YANGA YAFANYA USAJILI MWINGINE WA KUTISHA
Kiungo Mapinduzi Balama amesaini mkataba wa miaka mitatu kujiunga na klabu ya Yanga.Kiungo huyo amefikia makuabliano na Yanga akitokea Alliance FC ya Mwanza.Usajili huo unaendelea ikiwa ni moja ya maboresho yanayofanywa na uongozi wa klabu ili kujiandaa kuelekea msimu ujao.Ikumbukwe kwa Mujibu wa Makamu Mwenyekiti wa klabu hiyo, Fredrick Mwakalebela, alisema kuwa wanafanyia kazi ripoti ya Kocha Mkuu Mwinyi...
SAMATTA: TUKO FITI, SENEGAL ANAKUFA
HAINA kuremba kesho aisee, kwani Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta wamejipanga kuhakikisha wanashinda mechi yao ya kwanza mbele ya Senegal.Stars kesho itacheza kwa mara ya kwanza michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) baada ya kupita takribani miaka 39 ambapo itapambana na Senegal kwenye Uwanja wa 30 June huko nchini Misri.Samatta amezungumza na...
VEE MONEY: SIWEZI KUMZUIA MTU JUU YA JUX
AKIWA bado anaandamwa katika mitandao ya kijamii baada ya kudaiwa kuvunjika kwa uhusiano wake na msanii mwenzake, Juma Khalid ‘Jux’, staa wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema kuwa hawezi kumzuia mtu kusema chochote juu yao.Akizungumza na Showbiz, Vee Money alisema kwamba hawezi kuwazuia watu kusema kile ambacho wanajisikia katika mitandao ya kijamii kwa kuwa ni kawaida kwa...
HOTEL YA KITALII YA SNOWCREST ARUSHA YADAIWA KUFILISIWA
HATIMAYE hoteli ya kitalii ya Snowcrest,iliyopo eneo la Ngulelo jijini Arusha, imefilisiwa rasmi baada ya kushindwa kujiendesha kutokana na madeni mbalimbali makubwa inayodaiwa na taasisi za kifedha na watu binafsi yanayofikia kiasi cha sh. bilioni 14.Hotel hiyo ambayo iliwahi kuzinduliwa kwa mbwembwe na rais wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete, inamilikiwa na mfanyabiashara William Mollel ambaye aliinunua kutoka kwa...
HAKIKA MAJOGOO WAMEAMUA, JURGEN KLOPP KUSHUSHA MASHINE NYINGINE KALI LIVERPOOL
Kocha wa liver, Jurgen Klopp amechimba mkwara kuwa timu yake itashusha mastaa wengine wa hatari ili kuimarisha timu hiyo kwa ajili ya msimu ujao. Liverpool katika siku za karibuni imekuwa miongoni mwa timu zinazomwaga fedha nyingi katika usajili.Klopp alisema kuwa timu hiyo baada ya kutwaa taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya inataka kujiimarisha zaidi. Kocha huyo amesema ni lazima...
BONDIA ALIYEIABISHISHA TANZANIA KUCHUKULIWA HATUA – MWAKYEMBE
Watanzania wanajadili ni kipi cha kufanya juu ya mmoja wa wachezaji ndondi wake mashuhuri baada ya kukatiza mpambano nchini Australia katika raundi ya pili bila kukuonyesha juhudi zozote.Ilikuwa ni raundiya tatu kuwahi kuchezwa na Selemani Bangaiza katika ndondi za uzani wa super flyweight nje ya Tanzania na aliwekwa baadae kama mchezaji ambaye angekaba nafasi hiyo kukabiliana na Andrew Moloney...
BAADA YA KUMCHANA HAJI MANARA, AFANDE SELE ATUMA TENA UJUMBE SIMBA – VIDEO
Msanii Mkongwe wa Bongo Fleva Afande Sele amesema timu za Simba na Yanga zinatakiwa kujitathimini kutokana na uwanja wa timu ya Gwambina ya wilayani Misungwi Mwanza.
SABABU ZA CHIRWA KUJIREJESHA AZAM ZAAINISHWA HADHARANI
OBREY Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji nane ambao hawatokuwa nao msimu ujao, kuona hivyo jamaa akajiwahi na jana kasaini mkataba wa mwaka mmoja.Azam ipo kwenye maandalizi makali ya Kombe la Kagame litakaloanza Julai mwaka huu, pia itashiriki Kombe la Shirikisho Afrika...
MAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, JUNI 22, 2019 HAYA HAPA
Hapa tumekuanikia kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo JUNI 22, 2019. Ni yale ya Hardnews, Udaku na Michezo.Yasome zaidi kwa kubofya haya maandishi ya rangi nyekundu hapa chiniMAGAZETI YA TANZANIA LEO JUMAMOSI, JUNI 22, 2019