AZAM FC, SIMBA NA YANGA WAGOMBANISHWA NA MSHAMBULIAJI HUYU WA KAGERA SUGAR

0

Kassim Khamis, mshambuliaji wa Kagera Sugar saini yake inawindwa na uongozi wa Yanga, Azam FC na Simba kutokana na uwezo wake mkubwa akiwa ndani ya uwanja hasa kwa kufanikiwa kumiliki mpira na kuzuia asipokonywe mguuni.Kassim alimvutia kocha mkuu wa Timu ya Tanzania, 'Taifa Stars' Emanuel Amunike kabla ya kumtema dakika za usiku wakati kikosi kinakwea pipa kwenda Misri.Akizungumza na...

MOSES KITANDU WA SIMBA, SASA BADO KIDOGO KUTIMKIA KENYA

0

STRAIKA wa Simba, Moses Kitandu anayekipiga Coastal Union kwa mkopo yupo mguu nje ndani kutimkia kucheza soka la kulipwa katika timu ya KCB.Kitandu ambaye KCB walivutiwa na uwezo wake msimu wa mwaka 2017/18 Simba ilipocheza michuano ya SportPesa Cup kwa sasa imeelezwa uongozi wa KCB umerejea tena kuzungumza naye.Akizungumza na SpotiXtra, Kitandu alisema kuwa kuna mipango mingi ambayo anaifikiria kwa...

Ni nafasi kwa KMC kuomba kushiriki CECAFA

0

Simba na Yanga wamejitoa katika mashindano ya Kagame Cup kwa sababu mbalimbali na kuifanya Tanzania iwe na mwakilishi mmoja tu ambaye ni Azam FC.Azam FC itatuwakilisha katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika msimu ujao. Kama ilivyo kwa Azam FC, KMC FC nayo itatuwakilisba katika michuano hiyo ya shirikisho barani Afrika.Kwa Azam FC siyo mara ya...

DUH! SHILOLE KWA FIKSI BALAA, ETI HAJAWAHI KUGUSWA

0

MUME wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ Ashiraf Uchebe, amesema tangu aanze kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki huyo mpaka anamuoa hajawahi kumpiga hata kofi.Uchebe ameibuka na maelezo hayo baada ya kuwepo kwa madai ya muda mrefu mitandaoni kuwa amekuwa na kawaida ya kumwangushia kipondo mkewe huyo.Akizungumza na MIKITO Uchebe alisema watu wengi wanamuona kama baunsa...

SINGIDA UNITED YAWATOA HOFU MASHABIKI WAO KUHUSU ISHU YA USAJILI KWA FURSA

0

UONGOZI wa Singida United, umesama kuwa kufanya usajili kwa mtindo wa kipekee kwa kutoa fursa kwa wenye vipaji kujitokeza huku dozi yao ikiwa ni asubuhi na jioni haina maana kwamba hawatasajili kiufundi.Akizungumza na Saleh Jembe, Ofisa Habari wa Singida United, Cales Katemana amesema kuwa mashabiki wasiwe na hofu benchi la ufundi chini ya Felix Minziro wapo makini hivyo kutangaza...

ALIYEWAHI KUWA RPC AJINYONGA HADI KUFA ZANZIBAR

0

Aliyewahi kuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, DCP Aziz Juma Mohammed (pichani), amekutwa amejinyonga nje ya nyumba yake, Kibweni, Unguja, usiku wa kuamkia leo. Sababu za kujinyonga bado hazijafahamika na mwili wa marehemu upo Hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar kwa uchunguzi.16/7/2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alimpandisha cheo kutoka cheo cha...

MWADUI FC: TUMEPATA TAABU SANA MSIMU HUU

0

UONGOZI wa Mwadui FC umesema kuwa wachezaji wote walikuwa na wazo moja kichwani walipoingia uwanjani hali iliyowasaidia kupata matokeo chanya mbele ya wapinzani wao Geita FC mchezo wa Playoff uliochezwa uwanja wa Mwadui.Akizungumza na Saleh Jembe, Katibu wa Mwadui, Ramadhan Kilao amesema kuwa ulikuwa ni mchezo wa jasho na damu na wachezaji waliambiwa ni lazmia watimize majukumu yao ipasavyo...

KILICHOWABAKIZA NDANI YA TPL WABABE WA SIMBA CHATAJWA

0

KOCHA Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema kuwa aliwaambia vijana wake watulie kwani mchezo ulikuwa mkononi mwao na kubaki kwenye ligi ilikuwa ni lazima hali iliyowafanya washinde mbele ya Pamba FC kwa mabao 2-0 mchezo wa Playoff.Akizungumza na Salehe Jembe, Maxime amesema kuwa walijipanga kiasi cha kutosha kupata ushindi hali iliyowarahisishia njia ya kupenya."Tulicheza nao mchezo wa kwanza...