VIFAA 21 YANGA HADHARANI, MASTAA WANNE WA KIGENI OUT
YANGA wameamua kwamba mastaa wanne wa kigeni watakwenda na maji na kwenye usajili wao mpya watakuwa na nondo tisa mpya za kutoka nje ya nchi.Awali Kocha Mwinyi Zahera alitaka kusajili wachezaji sita tu wa kigeni ambao ni watu wa kazi watakaozama moja kwa moja kwenye kikosi cha kwanza lakini sasa ameamua kubadili gia ili kujiweka fiti kwa Ligi ya...
YANGA YAMPA MKATABA KIPA AKIWA MISRI
MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa Misri.Yanga wanapambana vya kutosha kuhakikisha wanampata Metacha baada ya kushindwa kukamilisha kwa wakati dili lake akiwa kwenye kambi ya Taifa Stars jijini Dar es Salaam. Wakati Yanga wakiwa kwenye harakati hizo za kumchukua Metacha, Azam FC nao wamefuata kipa...
FOWADI MPYA YANGA USIPIME
HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na takwimu zake za kutupia mabao.Yanga msimu uliopita ilimtegemea zaidi Heritier Makambo raia wa DR Congo ambaye akiwa Jangwani aliwajaza wapinzani kwa kufunga mabao 17 kwenye ligi kuu na sasa amewapa mkono wa kwaheri kuelekea Horoya AC ya Guinea.Baada ya...
BEKI HUYU WA SIMBA AWEKWA KWENYE TAGETI ZA YANGA NA AZAM
BEKI wa Simba Juuko Murshid ambaye nafasi yake ya kubaki ndani ya Simba kwa sasa ni finyu imeelezwa kuwa amekuwa ndani ya tageti za Azam FC na Yanga ambao wote ni wa kimataifa.Habari zimeeleza kwamba tayari uongozi wa Azam FC umeanza kumvutia kasi beki huyo ambaye ndani ya kikosi cha timu ya Taifa Uganda anapeta.Mratibu wa Azam FC, Philip...
UMESIKIA MDAU ….HILI LA Infinix NA ZUCHU SIO LA KUKOSA MTU WANGU…NI KWA MGUSO WA NOTE 12 VIP TU …?
Infinix Tanzania kufanya punguzo kubwa la bei wiki hii tarehe 11/06/2022 kwenye maduka yao ya Infinix Smart Hub Mlimani City na Infinix Smart Hub China Plaza Kariakoo.Siku hii ambayo imetambulishwa kama BIG SALE itakuwa na shughuli mbali mbali kama kukata keki na kuzindua rasmi na kuikaribisha simu yao mpya ya Infinix NOTE 12 VIP madukani, Simu ambayo imekuja na...
YANGA YAIKOMALIA SAINI YA NYOTA HUYU, IKITIKI BASI WANAKUWA NA VIUNGO WANNE MATATA
UNAAMBIWA kama Yanga itakamilisha usajili wa kiungo wa Kagera Sugar, Kassim Khamis basi watakuwa wana viungo wakali wanne ambao wanatoka visiwani Zanzibar.Khamis ni nyota wa timu ya Taifa ya Zanzibar kwa sasa anakipiga Kagera Sugar akiwa na mabao 7 kwenye ligi aliyofunga.Kocha wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa viongozi wa Yanga wanahitaji saini ya mchezaji huyo kwa kuwa...
LIPULI FC, KOCHA WAO MATOLA BADO HAKIJAELEWEKA KIANA
Uongozi wa Lipuli FC umesema kuwa bado haujakaa mezani kuzungumza na kocha, Seleman Matola juu ya kuongeza mkataba mpya kwa ajili ya msimu ujao.Akizungumza na SALEHJEMBE, Ofisa Habari wa Lipuli, Clement Sanga amesema kuwa baada ya ligi kuisha na kumaliza mchezo wa fainai kombe la Shirikisho walimpa mapumziko kocha pamoja na wachezaji."Kwa sasa bado hatujazungumza na kocha wetu Matola...
MANCHESTER UNITED KUMLIPA MKWANJA MREFU DAVID de GEA
Kwa mujibu wa The Sun, Manchester United wapo tayari kumpa David de Gea pauni 20m kama mlinda mlango huyo atahamia Paris Saint-Germain katika usajili wa majira ya joto.Fedha hizo ni sehemu ya mauzo ya kipa huyo ambapo mmoja wa mabosi wa mashetani hao wekundu amesema wapo tayari kupokea ofa kuanzia paundi 60m kutoka kwa mabingwa hao wa Ligue 1Mlinda mlango huyo mwenye umri wa...
WACHIMBAJI WATANO WAFARIKI BAADA YA KUFUKIWA NA KIFUSI GAIRO – VIDEO
Wachimbaji watano leo Jumapili Juni 9, 2019 wamefariki baada ya kufukiwa na kifusi katika machimbo ya dhahabu, katika kijiji cha Kirama kata ya Kiogwe wilayani Gairo mkoani Morogoro.Taarifa za awali zinaeleza kuwa wachimbaji hao wamefukiwa na kifusi cha mchanga wakati wakichimba madini aina ya dhahabu ambayo yameibuka siku za hivi karibuni katika Kijiji cha Iyogwe wilayani Gairo.Akizungumza Mwenyekiti wa...
LIPULI WAMEAMUA KWELI, SASA WANAKUJA NAMNA HII
UONGOZI wa Lipuli umesema kuwa kwa sasa hesabu zao kubwa ni kusuka kikosi makini kitakachojiuza chenyewe kwa kuwavutia wawekezaji msimu ujao.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Lipuli, Clement Sanga amesema kuwa changamoto ya ukata imewapa taabu sana hivyo kwa sasa wamepata somo litakalowafanya wajipange kisawasawa."Ukizungumzia msimu wetu wa 2018/19 hatukuwa njema hasa kwa upande wa fedha, sasa tumejipanga...