WALTER BWALYA : NIPO TAYARI KUSAINI SIMBA

0

WALTER Bwalya mshambuliaji wa Nkana FC ya Zambia amesema kuwa yupo tayari kusaini Simba iwapo watamhtaji.Bwalya amekuwa akihusishwa kujiunga na Simba na kuna taarifa kwamba amewaaga wachezaji wenzake kwamba anakuja Bongo kujiunga na Mabingwa hao wa Ligi Kuu Bara."Sijafanya mazungumzo na Simba mpaka sasa na sijui kama wao wanahitaji huduma yangu, natambua kwamba Simba ni timu kubwa lakini hakuna...

MAALIM BUSUNGU: LIKIJA DILI KUBWA NASAINI

0

MAALIM Busungu mshambuliaji wa zamani wa timu ya Lipuli amesema kuwa kwa sasa yupo tayari kurejea kucheza mpira iwapo timu itatokea timu itakayompa dau la maana.Busungu amesema kuwa kwa sasa yupo Dodoma akiendelea na shughuli za kilimo na hajaacha mpira kwa kuwa ndio kazi yake."Siwezi kuacha kucheza mpira kwa kuwa ni kazi yangu, kwa sasa nimepumzika huku Dodoma naendelea...

RUVU SHOOTING YAGOMEA WACHEZAJI WA KIGENI

0

UONGOZI wa Ruvu Shooting umesema kuwa kwa sasa hauna mpango wa kusajili wachezaji kutoka nje ya nchi kutokana na kuamini uwezo wa wachezaji wa ndani.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amesema kuwa  klabu haina hesabu za kusajili nyota wa kigeni."Kwenye klabu yetu haitatokea tukasajili wachezaji wa kigeni, sura zao itakuwa ni ngumu kuonekana kwetu...

NYOTA WA MBAO FC ATIMKIA KAGERA SUGAR

0

EVARIGITIUS Mujahukwi aliyekuwa mshambuliaji wa Mbao FC yenye maskani yake Mwanza amejiunga na klabu ya Kagera Sugar.Kagera Sugar imenusurika kushuka Daraja msimu wa mwaka 2018-19 baada ya kuwa na matokeo ya kusuasua hali iliyoifanya ichezemchezo wa PlayOff na Pamba na kushinda kwa mabao 2.Akizungumza na Saleh Jembe, Mujahukwi amesema kuwa mchezaji hachagui kambi hivyo msimu ujao atakuwa kwenye changamoto...

Metacha ni nyanda anayekuja kusahihisha makosa ya Manula

0

 KAMA kweli atakamilisha usajili wake wa kujiunga na Yanga SC akitokea Mbao FC, golikipa, Metacha Mnacha atakuwa bora Zaidi ya Aishi Manula na atashikilia namba moja ya timu ya Taifa. Licha ya klabu yake ya Mbao FC kupigania kutoshuka daraja hadi siku ya mwisho ya msimu uliopita, Mnacha aliweza kuonyesha uwezo wake wa kuzuia akiwa golini.Wakati, Aishi...

BREAKING: AJIBU APIGWA PINI MAZIMA SIMBA

0

IBRAHIM Ajibu amesaini kandarasi ya miaka miwili kuitumikia timu ya Simba akitokea Yanga.Ajibu msimu wa 2018-19 alikuwa kwenye ubora wake baada ya kutoa jumla ya pasi za mabao 17 na kufunga mabao sita.

LIONEL MESSI ALIA NA WAAMUZI

0

Lionel Messi mshambuliaji wa timu ya Barcelona na timu ya Taifa ya Argentina amesem kuwa timu yao ya Taifa imeponzwa na maamuzi ya waamuzi kwenye mchezo wa nusu fainali ya Copa America.Argentina ilifungwa mabao 2-0 dhidi ya Brazil kwenye hatua ya nusu fainali huku Messi ambaye ana tuzo tano za Ballon d'Or uwanja wa Belo Horizonte usiku wa kuamkia leo...

AZAM FC KUKWEA PIPA KESHO KUELEKEA RWANDA

0

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije ameahidi kutetea ubingwa wa kombe la Kagame ambalo linatarajiwa kuanza Julai 7-21 nchini Rwanda.Azam FC ni watetezi wa kombe wamepangwa kundi B pamoja na KCCA (Uganda), Mukura (Rwanda) na Bandari (Kenya) wanatarajiwa kukwea pipa kesho kutia timu nchini Rwanda.Ofisa Habari wa Azam FC, Jaffary Maganga amesema kuwa wanakwenda wakiwa kifua mbele kupambana...

NAFASI YA HAJI MANARA SIMBA YAGOMBEWA KWA KASI YA KUTISHA

0

BAADA ya Simba kutangaza nafasi za kazi hivi karibuni kwa vitengo mbalimbali ikiwa ni pamoja na kitengo cha Media Officer (Ofisa Habari), Chief Executive Officer (Mtendaji Mkuu), Technical Director (Mkurugenzi Ufundi) imeelezwa kuwa ya kitengo cha Habari inagombewa kwa kasi. Mtendaji Mkuu wa Simba, Crescentius Magori amesema kuwa wengi sana wanaulizia habari ya kitengo cha Habari kilicho chini ya Haji Manara."Watu...