HAWA HAPA WACHEZAJI PASUA KICHWA KWA ZAHERA WA YANGA
Ibrahim AjibuKesho, Mei 30 mkataba wake unamalizika ndani ya Yanga, bado amekuwa pasua kichwa kwa kocha Mwinyi Zahera kutokana na kuvuruga dili lake la kusepa kwenda TP Mazembe na mpaka sasa hajaonana na kocha wake huyo ambaye ndiye alimshauri ajiunge na Mazembe.Amissi TambweAmekuwa bora mwishoni licha ya kuanza kwa kusuasua majeruhi yamemfanya asiwe bora, mkataba wake nae upo ukingoni...
SHANGWE ZA SIMBA KUANZIA KIBAHA LEO
BAADA ya kutwaa ubingwa jana, mabingwa wa Ligi Kuu Bara Simba leo wanarejea makao makuu ya klabu Msimbazi kuendeleza sherehe za ubingwa.Sherehe za ubingwa zitaanzia maeneo ya Kibaha, mkoani Pwani majira ya saa 5:30 ambapo wachezaji pamoja na kombe watapanda gari la wazi kuwaonyesha kombe mashabiki wao.Mchezo wao wa mwisho jana walikubali suluhu mbele ya Mtibwa Sugar mchezo uliochezwa...
Mechi yetu na Azam FC ilikuwa ya kirafiki- Zahera
Jana katika uwanja wa Taifa kulikuwa na mechi kati ya Yanga na Azam FC, mechi iliyomalizika kwa Azam FC kushinda goli 2-0.Baada ya mchezo huo kocha mkuu wa Yanga amedai kuwa mechi hiyo ilikuwa ni kama ya kirafiki kwa sababu wachezaji walikuwa wanacheza wanavyojisikia.” Mechi haikuwa na ushindani, wachezaji walikuwa wanacheza bila maelekezo. Unaona Makambo anabaki na...
Okwi sio mchezaji wa Simba! Kaizer Chiefs yahusika
Juzi Emmanuel Okwi aliandika katika mtandao wake wa Instagram kuwa neno kwa heri ni neno chungu sana.Maneno ambayo yaliweka mjadala kuhusiana na Emmanuel Okwi kuendelea kuwepo Simba. Leo hii Simba imedhibitisha kuwa Emmanuel Okwi siyo mchezaji wao.Akizungumza na mtandao huu , mkuregenzi mtendaji wa Simba, bwana Magori amedai kuwa Emmanuel Okwi ameshamaliza mkataba na Simba.Alipoulizwa kuhusu tetesi...
RUVU SHOOTING HAWAAMINI WANACHOKIONA TPL
KOCHA wa Ruvu Shooting, Ablumutik Haji amesema kuwa haamini macho yake kubaki ligi kuu kwani alikuwa anapitia kipindi kigumu msimu huu hali iliyomfanya akate tamaa.Ruvu Shooting jana ilishinda mbele ya Alliance kwa bao 1-0 na kubaki kwenye ligi baada ya kufikisha jumla ya pointi 45 ikiwa nafasi ya 15."Ngumu kuamini ila mwisho wa siku namshukuru Mungu kwa kutupigania na...
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATANO
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele Gazeti la CHAMPIONI Jumatano
YANGA YATAJA KILICHOIPONZA KUKOSA UBINGWA MSIMU HUU
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa T-Shirti lake alilokuwa analipenda kuvaa msimu huu halina bahati ya kubeba ubingwa hivyo msimu ujao atabadilisha ili abebe ubingwa.Yanga jana wamepoteza mchezo wao wa mwisho mbele ya Azam FC kwa kufungwa mabao 2-0 mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa.Zahera amesema kuwa sababu kubwa ya kuvaa T.Shirt hiyo ni nembo yake ambayo ameiteua...
SIMBA: HAIKUWA RAHISI KUFIKA HAPA
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa haikuwa kazi rahisi kwao kutwaa ubingwa kwani walicheza mfululizo hasa kipindi cha mwisho ila juhud zimewapa walichokuwa wanastahili.Aussems amesema kuwa wachezaji wake walikuwa wamechoka kutokana na kucheza michezo 15 ndani ya siku 30 ila hawakuwa na jinsi zaidi ya kutafuta matokeo."Haikuwa safari nyepesi kufika hapa, tumecheza michezo mingi ile ya karibu...
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
MUONEKANO WA GAZETI LA CHAMPIONI KATIKA UKURASA WA MBELE LEO JUMATANO
YANGA YAFUNGUKA JUU YA KUMSAJILI NDEMLA
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amesema kuwa kwa sasa hana mpango wa kumsajili kiungo wa Simba, Said Ndemla ambaye amekuwa akihusishwa kujiunga na kikosi chake.Zahera amesema kuwa mpango wake ni kuwa na kikosi bora ambacho kitakuwa na ushindani msimu ujao kutokana na aina ya wachezaji ambao anawataka."Sina mpango wa kumsajili Said Ndemla, simjui huyo mchezaji na hayupo kabisa...