DIDA AINGIA ANGA ZA MTIBWA SUGAR, AITAJA AFRIKA KUSINI
DEOGRATIUS Munish 'Dida' inaelezwa kuwa anawindwa na timu yake ya zamani ya Mtibwa Sugar ili kuziba pengo la Benedict Tinnoco ambaye amejiunga na Kagera Sugar.Dida kwa sasa ni mchezaji huru ambaye mkataba wake na Simba umekamilika na hajaongezewa mwingine.Dida amesema kuwa bado yupo kwenye mazungumzo na timu nyingi ambazo zinahitaji huduma yake wakati ukifika atazitaja."Kuna timu nyingi ambazo nipo...
ISHU YA KUGOMBANIA NAMBA NA CHAMA, KAHATA KWA AJIBU IPO HIVI
KIUNGO mshambuliaji wa Simba, Ibrahim Ajibu amesema kuwa hana hofu na kukosa namba kwani ushindani upo sehemu zote.Ajibu amejiunga na Simba msimu huu akitokea Yanga kwa mkataba wa miaka miwili atapambana na viungo wengine ndani ya kikosi hicho wakiwemo Francis Kahata na Clatous Chama.“Suala la ushindani wa namba mimi halinisumbui kwani hiyo ni kazi ya kocha kupanga kikosi, ninachojua...
AZAM FC: TUNALITAKA KOMBE LETU, MANYEMA SIRI ZAO TUNAZO
KOCHA Msaidizi wa Azam FC, Idd Cheche amesema kuwa leo watapambana na Manyema FC ili kutinga hatua ya fainali kombe la Kagame na kuteta kombe lao.Azam FC leo itamenyana na Manyema FC ya Congo kwenye hatua ya nusu fainali itakayochezwa nchini Rwanda.Akizungumza na Saleh Jembe, Cheche amesema kuwa wanawatambua wapinzani wao vema kwa kuwa waliwashuhudia wakicheza na APR mchezo...
SENEGAL WAPATA PIGO LEO KUMKOSA BEKI WAO KISIKI FAINALI YA AFCON
KALIDOU Koulibary beki mahiri wa timu ya Taifa ya Senegal leo ataukosa mchezo wa fainali kwenye michuano ya Afcon dhidi ya Algeria nchini Misri.Hii inatokana na beki huyo kisiki kuwa na kadi mbili za njano.Inakuwa ni mara ya kwanza kwa Senegal kumkosa nyota wao anayekipiga kwenye timu ya Napol ya Italia.Hili ni pigo kwa Senegal kwani ni miongoni mwa...
SIMBA KUCHEZA KWENYE MIJI MITATU SAUZI
SIMBA ambayo ipo kambini nchini afrika Kusini ambapo inatajwa kambi hiyo ni ghrama kubwa, imetangaza kuwa itacheza michezo mitatu ya kujipima nguvu. Kumekuwa na maswali mengi kuhusiana na kambi ya Simba huko Afrika Kusini, huku Watanzania wanaoishi nchini humo wakihoji timu hiyo imepata wapi fedha za kukaa kwenye kambi ya kisasa namna hiyo.Simba wameweka kambi sehemu moja na mabingwa...
USAJILI YANGA WAZUA HOFU SIMBA
WAKATI kikosi cha Yanga kikiendelea kujifua huko mkoani Morogoro kwa ajili ya msimu ujao wa ligi, aliyekuwa kipa namba moja wa timu hiyo, Beno Kakolanya ametishwa na usajili uliofanywa na klabu hiyo.Kakolanya ambaye sasa yupo Afrika Kusini na kikosi cha Simba baada ya kusajiliwa hivi karibuni, alisema kutokana na usajili huo ambao Yanga imeufanya hivi karibuni, anaamini msimu ujao...
KOCHA SIMBA AIBUKA NA LAKE BAADA YA KASEJA KUITWA STARS
Mchezaji wa zamani wa Simba Abdallah King Kibadeni, amesema kitendo cha Kocha Etienne Ndairagije kumuita Kipa Juma Kaseja kunako kikosi cha Taifa Stars ni maamuzi mazuri.Kibadeni ameeleza kuwa kuitwa kwa Kaseja kutatoa nafasi kwa magolikipa wanaochipukia kujifunza mambo mengi kutoka kwake.Kibadeni amesema bado Kaseja ana mchango mkubwa wakuendelea kuwepo kwenye kikosi cha Stars kutokana na uzoefu aliokuwa nao, akisema...
CAF YAIFANYIA MABADILIKO TAIFA STARS
Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) katika kikao chake kilichokaa Julai 17,2019 kimefanya marekebisho ya michezo ya kufuzu Fainali za Afrika (AFCON) 2021.Hatua ya awali kufuzu itachezwa kati ya Oktoba 7-15,2019 wakati michezo mingine itakua kati ya Novemba 11-19,2019.Michezo inayofuata itachezwa kati ya Agosti 31, 2020 na Septemba 8, 2020 na hatua inayofuata kuchezwa...
KASEJA, YONDANI KUIONGOZA KAMBI STARS – VIDEO
Kipa Mkongwe wa Tanzania na klabu mbalimbali vya Ligi kuu Tanzania Bara Juma Kaseja ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kwa mara ya pili tokea kipindi cha aliyewhi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Maxmo.Hii inakuja baada ya kocha Etiene Dailangije kuchukua mikoba ya ya Emmanuel Amunike ambaye alikuwa akikinoa kikosi hicho, ambaye hata hivo anakinoa kikosi...