KOTEI AMUIBUA JULIO SIMBA
Baada ya iliyopita Jumatano kusambaa taarifa zinazomuhusu kiungo wa Simba, James Kotei kutimkia katika Klabu ya Kaizer Chief ya Afrika Kusini, aliyewahi kuwa kocha wa timu hiyo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ amesema Simba wamefanya makosa kumuachia mchezaji huyo.Kotei aliyejiunga na Simba Disemba 2016 ametwaa mataji mawili ya Ligi Kuu Bara na Kombe la FA mara moja huku akiisaidia Simba kutinga...
PIERRE AUBAMEYANG AIVURUGA ARSENAL
PIERRE Aubameyang mshambuliaji wa Arsenal amezua taharuki baada ya kusema kwamba yupo tayari kutua Manchester United msimu ujao.Aubameyang amekuwa akihusishwa kujiunga na United ili akazibe pengo la mshambuliaji Romelo Lukaku ambaye inadaiwa anataka kujiunga na Inter Milan.Arsenal inamtegemea kwa kiasi kikubwa nyota huyo ukizingatia kwamba ni mfungaji bora kwa msimu wa 2018/19 akiungana na Sadio Mane na Mohamed Salah...
NYOTA NANE YANGA MGUU NJE MGUU NDANI, PANGA LA ZAHERA LINAWAHUSU
IMEELEZWA kuwa Yanga kwa sasa hawataki utani kwani wamedhamiria kujenga kikosi imara kitakachorejesha furaha Jangwani hali iliyofanya wasajili nyota wakali.Miongoni mwa nyota ambao wamesajiliwa ndani ya Yanga ni pamoja na Juma Balinya, Aly Ally, Maybin Kalengo,Issa Sibomana na Patrick Bigirimana inawafanya waachan na nyota wengine ndani ya kikosi hicho.Usajili wa Yanga ambao umetikisa unampa kiburi Kocha Mkuu, Mwinyi Zahera...
BABU TALE: ALIKIBA HANA HELA YA KULIPA ‘BODIGADI’, ALIFANYA ‘SHOO’ CLUB NDOGO
Meneja wa Msanii Diamond Platnumz afunguka kuhusu wasanii wa WCB kuwa na walinzi na kusema anayepinga kuwa na walinzi hana pesa ya kuwalipa.
ISHU NZIMA YA USAJILI YANGA ILIPOFIKIA, MIPANGO KABAMBE YAANIKWA – VIDEO
Uongozi wa klabu ya Yanga kupitia Mwenyekiti wake Mshindo Msolla, umetoa siku nne kwa wale wote wanaotumia nembo ya klabu kujinufaisha. Akiongea mchana wa leo Juni 28, 2019 makao makuu ya klabu Msolla amesema kwa wote wanaotengeneza jezi na vifaa vingine vya michezo waache mara moja.Msolla amesema kuwa itakapofika tarehe 30 mwezi huu, mtu yeyote atakayejihusisha na uuzaji wa jezi...
HATMA YA OKWI SIMBA YAFICHUKA MWENYEWE AFUNGUKA MAZITO, MPANGO MZIMA KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI
CHAMPIONI Jumamosi litakuwa na habari za kutosha juu ya usajili wa Simba, Yanga, Azam FC, Lipuli mpaka Ulaya usikubali kukosa
AZAM FC YASAJILI MAJEMBE MATATU, MSHAMBULIAJI MMOJA ALICHEZA SIMBA
SELEMAN Ndikumana, mshambuliaji kutoka Al Adalah ya Saud Arabia amejiunga na klabu ya Azam FC kwa kuasini kandarasi ya mwaka mmoja.Ndikumana raia wa Burundi ametua Azam FC baada ya kupendekezwa na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije.Hii ni timu ya pili kuwahi kucheza nchini Tanzania, nyingine ikiwa ni Simba aliyochezea 2006, pia akiwa na uzoefu barani Ulaya, akipita Molde ya Norway na FK...
AC MILAN YAFUNGIWA KUSHIRIKI MICHUANO YA ULAYA
Klabu ya soka ya AC Milan ya Italy yenye makazi yake katika uwanja wa San Siro itatumikia kifungo cha mwaka mmoja kutokushiriki michuano ya Ulaya inayoandaliwa na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) ikiwa ni Klabu Bingwa Ulaya na Europa Ligi.Klabu hiyo iliyomaliza katika nafasi ya tano kwenye ligi ya soka Italia, Serie A, imekumbana na kifungo kutoka kwa...