MAURIZIO SARRI ATIMKA CHELSEA AIBUKIA JUVENTUS

0

MAURIZIO Sarri aliyekuwa meneja wa Chelsea sasa ni mali ya Juventus ambapo amesaini kandarasi ya miaka mitatu.Timu yake ya zamani Chelsea imethibitisha kocha wake Sarri kusepa katika timu hiyo na kutua Juventus.Juventus, wamemtangaza Sarri kuwa meneja wao mpya, akichukua mikoba ya Max Allegri, aliyeachana na timu hiyo mwishoni mwa msimu uliopita.Sarri amedumu kwenye kikosi cha Chelsea kwa miezi 11...

TAIFA STARS KAZINI LEO MISRI. KUWAVAA ZIMBABWE

0

Leo timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' itaingia uwanjani katika mchezo wa pili wa majaribio dhidi ya Zimbabwe, mchezo utakaopigwa katika uwanja wa El Sekka El Hadid jijini Cairo majira ya saa 2:00 usiku.Stars imeweka kambi nchini Misri kwa ajili ya maandalizi ya michuano ya Afcon ambayo inatarajiwa kuanza Juni 21 huu unakuwa mchezo wa pili na mchezo...

YANGA WAMCHUNIA BOBAN, MENEJA WAKE AFUNGUKA

0

WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa kimya kwa baadhi ya nyota wake imebainika kuwa hata kiungo mkongwe wa timu hiyo, Haruna Moshi ‘Bobani’ bado hajapigiwa simu na bado anawasikilizia kujua hatma yake.Boban alijiunga na Yanga kipindi cha dirisha dogo kwa mkataba wa miezi sita na sasa hivi ligi imemalizika bado hajafahamu hatma yake kwa msimu ujao.Akizungumza na Spoti Xtra, Meneja...

Amunike kujaribu wengine leo

0

Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” leo inashuka dimbani kucheza mchezo wa pili wa Kirafiki dhidi ya Zimbabwe.Mchezo huo utakaochezwa saa 2 Usiku kwenye Uwanja wa El Sekka El Hadid,Cairo ni sehemu ya maandalizi ya Taifa Stars kuelekea kwenye mashindano ya AFCON yatakayoanza Juni 21,2019.Kocha Mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike amesema atautumia mchezo huo kuwatazama...

WATATU WAPIGWA ‘PINI’ KMC

0

UONGOZI wa timu ya Manispaa ya Kinondoni, KMC umeamua kuendelea kuwapiga pini nyota wao wanaowahitaji ambapo leo tena wamemuongezea kandarasi mchezaji wao Cliff Buyoya.Ofisa Habari wa KMC, Anwar Binde amesema kuwa mpango mkubwa uliopo kwa sasa ni kukisuka kikosi kipya cha ushindani."Mchezaji wetu Cliff Buyoya ataendelea kuitumikia KMC, tumemuongezea kandarasi ya miaka mitatu hivyo atadumu mpaka mwaka 2022," amesema.Wachezaji...

POGBA ATAKA KUSEPA MANCHESTER UNITED MAZIMA

0

PAUL Pogba, kiungo mshambuliaji wa Manchester United amesema kuwa itakuwa habari njema kwake kuondoka ndani ya kikosi hicho ili kupata changamoto mpya mbali na Premier League.Mfarasa huyo anahusishwa kujiunga na Real Madrid ili kufanya kazi na meneja Zinedine Zidane ama kurejea kwenye kikosi chake cha zamani cha Juventus.Pogba akiwa ndani ya United amekuwa akilaumiwa na mashabiki kwa kucheza chini ya...

BEKI SIMBA AMWAGIWA MSHAHARA MILIONI 4 KWA DAU LA USAJILI MILIONI 80

0

MODewji hataki kuona mchezaji ambaye bado anahitajika na Kocha Patrick Aussems pale Simba anaondoka ndiyo maana amevunja benki na kumpa nahodha msaidizi, Mohammed Hussein ‘Tshabalala’ Sh mil 80 na mshahara wa kufuru.Tshabalala alijiunga na Simba msimu wa 2014/15 akitokea Kagera Sugar. Mara ya mwisho wakati akiongeza mkataba Simba, Tshabalala alipewa dau la Sh mil 60. Chanzo cha kuaminika kutoka...

MBALI NA BOCCO, POLOKWANE WAMTAKA MWINGINE SIMBA

0

KLABU ya Polokwane ya Afrika Kusini imekubali yaishe kwa mshambuliaji wa Simba, John Bocco na kumuomba kwa mkopo Adam Salamba aende kukipiga nchini huko.Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu utata uibuke mara baada ya picha Bocco kusambaa zikimuonyesha akisaini mkataba mwingine wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo na Polokwane kuibuka na kudai ni mshambuliaji ni mali yao baada...