SIMBA KUENDELEA KUTESTI MITAMBO AFRIKA KUSINI

0

Baada ya Simba jana kushinda mchezo wake wa kwanza wa kirafiki kwa ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Orbert TVET leo wanacheza mchezo wa pili.Mchezo wa leo utakuwa dhidi ya timu ya Platinum Stars huu ni mwendelezo wa Simba kujiaandaa na msimu ujao wakiwa kambini nchini Afrika Kusini.

RUVU SHOOTING YAINGIA KAMBINI KUJIWINDA NA LIGI KUU BARA

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa tayari timu imeingia kambni kwa ajili ya kujiaanda na maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23.Makamu Mwenyekiti wa Ruvu Shooting, Ezekiel Mtani amesema kuwa tayari wamewahi kuingia kambini kujenga muunganiko imara."Ligi inakaribia kuanza, tayari tumeanza maandalizi kwa ajili ya kufanya vema msimu ujao tukiwa chini ya Kocha Mkuu, Salum Mayanga," amesema.

MBAO YATAJA SABABU YA KUFANYA KLINIKI KUSAKA WACHEZAJI

0

UONGOZI wa Mbao umesema kuwa sababu kubwa ya kufanya kliniki ya kusaka wachezaji ni kutoa fursa kwa wachezaji wanaoipenda Mbao kuitumikia.Mbao FC iliyo chini ya Kocha Mkuu, Hemed Morroco inaendelea na zoezi la kliniki kwa wachezaji ambalo linafanyika uwanja wa CCM Kirumba.Katibu wa Mbao FC, Daniel Naila amesema kuwa wanaamini kupitia kliniki hiyo watapata wachezaji wenye vipaji."Tunajua kwamba ,Tanzania...

YANGA WATAJA SIKU YA KUREJEA ZAHERA BONGO

0

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa, Kocha Mkuu Mwinyi Zahera anatarajiwa kujiunga na timu muda wowote kambini Morogoro, kuanzia sasa.Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa kwa sasa wanaendelea na mazoezi Morogoro kwa kutumia programu za mwalimu Zahera."Kikosi kinafanya mazoezi kwa kutumia programu ya Kocha Mkuu Zahera ambaye anatarajiwa kurejea muda wowote kuanzia sasa," amesema.Zahera yupo nchini Ufarasa ambapo alikwenda...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO

0

MUONEKANO wa Ukurasa wa mbel Gazeti la CHAMPIONI Jumatano

LIVERPOOL: TUNAJIPANGA KWA AJILI YA MSIMU UJAO

0

JURGEN Klopp, Meneja wa Liverpool amesema kuwa msimu ujao utakuwa mgumu kwa timu zote kutokana kila mmoja kujipanga.Klopp amesema kuwa msimu uliopita alikwama kubeba ubingwa kutokana na makosa ambayo tuliyafannya mwanzo."Hatukufanya vibaya licha ya kuukosa ubingwa ambao umekwenda kwa Manchester City, wachezaji walipambana ila mwisho wa siku lazima mshindi apatikane."Kwa sasa ninaangalia namna kikosi changu kitakavyokuwa bora na kuleta...

KMC YACHEKELEA KUTUPWA RWANDA KIMATAIFA

0

UONGOZI wa KMC umesema kuwa ushiriki wao wa michuano ya Kagame umewajenga hivyo wamepata uzoefu wa kutosha kwenye michuano ya kimataifa.KMC ilialikwa kwenye michuano ya Kagame iliyofanyika nchini Rwanda na kwenye micuano ya kimataifa mchezo wao wa kwanza watacheza na AS Kigali ya Rwanda.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema lazima wawatoe kimasmaso watanzania kwa kufanya maajabu."Uzoefu tulioupata kwenye...

MANCHESTER CITY: HATUJAPATA OFA YA BAYERN MUNICH KUMTAKA SANE

0

PEP Guardiola, Meneja wa Manchester City amesema kuwa hajapata ofa yoyote kutoka kwa Bayern Munich ikimhitaji mchezaji wao Leroy Sane.Munich imeelezwa kuwa inahitaji saini ya winga huyo kwa ajili ya msimu ujao."Bado sijapata taarifa yoyote kutoka kwa Bayern Munich wakihitaji saini ya Sane kama itatokea ni jambo la kuzungumza."kwa sasa ninachoangalia ni maendeleo ya kikosi changu kwa ajili ya...

YANGA: TUPO VIZURI KWA MSIMU UJAO

0

HAFIDH Saleh mratibu wa Yanga amesema kuwa maandalizi yanaendelea vizuri mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao.Yanga imeweka kambi mkoani Morogoro kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao unaotarajiwa kuanza Agosti 23 pia wanashiriki michuano ya kimataifa."Tumejipanga na kufanya maandalizi makini kwa ajili ya msimu ujao, tuna amini kuwa msimu utakuwa mgumu ndio maana tunajipanga," amesema.

UNAAMBIWA KAMBI YA MORO NI NOMA, SIMBA AFRIKA KUSINI KUMENOGA, KESHO JUMATANO

0

KESHO Championi Jumatano lina habari zote kuhusu kambi ya Yanga Moro na ile ya Simba Afrika Kusini, makala na uchambuzi wa kutosha usikose.