BAADA YA KUZINGUA, SABABU ZA CHIRWA KURUDISHA MAJESHI AZAM FC HIZI HAPA…

0

Mzambia Obrey Chirwa alitikisa kiberiti kwa kugoma kusaini mkataba mpya na Azam FC sasa mabosi hao juzi waliweka kwenye listi jina lake kati ya wachezaji nane ambao hawatokuwa nao msimu ujao, kuona hivyo jamaa akajiwahi na jana kasaini mkataba wa mwaka mmoja.Azam ipo kwenye maandalizi makali ya Kombe la Kagame litakaloanza Julai mwaka huu, pia itashiriki Kombe la Shirikisho...

EXCLUSIVE!! YANGA YANASA KIFAA KUTOKA SIMBA

0

Klabu ya Yanga Princess imekamilisha usajili wa mchezaji Asha Abdul Malamwa kwa kumsainisha mkataba wa miaka miwili.Asha amejiunga na Yanga Princess akitokea katika kikosi cha Simba Queens.Mkataba wa Asha na Yanga Princess utadumu mpaka mwaka 2021.

TUZIJADILI HOJA ZA ROSTAM MSITARI KWA MSTARI, MIHEMKO KATIKA HILI SI JIBU SAHIHI

0

Na Saleh AllyNILIFIKA nyumbani kwa mwanasiasa maarufu Rostam Aziz baada ya kualikwa kama mkongwe wa masuala ya habari za michezo nchini.Nilifika pale kwa lengo la kusikiliza kilichokuwa kikizungumzwa na hasa baada ya kuthibitishiwa, suala litakalozungumziwa litakuwa ni la michezo.Michezo ndiyo maisha yangu ya kila siku. Nilitaka kujua Rostam anazungumzia nini. Wakati nikiwa njiani, niliwaza sana, nikajiaminisha naye alikuwa amepanga...

DAN ALVES ATANGAZA KUACHANA NA PSG

0

Mlinzi wa kulia wa klabu ya Paris Saint-Germain, Dani Alves ametangaza kuihama klabu hiyo majira haya ya jotoKupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram, Alves mwenye umri wa miaka 36 amesema kuwa anaweza kuanza maisha mapya msimu wa 2019/20 ingawa hajaweka wazi ni klabu gani ataenda.“Ukurasa mwingine mpya kwenye maisha yangu unafungwa leo, ukurasa wenye mafanikio ambao nimejifunza na kuongeza...

BALINYA AMFUNIKA MEDDIE KAGERE SIMBA

0

MSIMU ujao wa Ligi Kuu Bara macho na masikio yote yatakuwa kwa washambuliaji, Juma Balinya aliyesaini mkataba wa miaka miwili na Mnyarwanda, Meddie Kagere aliyekuwa mfungaji bora wa msimu uliopita.Lakini rekodi za Wachezaji hao wawili zinambeba zaidi Balinya ambaye idadi ya penalti kwenye mabao yake ni chache zaidi kuliko Kagere.Balinya ni kati ya wachezaji nane waliosajiliwa na Yanga hivi...

NINJA AMTAKA KAGERE KUWA AMEMSUMBUA UWANJANI, AWEKA WAZI JUU YA MKATABA – VIDEO

0

Beki Abdallah Shaibu Ninja akifunguka juu ya mkataba wake na Yanga na akimweleze Meddie Kagere alivyosumbua zaidi msimu uliopita.

ZAHERA AMWAGA SABABU LUKUKI ZA CONGO KUPOTEZA MECHI NA UGANDA – VIDEO

0

Kocha Msaidizi wa DR Congo akitaja sababu ya timu yake kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Uganda katika Kombe la Mataifa ya Afrika.

VANESSA ATHIBITISHA KUACHANA NA JUX

0

Mwanamuziki anaefanya vizuri na ngoma ”Thats For Me”  Vanessa Mdee leo Kupitia ukurasa wake wa instagram kwenye instastory  amethibitisha rasmi kuachana na aliekua mpezi wake ambaye ni mwanamuziki wa Bongo Fleva Juma Jux.Vanessa amethibitisha ilo baada ya kutoa nafasi kwa mashabiki zake wa instagram kumuuliza maswali hata ” wewe na juma mmeachana??” shabiki  aliuliza swali  Vanessa alijibu swali ilo...