YANGA YATOA TAMKO ZITO KUHUSU WACHEZAJI WAKE WANAOWASUMBUA KUSAINI KANDARASI MPYA,
MSHINDO Msolla Mwenyekiti wa Yanga amesema kuwa klabu ya Yanga ni kubwa kuliko mchezaji hivyo hawana presha na beki Gadiel Michael ambaye mkataba wake umemalizika ndani ya Yanga.Msolla amesema kuwa endapo beki huyo atawasumbua kusaini watamwacha aendelee na hamsini zake kama ambavyo wamefanya kwa nyota wao Ibrahim Ajibu ambaye amejiunga na timu yake ya zamani ya Simba."Hakuna mchezaji mkubwa...
KMC WAMALIZANA NA MAJEMBE MAWILI YA CONGO
BESALA Bokungu mlinzi wa kati kutoka timu ya Groupe Bazano ya Ligi Kuu ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo amejiunga na KMC kwa kandarasi ya mwaka mmoja.Bukungu naye tayari amejiunga na kikosi cha KMC ambacho kipo nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya Kagame inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.Bukungu anaungana na kiungo mkabaji Melly Sivirwa ambaye naye ni raia wa...
MABINGWA WATETEZI WA KAGAME AZAM FC WAWASILI RWANDA
KIKOSI cha Azam FC kimewasili salama nchini Rwanda ambako kimeelekea leo kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Azam FC wanakwenda kutetea kombe lao ambalo walitwaa msimu uliopita uwanja wa Taifa kwa kuifunga timu ya Simba mabao 2-1.Mbali na Azam FC timu nyingine ambayo imetia timu Rwanda ni KMC ambao nao pia watashiriki michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Julai 7-21.
SIRI IMEVUJA DIMPOZ, ZARI WALALA NYUMBA YA MONDI
ACHANA na mapichapicha ya Nairobi nchini Kenya yaliyosambaa kama moto wa kifuu kwenye mitandao ya kijamii, taarifa mpya imevuja kwamba, msanii wa Bongo Fleva, Omar Faraj Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ na mrembo wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ wamelala katika ile nyumba ya Sauz ambayo Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alimpa mrembo huyo aliyezaa naye watoto wawili, twende taratibu! Diamond...
KMC WATIA TIMU RWANDA, TAYARI KUIVAA TP MAZEMBE
KIKOSI cha Manispaa ya Kinondoni 'KMC' leo kimeripoti salama nchini Rwanda kwa ajili ya michuano ya kombe la Kagame.Ofisa Habari wa KMC, Anwari Binde amesema kuwa wachezaji wamefika salama na wana morali nzuri kwa ajili ya kupambana kwenye michuano hiyo.KMC ipo kundi A ambalo lina TP Mazembe ya Congo, Rayon Sports ya Rwanda na Atlabara ya Sudan Kusini.Michuano hiyo...
WABRAZIL SIMBA WAPIGA TIZI LA SAA MBILI DAR
WACHEZAJI watatu raia wa Brazil waliosajiliwa na Simba hivi karibuni, tayari wameanza mazoezi jijini Dar huku kikosi kamili cha Simba kikiwa bado hakijaanza mazoezi.Wachezaji hao ni mshambuliaji Wilker Henrique da Silva, kiungo mkabaji, Gerson Fraga Vieira na beki, Tairone Santos da Silva, wamejiunga na Simba hivi karibuni na watatumika kwenye msimu ujao ambao Simba itashiriki mashindano mbalimbali ikiwemo Ligi...
LAMPARD, CHELSEA KIMEELEWEKA
FRANK Lampard amesaini kandarasi ya miaka mitatu kuwa meneja mpya wa klabu ya Chelsea akichukua mikoba ya Maurizio Sarri aliyejiunga na Juventus.Lampard mwenye umri wa miaka 41 amerejea ndani ya uwanja wa Stamford Bridge baada ya kuondoka miaka mitano iliyopita alipokuwa mchezaji.Chelsea wamempa timu Lampard kutokana na kuaminiwa na bosi wa timu hiyo Roman Abramovich ambaye alikuwa akimkubali tangu...
AZAM FC WALIFUATA KOMBE LAO RWANDA LEO
MABINGWA watetezi wa kombe la Kagame Azam FC leo wameelekea nchini Rwanda na ndege ya Shirika la RwandaAir, ili kutetea taji lao.Michuano hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Rwanda kuanzia Julai 6-21 mwaka huu. Azam FC itamenyana na KCCA ya Uganda, Mukura ya Rwanda na Bandari ya Kenya.
MSHAHARA WA NYOTA MPYA SIMBA NI BALAA, SPOTI XTRA ALHAMISI LINA DATA KAMILI
MSHAHARA wa Ibrahim Ajibu ni balaa, Spoti Xtra waunyaka mwanzo mwisho ni balaa