HAWA HAPA WALIOTWAA TUZO ZA MO
USIKU wa tuzo za MO zilizofanyika katika Ukumbi wa Hyatt Regency, ambapo muwekezaji wa Klabu ya Simba, Mo Dewji, ametoa tuzo kwa wachezaji wa klabu hiyo katika vipengele tofauti tofauti, hii hapa orodha ya washindi wa tuzo hizo:-Mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwaka ya Mo Simba 2019 ni Meddie Kagere.Goli la Clatous Chama dhidi ya Nkana limeshinda...
SERGIO RAMOS AOMBA KUTIMKIA CHINA
SERGIO Ramos ambaye ni nahodha wa kikosi cha Real Madrid amecheza jumla ya michezo 606 akiwa ndani ya kikosi hicho tangu ajiunge kwenye kikosi hicho msimu wa mwaka 2005/06 na sasa ameomba kusepa kikosini hapo. Ramos amewaeleza viongozi wa kikosi hicho kuwa amepata dili la maana kwenye moja ya timu nchini China hivyo hamna namna ya yeye kubaki kikosini...
MEDDIE KAGERE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO
NYOTA wa Simba, Meddie Kagere amesema kuwa kikubwa kinachompa mafanikio kwenye soka ni kujikubali yeye mwenyewe na kujipa changamoto yeye mwenyewe.Kagere ni mfungaji bora wa msimu huu kwenye ligi kuu akiwa ametupia jumla ya mabao 23 ana tuzo mbili mkononi ya mfungaji bora wa mwaka na mchezaji bora wa mwaka ndani ya klabu ya Simba aliyopewa kwenye tuzo za...
KAGERA SUGAR YAWAFUNGULIA MLANGO NYOTA WAO KUTIMKIA YANGA
UONGOZI wa Kagera Sugar itakayocheza Play off na Pamba, umesema kuwa hakuna tatizo kwa wachezaji wao kujiunga na vikosi vingine msimu ujao kwani maisha ya soka ni changamoto kila siku.Nyota wa Kagera Sugar kama mshambuliaji Kassim Khami, Ramadhan Kapera wamekuwa wakitajwa kusepa msimu ujao kujiunga na timu nyingine mpya ikiwa ni pamoja na Simba, Yanga na Azam FC.Akizungumza na...
DAH! MWANA TAMBWE KUMBE AMEWEKWA KIPORO….
Huku Yanga ikimuweka kiporo mshambuliaji wake, Amissi Tambwe, nyota huyo amepata ofa moja kutoka nje ambayo hajaiweka wazi.Tambwe ni mmoja kati ya wachezaji wa Yanga ambao wamemaliza mikataba yao ndani ya klabu hiyo na mpaka sasa haijafahamika kama ataendelea kuwa hapo au la.Straika huyo amekuwa na Yanga kwa msimu zaidi ya mitatu na amefanikiwa kutwaa mataji matatu kikosini hapo...
BODI YA LIGI LAZIMA ITANGAZE ADHABU YA WALIOISHUSHA KAGERA SUGAR, LA SIVYO VIONGOZI WA JUU WAWAJIBIKE
OFISA MTENDAJI MKUU WA BODI YA LIGI, BONIFACE WAMBURANA SALEH ALLYWIKI hii imeisha, gumzo badala ya kuwa ubingwa wa Simba, mambo yaligeuka na kuwa nani aliyeteremka.Suala la timu iliyoteremka daraja kutoka Ligi Kuu Bara hadi Ligi Daraja la Kwanza, limekuwa juu zaidi ya chochote.Si kwamba aliyekuwa akiteremka ilikuwa kazi kubwa kumjua badala yake kutokuwa makini kwa wataalamu wa takwimu...
MASHUJAA WA USWAHILINI; SAMATTA, KIBA, TUWAUNGE MKONO NIA YAO NJEMA YA KUIRUDISHIA JAMII
*Twendeni Taifa Juni 2 tukawaunge mkonoNa Saleh AllyVIJANA wawili wa Kitanzania, wameamua kukutana pamoja na kufanya kitu kwa ajili ya kurejesha katika jamii.Mbwana Samatta anayekipiga katika kikosi cha mabingwa wa Ubelgiji, KRC Genk na Ally Saleh Kiba, maarufu kama Alikiba, msanii nyota wa muziki nchini na Afrika. Kiba pia ni mchezaji wa Coastal Union inayoshiriki Ligi Kuu Bara.Wawili hawa...
YANGA WATOA TAMKO JINGINE JUU YA NDEMLA NA MKUDE
Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamka kuwa hana mpango na viungo wa Simba, Jonas mkude na Said Ndemla ingawa baadhi ya viongozi wanawatamani.Kauli hiyo ameitoa juzi kwenye mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye hoteli ya kisasa ya The Atriums Hotel iliyopo Sinza Afrikanasana jijini Dar es Salaam mara alipokutana na Waandishi wa Gazeti hili.Zahera alisema kuwa, kwa hapa nchini timu...
JINGINE LAIBUKA JUU YA MKATABA WA GADIEL YANGA, MILIONI 40 ZATAJWA
YANGA wamejiwekea msimamo kwamba wachezaji wote wazawa kila mmoja mkwanja wake wa usajili usizidi Sh.Mil 30 lakini kuna baadhi wanaweza kuwafi kiria kidoogo.Gadiel Michael ni mmoja wao. Sasa wakubwa wakamuendea hewani wakamwambia ; “njoo umwage wino kuna mil 40 hapa.”Gadiel akawaambia “niongezeeni kidogo kwavile mara ya kwanza mlinipa Mil 30 wakubwa” Yanga wakamwambia hamna noma njoo fasta tuyajenge, Gadiel...
HII SASA KAZI, AJIBU ATAKIWA NA BOSS WAKE KUTAJA SABABU ZINGINE ZA KUIKACHA TP MAZEMBE
Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu atafute sababu nyingine iliyomzuia kujiunga TP Mazembe ya DR Congo na siyo dau la usajili.Kauli hiyo aliitoa ikiwa ni siku chache ziibuke taarifa za dili la Ajibu kushindikana kwa kile kilichoelezwa kushindwana katika dau la usajili ambalo Mazembe walitenga dola 30,000 (zaidi ya Shilingi Milioni...