hivyo, lakini kwa staili ya...

YANGA YAPANGUA FITNA

0

Yanga wameamua. Wameanzisha kampeni maalum ya kuujaza Uwanja wa Taifa na kuwadhibiti wenzao wa Simba ambao wamepanga kuisapoti Zesco United ya Zambia katika mechi...