KOCHA WA YANGA GAMONDI ANENA NA MASHABIKI, ASEMA HAYA
KOCHA Mkuu wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi amesema hana shinikizo lolote kuelekea msimu ujao na anaimani yakufanya vizuri akiwa na mabingwa hao wa soka la Tanzania. Miguel amezungumza na Dailynews Digital Julai 19, 2023 ambapo amesema yupo tayari kuianza safari yake huko Jangwani. Kocha huyo raia wa Argentina amesema kwa muda mchache aliokaa na kikosi chake amewaona wachezaji wanaojituma na...
YANGA WATAMBA KUSHUSHA NYOTA MWINGINE HATARI TUPU
RAIS wa Klabu ya Yanga Hersi Said amesema timu hiyo inatarajia kumtangaza mchezaji mwingine mpya kwenye kikosi hicho ili kuongeza nguvu kuelekea msimu ujao. Mhandisi Hersi Said ameiambia Spotileo Julai 19,2023 kuwa mara baada ya kumtambulisha mchezaji Mahlatsi Makudubela maarufu skudo leo watamtambulisha mchezaji mwingine wa daraja la juu. “Jana tumemtambulisha mchezaji atakae vaa jezi namba sita, tumeandika historia ya mchezaji...
YANGA YABAKISHA SIKU NNE KUWASHANGAZA MASHABIKI NA WADAU
ZIMEBAKI siku nne kuanzia leo mashabiki wa Yanga kushuhudia tamasha kubwa la kilele cha Wiki ya Mwananchi ambalo wanalitumia kutambulisha wachezaji wapya na wa zamani watakaowatumia msimu mpya, kuna sapraizi nne. Kuna mambo manne ya moto ambayo miongoni mwayo yatakuwa ni sapraizi kutokana na uongozi kutoweka wazi hadi sasa. SAJILI ZA MWISHO Yanga inaendelea kusajili ni baada ya kinara wa ufungaji Fiston...
KWA TSH 250/= YABADILI MAISHA YAKO KUWA YAKITAJIRI KUPITIA SLOT YA MULTIFIRE YA MERIDIANBET..
Mchezo huu wa Kasino ya mtandaoni Multifire Roulette uliotengenezwa na watalamu wa michezo ya roulette duniani Microgaming. Mchezo huu unachezwa kwa kufuata kanuni na sheria za roulette ya Ulaya. Multifire Roulette umetengenezwa kwa kumfikiria mdau wa roulette kwa kuongeza udambwi udambwi wa oddz za kuzidisha na michezo ya bonasi itakayo wafaa sana wachezaji wa roulette kwenye kasino bora duniani. Mchezo huu unavutia na...
MAYELE,CHAMA PASUA KICHWA SIMBA, JAMBO JIPYA LAIBUKA UARABUNI
Dar es Salaam. Wakati Yanga ikikubali yaishe kwa mshambuliaji wake, Fiston Mayele kwenda kujaribu changamoto nyingine Pyramids FC ,mgogoro mpya umeibuka kwa kiungo fundi, Clatous Chama na Simba. Mayele sasa hatakuwa na Yanga msimu ujao, lakini mioyo ya mashabiki wa timu hiyo haijafurahi kutokana na ubora mkubwa aliouonyesha ndani ya kikosi hicho kwa misimu miwili aliyocheza. Mashabiki wengi wa Yanga wanahofu...
HII SIMBA YA SAFARI HII NI SUKARI TUPU YANI…WAVAMIA AZAM FC KISHA WAKABEBA CHUMA HIKI CHA KAZI…
Wakati wakiwa wamebaki wachezaji wawili tu kujiunga kambini nchini Uturuki, uongozi wa Klabu ya Simba SC umeendelea kukiboresha kikosi chao kuelekea msimu mpya wa 2023/24, kwa kufanya usajili mwingine wa mchezaji wa ndani. Tayari wachezaji wote waliosajiliwa wamewasili kambini Uturuki isipokuwa Fabrice Ngoma na Clatous Chama, ambao walitarajiwa kuondoka leo Jumatano (Julai 19) kwenda kujiunga na wenzao kambini kujiandaa na...
MAJERAHA YAMPONZA BOCCO, SIMBA WACHUKUA MAAMUZI MAGUMU
Dar es Salaam. Majeraha ya mara kwa mara ya nahodha John Bocco, ni sababu kubwa iliyoishawishi Simba kumsajili mshambuliaji wa zamani wa Azam FC, Shaban Chilunda uhamisho uliokamilika juzi. Chilunda aliyewahi kuitumikia timu ya taifa ‘Taifa Stars’ na pia klabu ya CD Tennerife ya Hispania, alijiunga na Simba juzi na siku yoyote kuanzia leo ataungana na kambi ya maandalizi iliyopo...
ISHU YA BANGALA NA YANGA MAMBO BADO NI KICHOMI…SINGIDA FG WAKALIA KOONI DILI ZIMA…
UONGOZI wa Singida Fountain Gate umesema kuwa wanatamani kuwa na kiungo Mkongomani Yannick Bangala na Mghana Bernard Morrison kwa ajili ya msimu ujao huku ukipanga kuweka wazi kila kitu hivi karibuni. Wachezaji hao wanahusishwa kutua Singida Fountain Gate kwa ajili ya msimu ujao ambao wanacheza Kombe la Shirikisho Afrika. Yanga tayari imetangaza kuachana na Morrison huku ikitajwa Bangala huenda ikamtoa kwa...
HUYU HAPA ALIYEKIPIGA SIMBA ANAKARIBIA KUTUA KWA WABABE WA YANGA….MAMBO NI KIMYA KIMYA YANI…
KIUNGO Victor Ackpan raia wa Nigeria aliyekutana na Thank You ndani ya Simba anatajwa kuwa kwenye hesabu za mwisho kujiunga na Ihefu wapeleka maumivu kwa Yanga. Ikumbukwe kwamba Ihefu ni watibuaji wa rekodi ya Yanga msimu wa 2022/23 walipogotea kwenye mechi 49 bila kufungwa walipokutana na Ihefu walitibua mpango wao wa kufikia mechi ya 50. Ni Novemba 29 ubao wa Uwanja...
HII IMEENDAAAH…..MIQUISSONE ‘IN’…..BANDA ‘OUT’….ISHU NZIMA IKO HIVI AISEE…
MASHABIKI wa Simba wanaendelea kutambia usajili uliofanywa na mabosi wao hadi sasa, huku utamu zaidi ni taarifa za winga Peter Banda kukubali kumpisha Luis Miquissone anayejiandaa kutua kambi ya timu hiyo iliyopo Uturuki katikati ya wiki hii kurejesha burudani Msimbazi. Banda ndiye aliyekuwa mrithi wa Luis mara alipouzwa Al Ahly ya Misri na kupewa jezi namba 11 aliyokuwa akiitumia winga...