SERIKALI YAONGEZA MAKALI USIMAMIAJI WA TPL KWA WACHEZAJI WA KIGENI

0

KUELEKEA kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2019/20 Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa, na Michezo, Dr.Harrison Mwakyembe amesema kuwa wachezaji wa kigeni watakaopata nafasi ya kucheza hawatazidi watano.Sheria hii haitaangalia ukubwa wa timu iwe Yanga ama Simba, Lipuli, Azam FC na nyingine zote lazima zifuate.Mwakyembe ameyasema hayo leo kwenye hotuba yake ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo kulikuwa na...

CHAMA CHA MPIRA WA KIKAPU TANZANIA CHAOMBA KUPIGWA TAFU NA WATANZANIA

0

TIMU ya taifa ya mpira wa kikapu ya wanaume na wanawake imewaomba watanzania kuwachangia fedha ili iweze kumudu gharama za kwenda Uganda kushiriki mashindano ya Kanda ya Tano (FIBA Zone V) yaliyopangwa kufanyika Juni 25 mwaka huu.Timu hiyo inatarajiwa kuondoka tarehe 23 na wachezaji 24, makocha wawili kila timu,  madaktari na viongozi wa TBF ambapo idadi yao inafikia 33...

BAADA YA KUMTANGAZA MAKAME, YANGA YATUMA UJUMBE WA TAHADHARI SIMBA

0

Kutoka Young AfricansSalamu za pole zifike kwa timu yoyote itakayokaa mbele yetu: tutashambulia 'kiroho mbaya', ukiweka ugoko tunaweka chuma, tukitoa bunduki tunaingiza bomu.Abdulaziz Makame, karibu Yanga, hongera kwa kujiunga na Mabingwa wa kihistoria.

KUBWA KULIKO: WIKI YA MWANANCHI KUITIKISA TANZANIA

0

Mwenyekiti wa Kamati ya Hamasa na Uchangishaji ya Yanga Anthony Mavunde amesema wamependekeza kwa uongozi kuanzisha wiki maalum itakayoitwa ‘Wiki ya Mwananchi’, itakakayokuwa maalum kwaajili ya wapenzi na wanachama wa Yanga kuitumikia jamii.Amesema wiki hiyo itakuwa ikifanyika mwezi Agosti kila mwaka na siku ya kilele chake kutafanyika tukio kubwa litakalofanyika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam likiambatana na utambulisho...

ALIYETAJWA KUTUA SIMBA AMALIZANA NA YANGA KWA MIAKA MIWILI

0

Uongozi wa klabu ya Yanga umetangaza kuingia mkataba wa miaka na straika aliyekuwa anaicheza Polisi ya Uganda, Juma Balinya,Balinya amekuwa mfungaji bora wa Ligi Kuu Uganda kwa msimu uliomalizika hivi karibuni.Ikumbukwe awali Balinya alitajwa kuhitajika Simba lakini kilichotokea imekuwa tofauti na badala yake ameibukia Yanga.Tayari mchezaji huyo ameshatambulishwa ndani ya tamasha la kubwa kuliko ambalo linafanyika hivi sasa jijini...

KMC KUMENOGA, WAWILI WAPIGWA PINI NDEFU

0

UONGOZI wa KMC umeendelea kuongeza makali ndani ya kikosi chao baada ya kuwapiga pini jumla nyota wao wawili ndani ya kikosi hicho.KMC walianza jana kwa kumuongezea kandarasi ya miaka mitatu, Hassan Kabunda hivyo mkataba wake utamalizika mwaka 2022.Leo pia mshambuliaji Charles Ilanfia ambaye mkataba wake wa awali kubakisha miezi sita tu ameongezewa kandarasi ya miaka mitatu mpaka mwaka 2022. 

Hivi Sasa ni saa Saba Kamili!

0

Nani kutangazwa leo kwaajili ya kujiunga na Klabu ya Simba SC? Fuatilia hapa pia mara tu atakapotangazwa, tutamuongeza katika kikosi cha Simba kwaajili ya msimu ujao.Kipa#MchezajiNafasi1Aishi ManulaKipa2Beno KakolanyaKipaWoteMlinzi#MchezajiNafasi1Erasto E. NyoniMlinziWoteStraika#MchezajiNafasi1John R. BoccoStraikaWoteKumbuka baada ya Bodi ya Ligi kutoa majina ya mwisho tutarekebisha piaThe post Hivi Sasa ni saa Saba Kamili! appeared first on Kandanda.

KABLA HAJATUA SIMBA, BWALYA ALIAMSHA DUDE

0

MSHAMBULIAJI Mzambia, Walter Bwalya ambaye anatarajiwa kutua Simba siku chache zijazo amechambuliwa kuwa ni mmoja wa washambuliaji wazuri na mwenye uwezo mkubwa wa kufunga mabao uwanjani.Bwalya ambaye amekuwa akitajwa mara kadhaa, aliwahi kuhusishwa kutua Simba tangu msimu uliopita wakati Simba ilipokutana na Nkana Rangers katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini usajili huo ulikwama.Beki wa Nkana Rangers, Hassan...

SHAHIDI AOMBA MAJI MAHAKAMANI KESI YA AVEVA

0

SHAHIDI namba tano, Jovin Kalinga ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar kuwa, alikuwa anafahamiana na kiongozi wa zamani wa Simba, Zacharia Hans Pope na ndiye aliyemueleza kuwa Simba kuna kazi.Wakati shahidi huyo akiendelea kutoa ushahidi mbele ya mahakama jana, katikati aliomba apewe maji ambapo Hakimu Mkazi Mkuu wa mahakama hiyo, Thomas Simba, alimpa nafasi ya dakika moja...